Hatimaye namimi nimefunga ndoa

Hatimaye namimi nimefunga ndoa

Fmewa

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2009
Posts
292
Reaction score
81
Hallo Wana namshukuru sana Mungu kwa kuniwezesha na kunipitisha katika mapito mbalimbali ya ujana. Namshukuru kwa kuniwezesha kufunga pingu za maisha na mke wangu mpenzi siku ya Jumapili ya tarehe 30 Desemba 2012.
Nawatakieni mwaka mpya 2013 na maisha marefu yenye furaha na mafanikio
Thanks
 
Hongera sana. Mungu akupitishe zaidi na tusherehekee miaka 50 ya ndoa hii humu jf. Ukiona maushauri humu, changanya na za kwako.
 
Hongera mkuu na kila la kheri katika maisha yako ya ndoa na mwaka huu uwe wa mafanikio katika maisha yako ya ndoa na maisha yako ya kila siku
 
Hongera sana! Mungu akuongoze!
 
Hongera sana. Mpende mkeo, mjali mkeo. Mthamini mkeo, muheshimu mkeo. Uwe mvumilivu. Mungu awabariki sana
 
Mtangulizeni Mungu katika kila jambo.... Hongera sana
 
hongera sana.....

Ndoa ina changamoto nyingi......uzikabili kwa busara

mlinde, mpende na mheshimu mwenzio....

Thamini ndoa yako.......

Kumbuka ndoa ni wawili tu, haihusishi ndugu jamaa wala rafiki...ni nyie wawili tu.....

Uwe na maisha mema
 
Back
Top Bottom