Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimegundua kuwa wanaume wenye sifa zifuatazo huwa na wivu wa kishenzi kwa wake/wapenzi zao (1), Wenye vibamia au ambao wanahisi kutowaridhisha wapenzi zao wawapo sita kwa sita (2) Ambao hawatoi...
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Haya ni baadhi ya mambo muhimu kuzingatia kwa wadau wa online dating au utafuta wa marafiki na wachumba mitandaoni. - Hakikisha unapata picha kamili ya huyo baby unayewasiliana nae huko...
2 Reactions
0 Replies
325 Views
Jamaa amekaa na mkewe kwa zaidi ya miaka 15, lakini mkewe akawa anachepuka na jamaa mwingine huko nje ambaye ni mkataa ndoa. Baada ya kufumaniwa, akapewa talaka hapo hapo; hajui anaanzia wapi...
14 Reactions
107 Replies
5K Views
Wakuu habari zenu, Mwaka 2012 nilienda kozi nje ya nchi kwa miezi 3 hapa hapa Africa, nyuma niliacha mke na watoto wawili walio primary school, nikiwa kozi rafiki yangu akawa anakwenda kulala...
15 Reactions
424 Replies
40K Views
Namna rahisi ya kuingia Marekani ni kupitia Fulbright programs ambazo huchukua watu vichwa kutoka Nchi zinazoendelea na kuwapeleka Marekani kujinoa. Fulbright wanaratibu miradi ikiwemo FLTA...
1 Reactions
0 Replies
297 Views
Kuna mdada ambaye nimempenda sana na ningependa awe wa kufa na kuzikana kama mambo yangekuwa yapo ndivyo sivyo, mdada ni mfanyakazi anaposition nzuri tu na anajiweza kimaisha, kwa muda wa mwaka...
1 Reactions
89 Replies
7K Views
Hiki kidubwasha ni hatari sana,nuliwahi kuishi nchi fulani sitaitaja jina,sikuwa na kazi ya kufanya,nikajiunga bendi ya wajamaica tukipiga Jazz na Salsa kwenye mahoteli makubwa,mimi nilikuwa...
30 Reactions
69 Replies
3K Views
Wasalamu wakuu. Ni hivi, huyu binti kanichosha. Tukiwa kitandani usiku ana vitimbi sio poa. Nikimgusa au kumtomasa ananitolea kauli za ajabu. Mara utasikia “wewe hebu niache”, mara “mambo gani...
22 Reactions
150 Replies
16K Views
Achana na magitaa kila mtu anapiga,qchana na vinanda. Unataka kuchakata wanawake wakila aina jifunze saxophone Mimi nakilaani hiki kifaa maana kimenifirisi kupitia wanawake. Kuna rafiki yake na...
7 Reactions
15 Replies
3K Views
Wakubwa habari za usiku huu wa manane🖐️ Mimi ni kawaida sana kulala mida hii ya saa nane usiku, maana nina nusu saa hivi ndio nimetoka majukumuni na nina kama dakika 5 hivi nimetoka kula. Haya...
5 Reactions
25 Replies
1K Views
Wakuu ndio najiandaa kupeleka posa kwa binti wa kizaramu wenyeji wa huko mambo gani haswa yanazingatiwa ?, heshima kwenu wakuu
1 Reactions
23 Replies
10K Views
1.Mwanamke ni binadamu mwenye anafunguliwa biashara ya kuuza mboga na mumewe halafu kama mume amekosa pesa aambiwe mke chukua mboga tupike anakasirika na kusema mumewe atamfilisisha biashara yake...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Asante sana Hamissa Mobeto
11 Reactions
132 Replies
4K Views
Habar za majukumu ndug zangu, Kuna jambo la sis wanaume hasa vijana tunakuwa na tabia za uzushi Kwa wanawake. Yani mwanaume unakaa na wenzio unatoa sifa mbaya za Binti ambazo hata ukweli hazina...
5 Reactions
28 Replies
1K Views
kwema ammu? Naombeni ushauri wenu wenye hekima, inawezekana vipi ndugu mliozaliwa tumbo moja tena amekupita umri karibu miaka 10 yaani kawahi kuliöna jua kabla yangu leo hii nimepata mitihani...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Binti kuwa na subira atakuoa, ni kero kumkumbusha kila baada ya miezi 6 kwa jambo aliloahidi. Si kashasema ATAKUOA? Punguza kiherehere cha kila baada ya miezi 6 kukumbusha jambo lililo kwenye...
4 Reactions
19 Replies
819 Views
mimi George Porjie, nikiwa na akili timamu na wala sijalazimishwa na mtu yoyote, najitokeza mbele yenu wanajamii wote wa JF na wengineo, ili muwe mashahihidi wangu. leo kwa dhati kabisa toka ndani...
0 Reactions
126 Replies
14K Views
Baby Hujambo Nimekaa hapa mbele ya computer yangu usiku huu , nafikiria leo nikuandikie kwa lugha gani , ili uelewe ninachotaka kusema , mwanzo nilitaka kuandika kwa kiingereza lakini nikasema...
1 Reactions
29 Replies
9K Views
Nilikua na plan ya kwenda Mafinga huko mkoani Iringa baada ya miaka 10 kupita toka nilipohama. Kitaa kuna jamaa ambaye naye anatokea huko, katika kupiga story akaniambia ukitaka kwenda niambie...
2 Reactions
122 Replies
25K Views
Habari zenu wote.Nimewamiss kweli,ila nilikuwa busy na shughuli za kitaifa! Nimepata mpenzi,ni kila kitu kwangu,nampenda kuliko chochote maishani mwangu,tatizo moja tu ana wivu sana na anakosa...
3 Reactions
109 Replies
15K Views
Back
Top Bottom