Thanks god nimevuka salama 2012,2013 heri niwe vipi??

Thanks god nimevuka salama 2012,2013 heri niwe vipi??

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
18,887
Reaction score
15,291
2013 ni heri niwe pekeanguuu,,

au 2013 ni heri niwe na mmojaaa,,

2013 ni heri niwe na subiraaaa,,

au 2013 ni heri nibadili tabiaaa??

2013 ni heri tubadili tabiaa ukimwi watishaaa,,,

happy new year kwa rafiki zangu nyote
 
Hongera kamanda hata mimi nashukuru Jesus nimevuka na kuingia mwaka 2013!!!Hihihihihihihihihihihiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Tunamshukuru Mungu tumevuka salama, tuendelee kumwomba atulinde na atuongoze katika mwaka huu 2013.
 
Asante
tuombe baraka furaha na amani mwaka 2013
heri ya mwaka mpya 2013
 
Asante... Heri ya mwaka mpya kwako pia..!
 
Back
Top Bottom