cheeeeeeeeeeeersssssssss!

cheeeeeeeeeeeersssssssss!

charlessssssssssssssss, epi nyuu ia mkuu
 
na kwako pia mkuu...japo mwaka nimeuanza na madeni yaani mpaka najionea huruma........
 
Pamoja saaaaaaaana wana jf wooooooooooooooote.
 
na mwamo pia mkuu...japo mwak nimeuanza na madeni yaani mpaka najionea huruma........

Happy New Year asigwa! Mwenyezi Mungu na akufungulie vyanzo vya mapato katika mwaka huu 2013 ulipe madeni, utoe fungu la 10 la haki/zaka na ubaki na akiba tele!
 
Last edited by a moderator:
Happy New Year asigwa! Mwenyezi Mungu na akufungulie vyanzo vya mapato katika mwaka huu 2013 ulipe madeni, utoe fungu la 10 la haki/zaka na ubaki na akiba tele!

ameen mwaJ japo hapo kwenye zaka huwa nadokoa sana........
 
Last edited by a moderator:
Tufanye kwa kutamka kwako hayo umetubu. Sasa usidokoe tena na utaona Mungu atakavyokujazia!

ngoja nijaribu mwaka huu kutoa nione kama zitaongezeka ...zisipoongezeka narudia udokozi.........
 
ngoja nijaribu mwaka huu kutoa nione kama zitaongezeka ...zisipoongezeka narudia udokozi.........

Weka nia na umwambie Mungu akufanyie atafanya. Usianze kwa kutokuwa na imani.
 
Happy New Year!!

Nimeuona Mkuu........ Ashukuriwe mwenye mamlaka yote!
 
Yap! CHEERS to ALL distinguished members in JF including non members.
Thank GOD that WE have seen the NEW ER 2013.
I request HIM to bless us ALL
 
Ameeeen, happy new year to all JF members! Love u all!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom