Kwa wanawake wenye ndoa please suggest its important

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Posts
4,324
Reaction score
1,901
Ok Nina wifi yangu jamani.aliolewa na mtu wa Iran lakini huyu mume wake alizaliwa USA hata Huko Iran hakujui.Huyu wifi yangu amesoma Yale university na hakufanya kazi tangia aolewe na mumewe.mume wake anapesa haswa .Sasa mume wake akauza kampuni yake na alimake almost 50 million dollars wakahamia Sydney Australia .Sasa huyu mume wake baada ya kuuza kampuni akaamua kukaa tu nyumbani Mara beach Mara golf .sasa wifi yangu (mzungu) Amefile for divorce eti mume wake Hana ambition yoyote tena na hawezi kuwa na mume asiyekuwa na ambition (wana watoto wawili).sasa hapa mnaona tatizo ninini? Wifi yangu very hard looking sio mzuri kabisa .Nilimuuliza Jana mwanaume wake akimrudia atarudi akasema lazima awe na kazi .Nyinyi mnahisi tatizo hapa ninini ? Nipo nae hapa amechanganyikiwa huyo anamwelleza kila mtu tatizo lake anataka kusikia point view ya African women .Ahsanteni
 
dahhh ndoa ndoano. kwa kweli kwenye ndoa kuna matatizo mengi . Wifio anasema tatizo ni "Mume wake hana kazi" na je umemuuliza mume wake tatizo nini?? maana kuna story za pande mbili hapo. labda kuna matatizo mengine ndani ya ndoa ambayo anaona haya kuongea nawe. halafu swali lingine umemlinganisha uziri wake na nani kwa we kusema "sio mzuri kabisa"?
 
Natalia bwana. Nimeipenda hiyo very hard looking. Yaani sura ngumu! Sasa view ya african woman si angeipata kwako, ama they dont consider you an african woman any more? Halafu mumewe hana ambition yoyote. Yeye ana ambition gani?
Kongosho na snowhite, hebu mje african women. Mie nshakuwa mzungu.
 
Last edited by a moderator:

hahahahahahahah King'asti bana em niambie nienda wapi kuchukua hiyo degree fake ya kuwa mzungu ??
 
unakaa na wazungu, unadate wazungu and you start thinking kuwa wewe ni mzungu. Mbona kila saa na tikisa my hair, and i nod at every sentenso! Soon i am becoming russian (au warusi nao ni wazungu?)
 
hahahahahahahah Hilarious ... huo mtihani mgumu aisee I quite . mi huu mu Afro wangu hata dawa si weki kwa hiyo ngoja nianze kuji remove taratibu aise. sihitaji maumivu ya kichwa. Hivi siwezi ku date ama kuolewa na mzungu nikabaki kuwa Mu Africa? I think Warusi ni wanzungu .
 
Hapa tumngoje mwl gfsonwin aje atoe ushauri
 
dahhh ndoa ndoano. kwa kweli kwenye ndoa kuna matatizo mengi . Wifio anasema tatizo ni "Mume wake hana kazi" na je umemuuliza mume wake tatizo nini?? maana kuna story za pande mbili hapo. labda kuna matatizo mengine ndani ya ndoa ambayo anaona haya kuongea nawe. halafu swali lingine umemlinganisha uziri wake na nani kwa we kusema "sio mzuri kabisa"?
Mimi personal nahisi mume wake penzi limeisha .Kwa sababu mume wake Bado Tajiri halafu mume ana girlfriend tayari.Kusema ukweli havitii wifi huyu
 
Mume kijana mke kijana pesa ipo lakini hobbies zenu hazilingani kuweza ku-enjoy pamoja. Si jambo dogo
 
Natalia bwana. Nimeipenda hiyo very hard looking. Yaani sura ngumu! Sasa view ya african woman si angeipata kwako, ama they dont consider you an african woman any more? Halafu mumewe hana ambition yoyote. Yeye ana ambition gani?
Kongosho na snowhite, hebu mje african women. Mie nshakuwa mzungu.
Discussion Ilianza dining table .mume wake huyo ni mu Iran , wanakula biriani kababu nk .Mume wangu akamwambia mbona Natalia nao wanakula chakula Kama hicho .Nikamwelezea Tanzania arabic na India food kwa sana tuuu na wahindi waarabu kibao.Wifi yangu kusikia hivyo akaanza oh nasikia Wanawake Huko ndio wanatunza waaume na wanaume wako controlling b
Na abusive discussion ikageukia kwa mumewe Ikawa kelele.akaniuliza view yangu nikamwambia surrender kwa mapenzi ya mumewe mambo ya independent yatamuweka pabaya.yaani discussion inaendelea sebleni Huko Mimi nimeshachoka ..
 
Last edited by a moderator:
Mume kijana mke kijana pesa ipo lakini hobbies zenu hazilingani kuweza ku-enjoy pamoja. Si jambo dogo

Amefile for divorce sababu Hana ambition .Pesa wanayo haswa.ila mume anaangalie Tv masaa 4 kwa siku ,anacheza golf na kwenda beach .
 
Natalia bwana. Nimeipenda hiyo very hard looking. Yaani sura ngumu! Sasa view ya african woman si angeipata kwako, ama they dont consider you an african woman any more? Halafu mumewe hana ambition yoyote. Yeye ana ambition gani?
Kongosho na snowhite, hebu mje african women. Mie nshakuwa mzungu.

Mumewe uko Australia anaheshimika alikuwa Bosi mkubwa wa Heinz (bara fulani hivi )miaka miachache iliyopita.akaacha akafungua kampuni yake alitengeneza pesa .ameuza kampuni yake anapesa bank kaamua kupumzika wifi anaona Hana ambition .Wifi yangu Yale Graduate ila alikuwa house wife
 
Last edited by a moderator:
Discussion Ilianza dining table .mume wake huyo ni mu Iran , wanakula biriani kababu nk .Mume wangu akamwambia mbona Natalia nao wanakula chakula Kama hicho .Nikamwelezea Tanzania arabic na India food kwa sana tuuu na wahindi waarabu kibao.Wifi yangu kusikia hivyo akaanza oh nasikia Wanawake Huko ndio wanatunza waaume na wanaume wako controlling b
Na abusive discussion ikageukia kwa mumewe Ikawa kelele.akaniuliza view yangu nikamwambia surrender kwa mapenzi ya mumewe mambo ya independent yatamuweka pabaya.yaani discussion inaendelea sebleni Huko Mimi nimeshachoka ..
Nilikua marekani 2008 kwa muda mfupi tu niligundua kwamba wanawake wa asili ya huko hawapendi mume legelege but wanamume wa marekani ni wapenda starehe sasa she is wright 100percent! She can smell well the future!
 
Amefile for divorce sababu Hana ambition .Pesa wanayo haswa.ila mume anaangalie Tv masaa 4 kwa siku ,anacheza golf na kwenda beach .

Kama hakuna kitu unique ambacho kila mmoja anakipata kwa mwenziwe tu, they might as well get divorced.
 
Nilikua marekani 2008 kwa muda mfupi tu niligundua kwamba wanawake wa asili ya huko hawapendi mume legelege but wanamume wa marekani ni wapenda starehe sasa she is wright 100percent! She can smell well the future!

Mume legelege anaweza make 50 million dollars .Huyu wifi yangu baba Yao Very hard working ( yaani ataumpeleke pentagon atasema watu wapo Lazy)Naona wifi yangu kaiga vya baba ake .unajua mimi nipo kama mumewe sifanyi kazi kwa na mume wangu ananipenda kufa .
 
we Natalia wew

mwanamke very hardworking ambaye toka aolewe hajawahi kufanya kazi??? Uo u-hardworking umeupimaje? Kwa kwenda shopping?

Kifupi tu wifio hapo anataka kugawana mali na mumewe hakuna lolote, unless kama kuna migogoro ya chini chini ambayo hajakueleza????????
 
Last edited by a moderator:
Mumewe uko Australia anaheshimika alikuwa Bosi mkubwa wa Heinz (bara fulani hivi )miaka miachache iliyopita.akaacha akafungua kampuni yake alitengeneza pesa .ameuza kampuni yake anapesa bank kaamua kupumzika wifi anaona Hana ambition .Wifi yangu Yale Graduate ila alikuwa house wife

ungeanza kumuuliza wifi yako zaidi ya ugolikipa, ambition yake ni ipi?
 
King'asti unanifurahishaga sana when it comes to Natalia.
Natalia mwambie wifi yako kwanza she removes the log in her eyes. Awe ambitious atafute kazi ajenge maisha yake. Her husband is doing what he wants with his life. Ambitious my foot.
 
we binti Mtambuzi umeniita huku af mwenye umepotea au na weye ushakuwa Invisible au Paw ila kweli mwaya ukikaa na waridi wanukia ati!
turudi kwenye mada!
huyo mwanamke anataka nini kwani?
hivi huwa tunafanya kazi ili tupate nini?
kama yeye alipokuwa house wife mumewe ahkuwahi kumuuliza ana ambition ganimiweje leo aje na hayo maswali!
ah nilisahau bana tunaongelea wazungu hapa bana!ambao kwako kitu chochote kile kinaweza kuwa grounda za divorce so ngoja tu nikae kimya!
ila si King'asti uliniambia nicomment kama african woman?BTW kuanzia leo nakubatiza jina la shirley au coleens!sawa?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom