hp mu wazima..jaman me bado mgeni naomba msinitolee mapovu sana nisaidien kwa hili nitaloenda waeleza..
kuna mpendwa mmja anadai kukosa uaminifu kwa boy wake kutokana na kukuta msg za ajabu...
I experience the other side of my wife today. She completely refuse to travel by bus. Her emphasis is FastJet or P.W. Its not her first time on jets or airbus.
I try to make her understand on...
Kama mmekaa zaidi ya miaka 3 kama
wapenzi na bado hujamjua kitabia basi
hata ukikaa nae miaka 500 hutamjua, ni
heri umuache aende zake. Wale mabingwa
wa kuwaweka watoto wa watu uchumba
miaka...
Kama ww ni muhitaji haswa na unapenda kuishi na mume atakaye kupenda kwa dhat na uyafurahie mapenz, njoo kwangu!!
Angalizo sihitaj mwanamke mrembo, nahitaj wakawaida tutakayeenda ktk...
Yaani nina hasira, siku ya tatu leo ana majibu ya mkato sana tulishazoea
kuongea usiku, lakini siku hizi simuelewi kabisa anapiga kidogo halafu ana
niambia kichwa kinamuuma.
Jana ameniambia...
Mimi ni kijana wa miaka 20 natafuta marafikiwa kuchat nao kujuana hali, kutembeleana nao yaan ku have fun kama ma best friend...ukiwa tayari naomba tuwasiliane,plz uni PM.
MWANAMKE mkazi wa Kijiji cha Matui, wilayani Kiteto, mkoani Manyara ameponea chupuchupu kuuawa baada ya mume wake kumchoma na chuma cha moto sehemu za siri kutokana na wivu wa mapenzi.
Mwanamke...
Nina jirani jamaa yangu ameoa mwaka jana Novemba! Ilikuwa hivi: binti alipata mimba: basi jamaa kachagizwa fasta fasta wafunge arusi. Na kweli ilikuwa arusi babu kubwa! Wote wanafanya kazi: binti...
Kijana mmoja hapa mtaani kwetu mwenye umri wa miaka 17 amejikuta katika wakati mgumu kwa kutakiwa kulipa milioni mbili kama faini ya kumtoa bikira binti wa watu anayesoma kidato cha kwanza...
katika pitapita kwenye blogs nikakutana na hii.....
#TIPS>>YOU NEED AT LEAST 8 HUGS A DAY!!!!
Hugging therapy is definitely a powerful way of healing. Research shows that hugging (and...
My profile.
Age: 25-27
nationality:tanzanian
colour:black
education:bachelor degree
interest in woman with the following features.
Age:22-26
nationality:any from africa
colour:natural...
Ninatafuta mdada wa miaka kati ya 20-30 wa elimu ya angalau kuanzia Form-4,Mkristo wa dhehebu lolote isipokuwa Sabato,aliyetayari kuanzisha mahusiano na mimi ambayo yatapelekea uchumba na hatimaye...
Nina rafik yngu wa kiume yy ni advocate ktk ofic moja hapa dar es salaam tumedumu ktk urafik wetu yapata mwaka na nusu unaelekea wa pili amejaribu kunihitaj kimwil nikamchomolea nakumpa sababu...
Nimeangalia muvi nyingi za hollywood za mapenzi sijawahi kuona demu akimpiga mzinga bf wake. Atapigwa mti na kusepa bila kuomba nauli wala hela yya matumizi sijui hela ya saluni. Au watatoka out...
NI Jumatatu nyingine tena imewadia marafiki zangu ambapo tunakutana katika uwanja wetu ule ule wa kupeana darasa hili maridhawa. Ninaamini mtakuwa wazima wa siha njema na mpo tayari kupokea kile...
Habari za jioni wana JF?
Katika kukumbuka nilikotoka nimejikuta nakumbuka mambo mengi sana na nikajikuta najiuliza hili swali.
Obviously naelewa kuna mambo huwa yanabadilika. Mfano labda...
kuna rafiki yangu kaacha pombe kuanzia tarehe 1 mwaka huu na makusudi yake anataka aache kwa mwaka huu wote na kuendelea ila anasema tangia ameacha kila akikaaa hivi mawazo yake yote yanamtuma...
Inakaribia miaka kumi sasa tangu tukio hilo baya litokee...
Alikuwa mbali na mimi kwa kipindi cha kama nusu mwaka..
Japokuwa mawasiliano yalikuwepo on daily basis.. tena mara tatu kwa kutwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.