Utajuaje kuwa umemfikisha?

Utajuaje kuwa umemfikisha?

Majigo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
5,519
Reaction score
1,832
Leo acha niwape dondoo
kadhaa kuhusu namna ya
kujua kama umemkuna
ipasavyo mwanamke
wakati wa tendo la ndoa.

1.Kufinya shuka kwa
nguvu Kufinya shuka au kitanda
kwa nguvu wakati
unampa mambo ni ishara
mojawapo ya kuonyesha
kwamba inamkuna vizuri.

iStock_000007016018XSmall_244x183.jpg


2.Kukukumbatia kwa
nguvu au kukufinya: Hii pia no moja kati ya
ishara nyimgi
anazoonyesha mwanamke
pindi anapo ------
vizuri.

3.Kutokwa na jasho ndani
ya sekunde chache: Ukiona anatokwa na jasho
ndani ya sekunde chache
na katika hali isiyo ua
kawaida basi jua kua
utendaji wako ni mzuri na
unamridhisha.
Acha niishie hapo kwa leo,
lakini sina maana kwamba
kama mwanamke wako
haonyeshi moja kati ya
ishara hizo au zote basi
ndio inamaanisha haumridhishi, hapana. Hizi
ni baadhi tu, zipo nyingi
tu.
 
Hizo ni kwa muijibu wako, by the way nashukuru japo haijanisaidia
 
Dah!
Yawezekana Pia, Kila Mtu Na Tabia Zake Kiukweli
Ila Mara Nyingi Ndo Hizo Hapo Juu!

zipo nyingi sana....kuna wanaozimia pia....

kuna jamaa yangu kila akikutana na demu wake yule demu lazima azimie kwa muda wa nusu saa hivi...
 
Kwa style hii mtaibiwa sana mwaka huu! watafinya mashuka hadi mkome kumbe hamna kitu!!
 
Back
Top Bottom