Mr.creative
JF-Expert Member
- Aug 8, 2011
- 492
- 117
Hello,Jf members naomba maoni yenu kuhusu mada tajwa hapo juu,lengo hasa nikumsaidia rafiki mmoja ambaye ni mkristo halafu mchumba (msichana) wake ni muislamu wanataka waachane kwa kigezo hicho cha imani! Sasa je itakuwa sahihi kufanya hivyo au La? Karibuni kwa maoni ,ushauri na Dis kama zipo!