Daah hapo kidogo naanza
kupata kamwanga maana sie wengine sijui tumeumbwaje maana lugha laini za
kubembeleza akina dada wala hatuna, kama hataki akwambie sitaki tu
uangalie upande mwingine.
Wanaringa kwenye masuala ya mahusiano yaani mapozi kibao unampigia simu anajishauri kupokea au asipokee kabisa.
uzuri na ubaya unaupimaje???
Hivi kwa nini wanawake au wasichana wabaya huwa wanaringa kuliko wanawake au wasichana wazuri?