kuku na mayai yake

kuku na mayai yake

wanna

Member
Joined
Dec 16, 2012
Posts
76
Reaction score
16
jaman wana jf naomba kuuliza eti ni vibaya kula kuku na mayai yake?
 
Vunja na banda lake upate kuni za kuwachemshia waive vizuri.

Vinginevyo, ''what a shame'' amelaaniwa aonaye u.......wa mamaye! Maana kuku mwenye yai unaloweza kula wewe ana tofauti gani na mama wa mlaji???????????????

Kizazi chetu kimelaaniwa au nini nini kinaendelea? mbona tamaa zimetupofusha kwa kiwango hiki? Any ways, shetani sio mshkaji kwa namna mtu anaweza mzania, Ni mpumbavu sana na lazima ukimzoea akuaibishe tu na kukuvuruga.
 
Wala hakuna ubaya na kila siku watu wanakula kuku na mayai.
 
Nakutakia heri ya mwaka mpya Kaunga

Safi kabisa kabisa...

Na kwako pia Mundu
Yaani wazazi tuzae tu, lkn viumbe tunavyovitoa ni Mungu tu ajuaye!
 
Last edited by a moderator:
mamaaaaaaaaaaah! kweli kiswahili ni chetu lakini kigumu sn!
narudia tena kwa sauti kubwa KUNA UBAYA GANI KULA KUKU NA MAYAI YAKE
labda nifafanue vzur maana isijeleta maana tofauti kwa wenye ufaham zaidi kuliko mimi! na kwamba:
nmeuliza hivo maana ameanza kutaga juzi na kesho new year so nile mayai,kuku au vyote?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom