Ki-cousin changu 13 yrs kishaanza mambo ya kikubwa, nataka nikakiweke kijiti cha uzazi wa mpango

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,664
2,000
Wakubwa zangu shikamooni!!!!!!!

Wengine Bwana Asifiwe, Tumsifu Yesukristu, Mungu Ibariki Tanzania na As-salamu alaykum (السلام عليكم) wana jamvi wenzangu!!!!!!!!! Hope jumapili yenu ni njema!!!!!!!!!!!!!

Kwa sie wazazi na walezi bora leo ni VISITING DAY kwenye mashule mengi sana jijini. Leo bana ILINIBIDII (NA ILINIBIDI KWELI KWELI) nikamuone mwanangu mmoja hivi yuko Boarding Form 1 hapa hapa jijini katika hizi MIXTURE SCHOOLS! Huyu Aunt yangu ni mwanangu wa ubatizo pia, sasa toka kaanza F.1 January mambo yalitight kimanzi sijapata hata wasaa wa kumuona kabisaaaa. Kakawa kanitumia SMS, Simu kila hali nikakajulie hali nikawa sitilii maanani. Leo ndo ikabidi NIKAFUTE LAWAMA kabla mwaka hujaisha, nikaenda na zawadi ya SIMU MPYA kumpoooza na Madhambi yangu ya kukatelekeza.

Kifupi huyu Aunt yangu ni mtoto wa my cousin ALIMZAA F 1, MAMA MTU AKIWA 13 yrs kibahati mbaya, hivo akalelewa na watu wengi tu, mara yupo huku, mara kule, Mashallah!!!!! Saivi kadada ka 13 yrs ila MAMA yake mzazi YUKO HUKO NCHI ZA WATU!!!!!!!! Kanalelewa tu na bibi yake! Anadekezwaje sasa! Hasikiiii mtoto huyu si la Muzini wala Mnadi Swala!!!!!! Katukutu kweli kweli.

Mimi nikamuona pale, nikampa simu mpya uzuri tu, kafurahi, tumekula mapochopocho, nimekagua daftari zote (toto vivu kama nini) Nikagomba pale mpaka kaipata fresh, Ripoti nayo hairidhishi wala nini (Niandae tu hela ya kuhonga wakuu wa shule manake wastani hafikishi wala nini), nikaenda kwa Matroni nako nikakuta kesi juu ya kesi (Ikabidi NIMPOZE MATRON NA U 50 ILI ASITUNYIME NAFASI MWAKANI). KWELI WAZAZI FATILIENI WANENU SHULENI NI HATARIIII! Nikatimba hadi kwa dada wa bweni(sina masihara katika malezi kabisaaa) nako hakujakaa vizuri wala nini. NIKATOA RISALA NZITO SANA YA KIMALEZI NA KIDINI(ILIBIDI KUOMBA BACK UP JUU), MPAKA MACHOZI YAKANITOKA MWENZENU!!!!!!!! Basi kakawa kanaitikia tu nimesikia!!!!!! Saa ya kuondoka NIKAMWAMBIA ANIPE SIMU YA ZAMANI ILI ABAKI NA HIYO MPYA!!!!!!!! BASI AKANIPA KWA KIWEWE NA HARAKA ZA FURAHA!!!!!!!

Nimerudi zangu mida hii NAWAZA JINSI YA KUWASILISHA RIPOTI YA MAENDELEO KWA BIBI MTU HAPA MGONJWA WA KISUKARI, NAKOSA PA KUANZIA!!!!!!!!! Nikaamua NIIWASHE ILE SIMU NIITIE NA LINE!!!!!!!!! MTUMEEEEEEEEEE TOBAAAAAA YARABIIIIIIIIIIIII!!!!!!!!!!! Si hakajatoa MEMORY CARD!!!!!! HIZO PICHA ZILIZOMO!!!!!!!!!!! LAANAKUM MKUBWA!!!!!!!!!!!! Hapa NATETEMEKA MWENYEWE!!!!!!!!!!!! Kuna ambayo YUPO GESTI KWENYE SHUKA NA KITOTO CHENZIE WAMEKUMBATIANA BILA NGUO!!!!!!!!!!!! Maaaaaaaaaayangu!!!!!!!!!! Toto hili!!!!!!!!! Acha za FRECH KISSES NA KUKUMBATIANA!!!!!! SINA HAMU MWENZENU!!!!!!!!!! Hizo SMS BALAAAAAAAAAA!!!!

Yaani hapa NISHAONA HUYU BASI TENA! DAWA NI KUMUWEKA VIJITI 3 TU ILI AMALIZIE HIYO F4!!! BAAAASSSSS
TUHANGAIKE NA HIZO CERTIFICATE NA DIPLOMA!!!!!!!! Khaaaaaaaaaaaaa!!!!! TIMES ARE CHANGING SO FAST JAMANIIII!!!!!! 13YRS ANALIWA UZURI TU!!!!!!!!!! Na asivo na mwili basi!!!!! Vifupa tupu!!!!!! Dont tell me to talk her, DONT TELL ME TO DO NOTHING!!!!!!! Najua CONTRCEPTIVES NI MBAYA ILA MIMBA ZA UTOTONI NI MBAYA ZAIDI!!!!!!! Akifunga shule tu Manzese Kimya kimya, DUMBUKIZA VIJITI 3, kimya kimya rudisha nyumbani maisha yaendeleee!!!!! Baaaaaaaaaass!!! SIWEZI HATA KUANZA KUSHITAKI KWA WAZEEE!!!!!!! NTANZIA WAPI!!!! TIMES ARE CHANGING FAST SO SHOULD WE I GUESS!!!!!!!!! Mungu tu AMUIPUSHIE hiyo NGOMA manake IF I COULD DO ANYTHING TO PROTECT HER NINGEFANYA!!!!!!!!

Kama ni mwanao WHAT WILL YOU HAVE DONE!!!!!!
 
platozoom

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
8,596
2,000
Ngumu kumesa. Juzi ilikuwa boss, Jana rafiki na kitoto chako.Mwaka huu utazeeka
 
Angel Msoffe

JF-Expert Member
Jun 21, 2011
6,790
1,225
Like mother like daughter,Atazaa akiwa na miaka 13 kama mama yake. UTAZUIA MIMBA NA UKIMWI JE?
 
lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,664
2,000
Like mother like daughter,Atazaa akiwa na miaka 13 kama mama yake. UTAZUIA MIMBA NA UKIMWI JE?
Ukimwi ATAJIJU MWENYEWE!!!!!! ATLEAST NA ARVS ITAFIKIA 20 YRS Atakuwa ashafika 30, Mimba NOMA!!!!!!! Abortion is Risky, Kujifungua Risky, Malezi Risky, TUSIJE WAPOTEZA WOTE BURE!!!!!!!!!
 
The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
39,061
2,000
Swali hapa ni je ana do na watoto wenzie au wakubwa?

kama ni watoto wenzie sio kesi kubwa.....

na je ana do kwa shida au kwa utundu?na swali lingine muhimu ni hili 'what is the worst case scenario?

mimba? kwani akipata mimba ndo mwisho wa dunia?

akizaa?

bottom line wengi wakishapata mimba ndo akili huwarudia...
na wakisaidiwa huwa hawarudii makosa

The best way ya kumsaidia ni kumpeleka kwa washauri nasaha waende kumpa ushauri woote
as an adult.....

Tabia ya waafrica kuwa treat 'teanagers' kama 'little kids' ndo sababu ya yote haya

huyo sio mtoto tena.....13 years old hata akiua haachiwi.....

'treat her like an adult now'
na akipata mimba azae ajiufunze......

halafu why mna hofia mimba kuliko Ukimwi??????
 
kisukari

JF-Expert Member
Jul 16, 2010
4,525
2,000
lara uandikaji wako,natamani niwe nakuona,sijui unakuwa unakunja uso au una smile?maana herufi zote unachanganya,najua nia yako ni kusisitiza point katika maelezo yako.watoto wa sasa kusema la ukweli,maybe simu zinachangia,mtoto wa primary ana boyfriend,huko sec mbona mbali.na wazazi wengine,maana nitasema kama kukimbia malezi.mtoto ana miaka 6 anapelekwa boarding school.inabidi mzazi umueleweshe mtoto kuhusu sex education bila kuona aibu,maana saa nyengine iwe isiwe atafanya tu.ki ukweli inasikitisha
 
lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,664
2,000
mmh, pole

njiti bado mdogo mno
ningemfundisha ndom tu
na ningemtafutia bf anayejitambua atakayemlinda
Ndomu bana HAINA GUARANTEEE!!!!!!!!! I CANT RISK IT!!!!!!! BF mwenyewe KITOTO MAYBE FORM 3!!!!!!!!!! Angekuwa Mtu Mzima ANGENITAMBUA UZURI!!!!!!!!!!! NINGEMKOMESHAJE!!!!!!!! Sasa kale katoto chenzie sina hata pa kuanzia!!!!!

Huko Ulaya mwatumia nini wenzetu manake mnaanza wadogo kweli haya mambo ILA HAMZAI KAMA KUKU!!!!!!!!
 
lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,664
2,000
lara uandikaji wako,natamani niwe nakuona,sijui unakuwa unakunja uso au una smile?maana herufi zote unachanganya,najua nia yako ni kusisitiza point katika maelezo yako.watoto wa sasa kusema la ukweli,maybe simu zinachangia,mtoto wa primary ana boyfriend,huko sec mbona mbali.na wazazi wengine,maana nitasema kama kukimbia malezi.mtoto ana miaka 6 anapelekwa boarding school.inabidi mzazi umueleweshe mtoto kuhusu sex education bila kuona aibu,maana saa nyengine iwe isiwe atafanya tu.ki ukweli inasikitisha
Sasa huyu 13 YRS ANANENGENEKA DEATH OF COACROCH!!!!!!!!! SHAJUA UTAMU WA DUDU SI MKUBWA MWENZANGU HUYU!!!!!! Nitaanza kumwambia USIFANYE KWELI!!!!!!? Si atanizuga!!!!!! Bora nikapige VIJITI/SINDANO Baaaaaass!!!!! Hata kumwambia mama yeke NAOGOPA!!!!!!
 
Swts

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
3,065
1,195
khaaaaa muhamishien shule ambayo kutakuwa na usimamizi wa karibu iwe rahis kumfatilia
 
Zamaulid

JF-Expert Member
May 25, 2009
17,767
2,000
we Lala1 kama unakumbuka kumtia mijiti basi usisahau na kumsisitiza ku-condomise !!!!tena mnunulie box kubwa awe analitunza mwenyewe!
 
Last edited by a moderator:

kbm

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
5,151
2,000
..., pole sana dada ! Gari limeacha njia, yawezekana dereva alikuwa ana sinzia, abiria nao hawakushutuka kumkemea' loh! Lakini ni vizuri umegundua sasa' cha muhimu nakuomba uwe karibu na huyu mtoto wetu, pia kuwa mawasiliano ya mara kwa mara na walezi wake wa shuleni (walimu wa darasa, mwalimu mkuu, matron) ni muhimu kupata taarifa za mtoto angala kila wiki, ikiwezeka uwe unaongenaye kupitia kwenye simu ya matron! Kwa sasa siyo vyema mtoto kama huyu kuwa na simu. Watoto wetu wanajifunza mambo yasiyofaha kupitia mitandao.
 
lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,664
2,000
Swali hapa ni je ana do na watoto wenzie au wakubwa?

kama ni watoto wenzie sio kesi kubwa.....

na je ana do kwa shida au kwa utundu?na swali lingine muhimu ni hili 'what is the worst case scenario?

mimba? kwani akipata mimba ndo mwisho wa dunia?

akizaa?

bottom line wengi wakishapata mimba ndo akili huwarudia...
na wakisaidiwa huwa hawarudii makosa

The best way ya kumsaidia ni kumpeleka kwa washauri nasaha waende kumpa ushauri woote
as an adult.....

Tabia ya waafrica kuwa treat 'teanagers' kama 'little kids' ndo sababu ya yote haya

huyo sio mtoto tena.....13 years old hata akiua haachiwi.....

'treat her like an adult now'
na akipata mimba azae ajiufunze......

halafu why mna hofia mimba kuliko Ukimwi??????
AZAE KWELI NA 13 YRS!!!!! KWELI!!!!!!! NGOMBE WA MASIKINI HAZAI!!!!!!! Yule anafanya Kama fashion tu!!!!!!! Ili asionekane mshamba!!!! Naendelea kutafakari huu ushauri!
 
lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,664
2,000
..., pole sana dada ! Gari limeacha njia, yawezekana dereva alikuwa ana sinzia, abiria nao hawakushutuka kumkemea' loh! Lakini ni vizuri umegundua sasa' cha muhimu nakuomba uwe karibu na huyu mtoto wetu, pia kuwa mawasiliano ya mara kwa mara na walezi wake wa shuleni (walimu wa darasa, mwalimu mkuu, matron) ni muhimu kupata taarifa za mtoto angala kila wiki, ikiwezeka uwe unaongenaye kupitia kwenye simu ya matron! Kwa sasa siyo vyema mtoto kama huyu kuwa na simu. Watoto wetu wanajifunza mambo yasiyofaha kupitia mitandao.
Nashukuru kwa ushauri ndugu yangu!!!!!! Ila mimi mwenyewe ni MLEZI WA MISIMU TU!!!!!!!! Inshort hapa nawaza kumpigia Bibi mtu simu na kupeleka huu ushahidi wa simu! Ila namhurumia Bibi wa watu, Mgonjwa masikini alafu ataona HISTORIA INAJIRUDIA!!!!!!!!! Mitoto mingine TANDIKA MAKOFI KABISA!!!!!!
 
kbm

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
5,151
2,000
Umeonaaaaa eeeeeh!!!!!!!! Bora hata nisingeenda hiyo VISITING! Ningekunywa tu bia basi!!!!!!!!!!
... Tenda wema uende zako lara 1. Mungu Atakuridishia. Bia za nini bana! Sasa wewe ndiye mwokozi wa huyo mtoto! Mungu kaisha kuweka kwenye kumi na nane zake. Usipo fanya jambo hapa, itakuja rudi kwako' hata miaka nenda rudi. Funguka lara 1!!!
 
lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,664
2,000
khaaaaa muhamishien shule ambayo kutakuwa na usimamizi wa karibu iwe rahis kumfatilia
Shule kumuhamisha ada sio ishu, ISHU AKILI ZAKE 3 TU!!!!!!!! Hapo kwenyewe TUMEHONGA kichizi hadi kuingia, na tutaendelea kuhonga ili apite hivo vidato!!!!!!! Angekuwa BRIGHT tupa kwa masista huko vijijini.
 
Top Bottom