binti akiwa na miaka 45 mkaka atakuwa na miaka 62.....mmmmmh ataweza kumpa mke game????
hamna tatizo kama wanapendana
Kwa sasa hakuna tatizo lolote kwakuwa wote bado ni vijana ingawa kwa maoni yangu tofauti ya umri ni kubwa sana.Ni vema tofsuti ya umri isiwe kubwa sana ili ikiwezekana mzeeke pamoja.Mara nyingi mmoja akiwa mzee sana baadae huwa ni matatizo.
Kaolewe tu dada,age is nothing but a number.
Matatizo yako wapi?
binti akiwa na miaka 45 mkaka atakuwa na miaka 62.....mmmmmh ataweza kumpa mke game????
Nina mashaka, gap la umri ni kubwa sana. Niafikiri kuna kila sababu ya kufikiria mara mbili! Imagine, mwanaume akifikisha miaka 33 mwanamke atakuwa na 50!!! Huyu atakuwa ni mke au mama yake mzazi? Ataweza kutoka out na hiko kikongwe? Watawezana kweli?

hivi unataka ku wakadiria padogo wanaume enh??
imebidi nicheke sana FYI hii ndoa inaweza kuwa nzuri sana kuliko ulivyo tarajia simply kama binti ni mtu mwenye heshima zake anajipenda na ni mskivu. mume huyo kwa umri wake akiitumia nafasi yake kama mwanaume kwa kuwajibika, nidhamu, kujali, kutunza na kupenda atafuraha sana maisha ya ndoa na huyu binti.
nafikiri umeelewa kinyume mkuu HP nhebu soma vzr hoja ya mtoa mada.
BTW happy new yr ma lovely bro.
Hapana hujaelewa hapa Mwanaume ndie mkubwa kuliko ya hyu mwanamke