ngoshwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2009
- 4,141
- 951
Nipo hapa maeneo ya Kimara kwenye baa maarufu sana hapa ya siku nyingi, baa hii ina huduma ya mapumziko (vyumba vya kulala). Bado wananchi hawajajaa sana leo wikiend, nimekuja kupata supu, hamna naagiza Kitimoto (samahani wa Uamsho!!).
Nimekuta meza mbili zimekaliwa na "pairs" (mwanaume na mwanamke) lakini hii moja kuna wanaume wawili. Kuna moja imekaliwa na mwanaume tu ambae baadae mwanamke aliefungashia makalio anaingia huku ameshika kipochi mkononi na kukaa hapo.
Mara hii ya kwanza yenye wanaume wawili ambao waliagiza kitu moto mzigo na bia za kutosha, ghafla baada ya kuhitimisha K'moo, mwanamke asimama anauliza wapi?? mwanaume anamwelekeza "huko bwana" ...Mwanamke anamwaga mwanaume aliyekuwepo hapo..":Shem haya tutaonana" ....anaongoza kuelekea kwenye eneo lilipo vyumba, dakika tano mwanaume nae anaenda chooni na kurejea anamwaga mwenzie, mkuu nakuja..nae anaelekea kunako vyumba...(hawa wanaoekana ni watu wa makamo kwa umri, ni kama wana familia zao (Watoto) ila labda shetani amewapitia tu wamekuja hapa "kuvunjiana mayai tu" kwa maana ya kustareheshana miili) Ila sina hakika!!.
Meza ya pili nayo ambayo wapenzi wamekaa kwenye kihenge wakishikana, wanasimama na mwanaume anatangulia, mwanamke anatizama huku na kule nae anatimka kumfuata mwanaume kuelekea kuliko vyumba...
Meza ya Tatu, jamaa anasimama na bibie nae anasimama, huyu binti ninamfahamu aliwahi kuwa mchezesha "Pool table" kwenye Baa fulani iliyopo Meneo ya KIMARA ROMBO - /KONA wanafuatana kama mgonjwa na daktari kuelekea kwenye "Nadia", wanaingia, haoooooooo wanaondoka...
Natafakari sana, katika hizi Jozi tatu, Je, wote wana mahusiano ya muda mrefu? Je, wote wapo salama, Kama sio, Je, wote wanaenda kutumia Kinga, Je, wakitoka huko kila mmoja anatulia tu au ana enda tena kukutana na mwingine ambae pengine hana hatia au nae ni mkora ili kuunganisha mtandao??...Hali inatisha, UKIMWI bado haujafanikiwa kutishia wanadamu kuto ngonoka!!.
KATIKA ZAMA HIZI ZA "MPENZI FEKI, KONDOM FEKI, ARV FEKI, MADAKTARI FEKI NA HATA NDUGU WA KUTUUGUZA FEKI " LAKINI WATU WANAZIDI KUGONGANA TU!! KWELI HII KITU IMEKAA PABAYA!!!

Four people were arrested this week at a factory allegedly producing and selling condoms that provide little to no protection against disease or pregnancy. What's worse? Authorities said they found "bare-chested" employees using vegetable oil to lubricate the condoms that they then packaged without any sterilization. Whoever came up with this fake factory sounds like they were fulfilling some sort of bizarre fantasy.
This story is scary enough to make someone outside of China paranoid. If you're freaked out, just make sure you never buy condoms labeled as "Jisson, Durex. Rough Rider, Six Sense and Love Card."