Ladies, Can You Kneel Down For Your Husband Openly?

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,289
I had this conversation with a friend of mine and she‘s like she can never and will never do it! Men are not worth it bla bla bla...
I was like what the heck! This is absolutely the peak of pride!
What‘s the big deal? After all he‘s your husband (your head).
My question goes to all the ladies in the house both married & unmarried. Can you kneel down for your husband openly?
Is anything wrong in doing that? Or I‘m the one not seeing things right.
NOTE: This question might not apply to people that kneeling down is not part of their culture.
Thanks.
 
Im not from a culture of kneeling, but i would. I dont mind doing it. Its like saying shikamoo to him asubuhi na jioni. It doesnt take a piece off my mouth, sio? I can show him respect without kneeling. We argue like adults, we joke, we laugh and we fight too. WITH RESPECT!
 
my dear goti linabigwa kwa Mungu tu, hakuna ruhusa ya kumuabudu binadamu, kwani Mungu wetu ni mwenye wivu!
 
Kula LIKE mkuu, vitu vingine ni simpo sana na kama mna maelewano ya kutosha ndani ya familia wala sio tabu kuvifanya! Wanawake wengine eti wanaona shida! Khaaa, mi kwenye ndoa yangu nilikua kama chizi nilipigiwa magoti mwanzo mwisho na mimi kuna vitu nilikua nafanya ambavyo my friends walikua wakinicheka! Its all aboutRespect na kuwa comfee with each other.....
 
944662_17E_jpgdd68bbf8be4d7f92f7f881b895eafeb4.jpg

mbona sisi wanaume tunapiga,nyie mbona wagumu hivo
 
my dear goti linabigwa kwa Mungu tu, hakuna ruhusa ya kumuabudu binadamu, kwani Mungu wetu ni mwenye wivu!

goti linaloongelewa kwenye biblia ni la unyenyekevu. Haina maana lazma upige goti physically. Ni unyeyekevu chini ya mkono ulio Hodari. Hapa tunaongelea utii, ambayo ndio sign yake.kwa baadhi ya tamaduni ni goti lile la mwadelaaaa! Unaabudu na kunyenyekea kwa Mungu, lakini unamtii mume. Its Biblical. Japo hatutii ujinga.
 
Kama goti litamfurahisha mume wangu na kumfanya atimize majukumu yake kwa furaha, why not! Kwani goti ni sh ngapi? Lakini sio litumike kunikandamiza. Niliona mahali libaba linakaribishwa chakula mezani (mjini ujue, sio killage),, linaendelea kusoma gazeti. Na aliemkaribisha anaendelea kupiga goti hadi aitikiwe. Hiyo ni ----. Nikifanyiwa hivyo goti linafutwa kwa hansard kabisaa.
Kula LIKE mkuu, vitu vingine ni simpo sana na kama mna maelewano ya kutosha ndani ya familia wala sio tabu kuvifanya! Wanawake wengine eti wanaona shida! Khaaa, mi kwenye ndoa yangu nilikua kama chizi nilipigiwa magoti mwanzo mwisho na mimi kuna vitu nilikua nafanya ambavyo my friends walikua wakinicheka! Its all aboutRespect na kuwa comfee with each other.....
 
Kama goti litamfurahisha mume wangu na kumfanya atimize majukumu yake kwa furaha, why not! Kwani goti ni sh ngapi? Lakini sio litumike kunikandamiza. Niliona mahali libaba linakaribishwa chakula mezani (mjini ujue, sio killage),, linaendelea kusoma gazeti. Na aliemkaribisha anaendelea kupiga goti hadi aitikiwe. Hiyo ni ----. Nikifanyiwa hivyo goti linafutwa kwa hansard kabisaa.
Exactly na kama linapigwa kwa upendo wote mtaenjoy aiseee ila mtu kutumia kumnyanyasa mwenza wake hiyo sio sahihi! Kwa mimi binafsi nilivyolelewa hadi dada zangu wananipigia magoti, mama yangu pia kuna baadhi ya vitu ni lazima anipigie magoti sasa ni kitu ambacho nilikiheshimu! Believe me I treated her kama mama yangu, na sikuwahi kuomba wala kulazimisha alijua ni kitu nakipenda akajizoesha! In turn unajikuta mnakua close kuliko!
 
If my culture allowed then it means I am accustomed to it. And now that I don't it sounds like pulling off my arm to please a man.
 
Mind you, sijasema mie napiga goti. Hata la kuigiza huwa nasahau. Lakini ni utamaduni tu wa background yangu, ila ningekutana na mpenda goti mbona easy tu? Kuna mtu anapenda snaa kuamkiwa shkamoo, nikaona isiwe kesi. Mshkaji kanizidi 15 yrs, japo we work and feel same level. Nikaona why not, tuko peace kabisaa.
can you kneel Evelyn Salt.......... King'asti nimependa hiyo high level ya thinking yako na deeds..........mutual respect and understanding is the key points here
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom