Anywa sumu kwa ajili ya mapenzi!!!!!!

Anywa sumu kwa ajili ya mapenzi!!!!!!

Joined
Jan 9, 2013
Posts
46
Reaction score
3
Ni jamaa fulani huku kwetu,Ni baada ya kusaritiwa na mpenzi wake na kuamua kujinyonga.
Kijana huyu alikuwa mwaminifu sana kwa mpenz wake,cha ajabu ni pale alipoanza kugundua kuwa mpenzi wake ana date na rafiki yake.Hakuamini pale alipo ambiwa.baada ya mda wa wiki kadhaa mpenzi wake alimdanganya kuwa anaenda kwa wazazi wake.bila hiyana alimruhusu akiwa na mashaka sana,hakumuliza sana aliamua kumfuatilia kila hatua ya unyayo wake.
Ndipo aligundua kuwa mpenz wake hakuwa mkeli.! Alimwona akielekea kwenye hotel jiran na kutokomea
Ila alifuatilia mpaka pale alipo mkuta kimwana wake akiwa mtupu.aibu sana kwa rafiki yake aliye kuwa anawasiliana naye kwenye phone.
Alitoka kwa hasira na kwenda kujitundika kitanzini..
 
mioyo ya wengine ni milaini sana. Maumivu ya mapenzi yanashinda maumivu yote kwa maumivu.
Ukishaamua kuingia kwenye ulimwengu wa mapenzi, haijalishi wewe ni he au she, unatakiwa uwe na roho kama ya Mlugaluga. Risasi ikipigwa wewe sema...Maji...na inakuwa maji kweli!.
 
Ukishaamua kuingia kwenye ulimwengu wa mapenzi, haijalishi wewe ni he au she, unatakiwa uwe na roho kama ya Mlugaluga. Risasi ikipigwa wewe sema...Maji...na inakuwa maji kweli!.

rahisi kusema kuliko kutenda ndugu yangu. Yaani bora huko usiingie kabisa. Lol
 
Back
Top Bottom