Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwa tabia hizi za rejareja jumlisha na zile za jumla mfanoumalaya hutopata mwanamke mwenye akili labda kilaza mwenzio 1- kulalamika kila siku shida Dada yangu mgonjwa...mama yangu yupo...
9 Reactions
140 Replies
9K Views
Siku moja jamaa alikuwa katika matembezi ya jioni akiwa na mke wake; katika tembeatembea yao wakapita sehemu yenye jengo jipya la hotel, yule jamaa akamwambia mkewe vyumba vya hotel hii...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Muda flani nilijikuta natumia laptop ya mai waifu mtarajiwa.Nikaperuzi kuingia Jf nikakuta id tofauti nikastuka kidg.Ktk kudadisi kwangu nikagundua ni yake sababu alitoka kutumia laptop muda...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Kabla ya ndoa mambo huwa hv;- MME: Nilitaman sana muda huu ufike. MKE: Vp wataka niondoke? MME: Hapana hata kdogo. MKE: unanipenda? MME: Ndo maanake. MKE: Utaniletea dem mwingine ndani...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Mimi ni mwanaume miaka 23 ,Nasoma ardhi university nahitaji mpenzi aliyeseriouz ani pm asiwe zaidi ya 23yrs
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natafuta mume jaman....awe muslim jaman
1 Reactions
32 Replies
5K Views
Natafuta Mchumba wa kuanza naye Maisha. Naitwa Fatma Ally ni mtanzania kutoka Zanzibar ila kwa sasa naishi hapa Doha,Qatar na ninafanya kazi na kampuni ya chakula hapa Doha,Ninatafuta mchumba...
0 Reactions
13 Replies
7K Views
From kahama shy tz am looking a wisdom girl & beautiful whenever you're age between 18 up to 22 for more info call me or text 789372822 all text i'll reply soon as possible.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
All Men Can Be Fathers But It Takes a special man to be a Dad. Congratulations to all JF Fathers who are Great Dad's to their kids.
6 Reactions
18 Replies
1K Views
Inasadikia kuwa kuna mambo fulani hayapaswi kufanywa na jinsia fulani. Ni vitu visivyotarajiwa kwa Mwanamke kulewa chakali mpaka kufikia kulala mbele za watu au kujikojolea. Je, hii inaleta...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari wanajamvi...hivi inakuwaje mtu unaandika list ya majina ya wanawake uliokuwa na uhusiano nao wa kimapenzi tena wadada sio chini ya saba..then mpenzi wako akikuuliza ya nn???? huna cha...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Wandugu, Leo nimekutana na kisanga cha mwaka. Tulikuwa tunapata lunch kwenye hotel moja katikati ya Jiji la Dar. Jamaa alitusimulia jinsi alivyobanwa mbavu na mkewe kiasi cha kukosa amani...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
I have been observing the advertisements in JF about love and noted that, whenever a male needs a girlfriend will always specify age that is below his while a female specifies above her's. Can...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jamaa yangu alipata mpenzi tokea first yr mpaka wanahitimu walikuwa wanaish wote jamaa alikuwa amepanga,demu kwao kdogo hazkuwepo so loans hyohyo ndo alpe ada na matumiz,jamaa kwao alikuwa...
0 Reactions
135 Replies
10K Views
Wakubwaa zangu shikamooni!!!!!!!! IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!! (Muungwana yeyote huanza na salamu!) Ebanaeeeeeeeeeee ndo nimegundua HAKUNA ALIE MSAFII!!!!!!!! Every person has 2...
11 Reactions
192 Replies
15K Views
Dada mmoja ambaye ana tabia za kudowea waume za watu hapa mjini leo amekumbwa na kisanga cha kufungua mwaka alikuwa anatembea na mwarabu mmoja ambaye alikuwa ana mke sasa jana ucku mke wa...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
JAMANI MIMI SITANII NIKO SERIOUS NATAFUTA MCHUMBA WA KUOA MKRISTO,UMRI 22-28,UMRI WANGU NI MIAKA 28 AWE MKWELI MSAFI ASIWE NA MTOTO(MIMI SINA),UMBO LA KAWAIDA ELIMU YEYOTE KABILA LOLOTE RANGI...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Jana nilifika kanisani baada ya kipindi kirefu sana kutokufika. Nikatowa sadaka ya haja. Mwisho wa ibada nikapewa ombi la kukabidhiwa na kuisimamia Kwaya ya kanisa. Ina wavulana 4 na wasichana...
3 Reactions
67 Replies
7K Views
kwa waliyo tayari tuwasiliane mapema sana, matan sitak na mtoto wa kiume hii haikuhusu wala sihitaj ushar ni maamuz binafi!
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Katika mabara yote kasoro Africa,unapokuwa kiongozi katika ngazi yoyote kijamii na serikalini na ukagundulika una mahusiano nje ya ndoa yako,unaingia matatizoni na unapoteza wadhifa wako.Ni...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…