Hello,Jf members naomba maoni yenu kuhusu mada tajwa hapo juu,lengo hasa nikumsaidia rafiki mmoja ambaye ni mkristo halafu mchumba (msichana) wake ni muislamu wanataka waachane kwa kigezo...
I had this conversation with a friend of mine and shes like she can never and will never do it! Men are not worth it bla bla bla...
I was like what the heck! This is absolutely the peak of pride...
Helo. Kuna mdada alinisumbua kwa zaidi ya mwaka japo nilimpenda toka moyoni, nikavumilia kalenda zake. Baada ya kuninyanyasa kwa muda mrefu ikatokea akakubali tukawa nae kwa amani. Siku moja...
Mwanadada mwalimu unatafutwa sana na mimi mwl mwenzio pengine mambo yakiwa sawa tutakuwa tunafarijiana kwa kudhalauliwa na serikali yetu sikivu, chonde mwenye sifa hiyo ya udada unakaribishwa...
kwa ufupi nina kazi na kipato changu naridhika nacho,naishi peke yangu sijaoa na sina mtoto,umri wangu miaka 26.elimu degree,sina plan yoyote ya kuoa au kupata mtoto nahtaji kustarehe tu,huo ndo...
Nahitaji rafiki wa kike kutoka pande za kaskazini, kati, kanda ya ziwa mwa Tz, awe mwajiliwa serkalin/mashirika binafsi, umri chin ya miaka 23 kwa mawasiliano zaidi 0769396328 message zote...
Mwanamke yeyote akishakunywa pombe akiwa na mwanaume uwezo wake wa kumkatalia huyo mwanaume kwenda kumpiga dushelele unakua mdogo sana.....anakua rahisi sana kudanganywa......na huwa wanajuta sana...
HESHIMA kwenu nyoote Wanajamvi!!!!
Jana na leo nimeshuhudia Mada kali sana humu jamvini watu watu wakijiuliza kama kweli wamefanikiwa kutoa Bikra,kiukweli elimu waliyoapatiwa na ushauri ulikuwa...
Wakubwa zangu shikamooni!!!!!!!
Wengine Bwana Asifiwe, Tumsifu Yesukristu, Mungu Ibariki Tanzania na As-salamu alaykum (السلام...
Leo acha niwape dondoo
kadhaa kuhusu namna ya
kujua kama umemkuna
ipasavyo mwanamke
wakati wa tendo la ndoa.
1.Kufinya shuka kwa
nguvu Kufinya shuka au kitanda
kwa nguvu wakati
unampa...
NAMNA YA KUMKERA MPENZI/MCHUMBA/MKE AU MME Hivi ni baadhi ya vitu ambavyo vinaweza sababisha kuvunjika ama kutoweka uaminifu kama unavyovingine unayesoma weka hapa tuvijue zaidi
Ni vitu vya...
do you disclose your total salary package to your spouse.
I know some companies reviews salaries annually, do you disclose it when you get home?
Promotion is celebrated by couples, do you disclose...
Ni jamaa fulani huku kwetu,Ni baada ya kusaritiwa na mpenzi wake na kuamua kujinyonga.
Kijana huyu alikuwa mwaminifu sana kwa mpenz wake,cha ajabu ni pale alipoanza kugundua kuwa mpenzi wake ana...
Ok Nina wifi yangu jamani.aliolewa na mtu wa Iran lakini huyu mume wake alizaliwa USA hata Huko Iran hakujui.Huyu wifi yangu amesoma Yale university na hakufanya kazi tangia aolewe na mumewe.mume...
Wana JF nimejaribu kufanya utafiti kidogo na kugundua kuwa asilimia kubwa ya mme na mke huwa hawana maongezi ya furaha wakati wakiwa kwenye vyombo vya usafiri wakiwa wanaelekea sehemu mbali mbali...
Kuna mwanamke nilimpenda sana na tukapeana ahadi ya kuoana, baada ya makubaliano hayo alikuwa na mtoto nikaamua kumsomesha kwenye shule ya English medium karo zaidi ya milioni moja na mtoto huyo...
Unakuta umeoa mke na mna watoto wawili au watatu. Mke anafanya kazi kipato chake ni kama 1m kwa mwezi, na wewe unafanya kazi kipato chako ni hicho hicho. Matumizi ya home anakutegemea wewe (mme)...