Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu Salaam!!!!! Nilikuwa nipo kwenye mahusiano na binti mmoja hivi,tuli-date na mwisho wa siku akawa amenasa ujauzito na akaniambia kuwa Mimi ndio Muhusika,basi nikakubali japo nilikuwa nina...
11 Reactions
48 Replies
3K Views
Hakuna mtu mbaya kwenye upendo, unaweza kumbadilisha awe na muonekano wowote unaotaka; muhimu tu upendo uwepo. Ila kuna wengine wakibadilishwa, wanasahau walikotoka; na kupelekea aliyembadilisha...
4 Reactions
8 Replies
370 Views
Wakuu naombeni mnielezee kama imewahi kukutokea hii kitu yaani unajua kabisa kuwa hapa hachomoi ila ndo hivyo anakuchomolea alafu unakuta huyo huyo demu anamtongoza msela wa kawaida tu imewahi...
6 Reactions
101 Replies
4K Views
Heri ya mwaka mpya wana JF, nmewamiss maana kitambo sana sijaja jukwaani, Nashukuru Mungu Mambo yanaenda vizuri mwaka mpya mambo mapya Alhamdullilah, ila upya huu umekuja na usingle. sasa basi...
13 Reactions
128 Replies
4K Views
Imezoeleka kusemwa kwamba mwanaume katu hawezi kuwa wa mwanamke mmoja ila lazima awe na wanawake wengi,je umeshawahi kujiuliza kwamba huyo mwanaume ambaye hakai na mwanamke mmoja kwamba anaweza...
16 Reactions
56 Replies
3K Views
Ulipogundua ni mke wa mtu, ulichukua hatua gani? uliendelea nae au ulisitisha?
6 Reactions
79 Replies
3K Views
Suala la kulipia demu kodi ni gumu dunia kote sio kwa Mond tu ndiyo maana nasemaga kuoa ni kwa ajili ya watu dhaifu 🤣 wanaume nice guy huwa inalipa kodi hadi milioni 3 eti..! Dah halafu...
18 Reactions
80 Replies
4K Views
Habari Me kinachoniuma ni kwamba ukimkamata mwizi mala ya kwanza basi ujue hiyo ilkuwa mala yake ya arobaini kukusaliti na ndo ya mwisho, imagine mtu anakusaliti mala 39 halafu unamkamata round ya 40
3 Reactions
14 Replies
490 Views
Ndugu wana jf . Hawa dada zetu wamejiachia sana na kupoteza usichana (bikra ) kizembe kizembe sana kwa tamaa za mali na maisha mepesi mepesi. Na baada ya kupoteza ubikra wao ndiyo wanajifanya...
9 Reactions
52 Replies
3K Views
Kwanza nianze kwa kukiri kuwa maisha ni magumu sana nadhani kila mtu anajua. Na katika mahusiano ya mapenzi kati ya me na ke lazima kunakuwa na tofauti ya kipato, yaani Mara nyingi wanaume...
8 Reactions
198 Replies
17K Views
Wewe ni mwanaume umehangaika sana kutafuta mwanamke wa ndoto zako na haujampata au pengine umewahi kumpata lakini mkashindwana? Kama unapitia kwenye hatua hii basi tambua kuwa hakuna mwanamke...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Habarini, Kuna social construct nimeiona kwenye jamii Mimi binafsi na great thinkers wengine tunaamini kuwa hamna tofauti kati ya golddigger (mdada anaekupendea hela) na mdada anaejiuza...
3 Reactions
11 Replies
717 Views
Nini hasa kimeingilia hapo katikati kwenye mapenzi, kwamba nje ya ndoa hakuna tena uchoyo wala kunyimana suala la mapenzi, unapewa tu kirahisi hata na mwenye ndoa, ila cha kushangaza ndani ya ndoa...
8 Reactions
23 Replies
1K Views
Mjomba alifia gesti Dodoma akiwa na mchepuko ambaye ni mwanafunzi wa chuo. Huyu baba alikua mtu maarufu kwenye siasa na alivyofariki, ilitangazwa kwamba alifia njiani wakati akikimbizwa hospitali...
9 Reactions
197 Replies
11K Views
Ndoa yangu ina umri wa mwaka na nusu sasa,na kubarikiwa mtoto mmoja mzuri na ana mwaka mmoja sasa. Changamoto ni majukumu yangu na ya mke wangu kututenganisha.Wote ni waajiriwa,though ni within a...
3 Reactions
41 Replies
5K Views
Habar za majukumu ndug zangu, Kuna jambo la sis wanaume hasa vijana tunakuwa na tabia za uzushi Kwa wanawake. Yani mwanaume unakaa na wenzio unatoa sifa mbaya za Binti ambazo hata ukweli hazina...
1 Reactions
11 Replies
508 Views
Kama diamond akiombwa hela anazima simu na kubadilisha namba , je wewe Kijana masikini kapuku ,kabwera kipi kinakufanya uchezee hela zako ambazo hata hauna na Una maisha magumu
4 Reactions
10 Replies
1K Views
WANAOUA NDOA Uvivu huua ndoa. Mashaka huua ndoa. Kukosa uaminifu huua ndoa. Kukosa heshima ya pande zote huua ndoa. Kutokusamehe huua ndoa (Msamaha si chaguo, ni lazima). Mabishano huua...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Okey, kwa hio hao mafisadi wanaotuibia pesa miongo na miongo wanatajirika hadi watoto wao tena wanakuja kutuongoza sisi, wenyewe hawajipatii nuksi kutokana na uchungu wanaotusababishia ila sisi...
14 Reactions
63 Replies
3K Views
Habari wandugu Niseme tuu hii sikukuu kwa upande wangu imekaa vibaya sana mimi naishi Dar nina mwanamke Arusha na Moshi sasa nikawapanga wote tukulane hizi sikukuu wakakubali. Jana nikafunga...
12 Reactions
48 Replies
4K Views
Back
Top Bottom