Namna ya kumkera mpenzi/mchumba/mke au mme

high vampire

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2012
Posts
2,939
Reaction score
2,177
[h=3]NAMNA YA KUMKERA MPENZI/MCHUMBA/MKE AU MME [/h]Hivi ni baadhi ya vitu ambavyo vinaweza sababisha kuvunjika ama kutoweka uaminifu kama unavyovingine unayesoma weka hapa tuvijue zaidi

Ni vitu vya kawaida ila madhara yake makubwa kama hutakua makini.
1.Ukitumiwa meseji/barua pepe usijibu au jibu siku na saa utakayo jisikia
2.Ukipigiwa simu na mwenza wako usipokee na hata ukiona missed call usipige,wala text,au kuomba kupigiwa!!
3.Ukipigiwa simu mbele ya mwenza wako nenda mbali ukapokee simu huko ukimaliza rudi na muendelee na kile mlikua mnafanya
4.Simu weka password na futa contact records za kila siku kuanzia msg,calls,etc na jina katika contacts andika jina baya baya lisilo lake mfano Jinga,kidumu, kero,msumbufu,wewe nani,wale wale,mzushi etc
5.Akikupunguzia salio kwenye simu wewe mpunguzie mwingine(mke mpunguzie mwaname mwingine),(mme -mpunguzie msichana mwingine) na baada ya hapo uwe una beep tu hata kama umepunguziwa salio.
6.Mkiwa pamoja matembezini kama wewe mke uwe unaangalia sana wanaume wengine na mwanaume uwe unaangalia wasichana wengine na kutokusikilizana.
7.Usiwe na attention yeyote wanasema ''kila mtu ana shida zake usikilize za mwingine za nini''
8.Kuwa bize na vitu visivyo eleweka mfano kutuma text zisizo isha au kuwapigia watu wengine simu na kuongea umbea wakati mwenza wako anataka kuongea na wewe.
9.Uwe mchafu mchafu usiye jipenda
10.Uwe umenuna kila mara
11.Zima simu kila ukiwa na mwenzio ili usipigiwe na yeyote na kuiweka mbali na mlipo.
12.Ukiwa nae sifia (mme-sifia wanawake wengine eti wazuri na wana adabu), (mke-sifia wanaume wengine mbele yake)
13.Toa siri zenu zote watu wajue (hata za chumbani!!)
14.Kusemana mbele za watu au kutukana mwenzio kwa dharau
15.Uwe unachelewa kurudi nyumbani bila sababu za msingi (kwa wanandoa)
16.Kunywa sana ukifika nyumbani tapika (kuny*) kila mahali na usisafishe!!
17.Ukiongozana na mpenzi wako mtambulishe kama rafiki yako kwa rafiki zako
18.Mkiongozana kila mtu atembee pekee yake kama hamjuani vile.
19.Kama mna kawaida ya kwenda club basi kila mtu acheze na mtu anayetaka cheza naye na kwa kujiachia!
20.Kuwa mtu unayetaka kuheshimiwa bila kuheshimu kisa your somebody kazini,ktk biashara,n.k
21.Ukiwa na mwenza wako zungumzia zaidi past relations zilivyo kua na namna mlivyokua mki enjoy na mengine mengi.
 
Mhhhh! Sijakupata kwa hiyo umetoa tips ili wapenzi waudhiane makusudically???
 
How to lose friends and alienate people....teh teh teh
 
Mbona kama unatupotosha, kipangele cha 13 ndo kibaya zaidi...oooph!
 
huyo ni adui siyo mpenzi...........................!:confused2:
 
vile vile kama humfikishi mwanamke wako kileleni, yaani huwezi kusimamia show kisawasawa!
 
kumkojoza mpenzi wako kisawasawa ni kitu muhimu sana katika kudumisha mahusiano
 
Mhhhh! Sijakupata kwa hiyo umetoa tips ili wapenzi waudhiane makusudically???

cyo hivyo mkuu lengo kuvijua vitu vinavyomkera mtu il ucje kuvifanya mkuu tupia kama unazo zingine ili tunusuru ndoa zetu
 
demu Wangu Nimemchoka sana
Ngoja nitumie Hizo Mbinu!
 
Thanx ver much, nlikuwa nazijua baadh, umeniongezea, sasa kaz kwangu. nimeipenda hiyo ya kusifia past relation si unajua kiporo hakiitaji moto mwing/mkubwa. kitu nyingine ni kuwa promiseless mf. nitakuja then hutokei wala nn!
 
[h=3]NAMNA YA KUMKERA MPENZI/MCHUMBA/MKE AU MME [/h]Hivi ni baadhi ya vitu ambavyo vinaweza sababisha kuvunjika ama kutoweka uaminifu kama unavyovingine unayesoma weka hapa tuvijue zaidi

Ni vitu vya kawaida ila madhara yake makubwa kama hutakua makini.
1.Ukitumiwa meseji/barua pepe usijibu au jibu siku na saa utakayo jisikia
2.Ukipigiwa simu na mwenza wako usipokee na hata ukiona missed call usipige,wala text,au kuomba kupigiwa!!
3.Ukipigiwa simu mbele ya mwenza wako nenda mbali ukapokee simu huko ukimaliza rudi na muendelee na kile mlikua mnafanya
4.Simu weka password na futa contact records za kila siku kuanzia msg,calls,etc na jina katika contacts andika jina baya baya lisilo lake mfano Jinga,kidumu, kero,msumbufu,wewe nani,wale wale,mzushi etc
5.Akikupunguzia salio kwenye simu wewe mpunguzie mwingine(mke mpunguzie mwaname mwingine),(mme -mpunguzie msichana mwingine) na baada ya hapo uwe una beep tu hata kama umepunguziwa salio.
6.Mkiwa pamoja matembezini kama wewe mke uwe unaangalia sana wanaume wengine na mwanaume uwe unaangalia wasichana wengine na kutokusikilizana.
7.Usiwe na attention yeyote wanasema ''kila mtu ana shida zake usikilize za mwingine za nini''
8.Kuwa bize na vitu visivyo eleweka mfano kutuma text zisizo isha au kuwapigia watu wengine simu na kuongea umbea wakati mwenza wako anataka kuongea na wewe.
9.Uwe mchafu mchafu usiye jipenda
10.Uwe umenuna kila mara
11.Zima simu kila ukiwa na mwenzio ili usipigiwe na yeyote na kuiweka mbali na mlipo.
12.Ukiwa nae sifia (mme-sifia wanawake wengine eti wazuri na wana adabu), (mke-sifia wanaume wengine mbele yake)
13.Toa siri zenu zote watu wajue (hata za chumbani!!)
14.Kusemana mbele za watu au kutukana mwenzio kwa dharau
15.Uwe unachelewa kurudi nyumbani bila sababu za msingi (kwa wanandoa)
16.Kunywa sana ukifika nyumbani tapika (kuny*) kila mahali na usisafishe!!
17.Ukiongozana na mpenzi wako mtambulishe kama rafiki yako kwa rafiki zako
18.Mkiongozana kila mtu atembee pekee yake kama hamjuani vile.
19.Kama mna kawaida ya kwenda club basi kila mtu acheze na mtu anayetaka cheza naye na kwa kujiachia!
20.Kuwa mtu unayetaka kuheshimiwa bila kuheshimu kisa your somebody kazini,ktk biashara,n.k
21.Ukiwa na mwenza wako zungumzia zaidi past relations zilivyo kua na namna mlivyokua mki enjoy na mengine mengi.

Hiyo ya 13 ndio 'shortcut' hata awe anakupenda vipi...! Ata-keep distance from you kwa 'usalama' wake na maendeleo yake na hapo mapenzi ndio kwisheni. Tena hizo siri toa kwa wabaya wake.
 
Ugomvi class.
Unaonaje ukafungua tuition??
 
Back
Top Bottom