Ingekua wewe ungefanya nini kwenye mtego huu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ingekua wewe ungefanya nini kwenye mtego huu?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Gudboy, Sep 23, 2009.

 1. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #1
  Sep 23, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Nilikua na plan ya kwenda Mafinga huko mkoani Iringa baada ya miaka 10 kupita toka nilipohama. Kitaa kuna jamaa ambaye naye anatokea huko, katika kupiga story akaniambia ukitaka kwenda niambie maana yeye kaka yake anakaa kule hivyo atanipokea. Nikafurahi maana sikujua pa kuanzia ukichukulia ni muda mrefu umepita.

  Siku ya safari ilipofika nikamwambia mshkaji basi naye akampigia simu bro wake na kumpa namba zangu, basi bro wake naye akanigongea kuwa nipo nakusubiri.

  Nilipofika kweli jamaa alikuja nipokea akiwa ameongozana na demu wake. Akanipeleka hadi home kwake ambapo kuna chumba kimoja na sebule. Lakini yule demu wake alikua anakaa kwa wazazi wake.

  Jioni tukaenda ofisini kwa jamaa, baadae akaje msichana mmoja alikua na umri kama wa miaka 18 mpaka 20 hivi. Sikua nimefahamu mpaka tulipofika nyumbani jioni nikamuona yeye ndio mpishi na kugundua kuwa anasoma kidato cha 4. Baada ya kula nikawa nawaza sasa huyu binti atalala wapi? Baadae sisi tukaingia chumbani na yule binti akalala pale sebuleni kwenye sofa.

  Siku ya pili nikazunguka zunguka, baadae binti akanipigia simu kuwa kaka yake amemuagiza kuwa nimsindikize sokoni, nikaenda nae sokoni. Usiku wa siku ya 2 jamaa aliingia chumbani kulala, hivyo tukabaki na yule binti tukiangalia TV na huku tukipiga story hadi saa 7 usiku nikaingia chumbani kulala.

  Siku iliyofuata tukaenda kutembea tembea huku tukizungumza mawili matatu. Usiku ulipofika nikawaaga kabisa jamani leo nitawahi kulala, maana kesho narudi dar. basi yule binti akanitumia sms "tafadhali usiwahi kwenda kulala I have something special for you". Nikaisoma na kuuchuna, baadae jamaa akaenda kulala kama kawaida yake, mimi nikabaki kuona hiyo special ni nini? tukawa tunaangalia move huku tumekaa kochi moja, lakini nikaona hakuna special yoyote mbona yupo kimya? Baadae nikamtekenya kwa kidole changu cha mguu, nikaona anarepond, hatimaye nikamkumbatia, tukaanza kucheza, hapo kumbuka kaka yake amlala chumbani.

  Baadae tulipozidiwa tukaduu pale pale sebuleni kwenye kochi, huku nikiwa naenda kuchungulia mlangoni kupitia uwazi wa mlango kama jamaa kalala au anatuchora. Baada ya kumaliza nikaenda kulala. Siku ya kuondoka binti hataki niondoke, nikafikiria na kuwaza kuwa huyu binti anataka kuniletea balaa, huyu kaka yake akishtukia si itakua balaa, na angejua tu maana dogo alikwishachanganyikiwa na lile penzi la wizi. Nikafosi kuondoka kwa kujua jamaa akishtukia mchezo atanikata mapanga si unajua tena watu wenyewe wanyalu, na pia ingekua noma kwa mshikaji wangu dar akijua kuwa nilimmega dada yake.

  Sasa ndugu kama ungekua wewe na situation hiyo ungefanyaje? Na huyu binti anataka kumwambia kaka yake kuwa mimi ndio boyfriend wake, sasa hawa jamaa wataonielewa kweli na dada yao ndio hasikii la mnadi swala wala la mwazini. nishaurini jamani
   
 2. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Ehheee!! Si mchezo. Wote hamjatulia, si wewe wala huyo msichana. Humfahamu vizuri huyo binti, siku hiyo hiyo unaanza kumtekenya na kuanzisha libeneke. Halafu huyo binti si mwanafunzi? Kwa nini usingemshauri asome kwanza, mapenzi baadaye? Bora ungemwambia kwamba unampenda, ila asome kwanza na kipindi hichi kama kweli form 4 ni kipindi cha kujiandaa na final exams.
  Wewe wala haupo serious na wala huyo msichana pia hayupo serious, kitu mlichofanya ni utoto kabisaaaa!!!
   
 3. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  unajua ndugu hiyo ilikuwa mwaka jana mwezi wa 4, na amekwishamaliza kidato cha 4 na sasa anasoma cha 5. Halafu hujasema kama ungekua wewe ungefanya nini ikiwa ni dada wa rafiki yako. Thanx
   
 4. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #4
  Sep 23, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Duh hustahili hilo jina Gudboy mbona unaniaibisha kaka yangu? YAani ndo shukrani yako hiyo ya kukarimiwa na kaka wa mshkaji?

  Ingekuwa mimi:
  NISINGETHUBUTU KU-DO.
   
 5. Sugar wa Ukweli

  Sugar wa Ukweli JF-Expert Member

  #5
  Sep 23, 2009
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu Gudboy kwa kweli uichokifanya kuduu na dada ya mwenyeji wako tena kwenye sebule yake ni hatari saaana,bora mngeenda hata nyumba za wageni.ni hatari sana,ukisikia mapanga huwa yanaanzia kwa stairi kama ya kwako.USIRUDIE TENA MCHEZO HUO!!!!
   
 6. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #6
  Sep 23, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Ndio maana sikutaka kuendelea kubaki, ila huyo binti ndio kishawishi kikubwa, na ninajuta lakini ndio imekwisha tokea, hayo yote niliyafikiria
   
 7. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #7
  Sep 23, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  nashukuru sana kwa ushauri, yaani niemjifunzi sitorudia tena, sasa na je anataka kumwambia kaka yake kuwa huyu ndie asali wangu wa moyo, je italeta picha nzuri hiyo, anataka kufanya hivi baada ya kunogewa
   
 8. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #8
  Sep 23, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Dah yaani mkuu umekaribishwa home kwa mshikaji alafu unammega mdogo mtu dah sio fair mzee lakini siwezi bisha ni makubaliano yenu. Lakini mshikaji wako wa Dar akijua tu itakuwa aibu kwako maana fikiria kama yeye angekufanyia wewe kwa mdogo wako najua hapo ulimega kavu sasa binti akipata mimba na ni denti si noma zaidi mkuu? Unaweza ukajikuta unaenda kukalia debe sello. Achana na wanafunzi mkuu kama ulikuwa na njaa si unge enda Bar ukachukua milupo ambayo ipo loose pale tena Mafinga pale wapo shazi ukeeenda friends corner pale wapo shazi.
   
 9. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #9
  Sep 23, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  ....... Pole ila unavyoweka hapa ni kama vile unataka kuhamisha mzigo wa lawama kwa kibinti! Hivi ni kweli kuwa kimekushinda hata akili? Kimefanikiwa kukushawishi ikakimege yaani ungekuwa serious on her nadhani asingethubutu hata kukuchekea. Masuala ya usiende kulala kuna special yako ungemjibu akuwekee angekupa asubuhi hiyo special UNLESS useme kweli kuwa na wewe ulimtamani na ulikuwa unaflirt naye.

  Nway maji alishamwagika uombe tu MUNGU asijesema ana ujauzito wako. Otherwise vaa uanaume UMKANE na hata akiendashtaki kuwa we ndo asali ya moyo KANA. Tengeneza hata hadithi kuwa alikuwa anakung'ang'ania ukawa unakataa na ukaogopa kumshtaki kwa kakake usijeharibu undugu wao, na ikiwezekana sema ndio sababu iliyokufanya uondoke Iringa otherwise ulipanga kukaa mwezi but KANA kuwa hujagusa hata unywele wake achilia mbali kumega- unless yako huwa inaacha alama inapopita.

  Duh- playing devil's advocate!!
   
 10. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #10
  Sep 23, 2009
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Urafiki utaisha muda si mrefu!! Wanaume hawapendi kweli mtu ku-DO na dada zao hasa awe rafiki. So watch out
   
 11. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #11
  Sep 23, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Sasa unampa pole ya nini wkt huyu jamaa ndo alianza kumtekenya kwa yule binti baada ya kuona yupo kimyaa kwa muda mrefu hampi kitu special asinge mtekenya yule binti asinge fanya chochote lakini ali respond to stimulus baada ya kutekenywa huyu ndo wa kulaumiwa kumega binti mdogo wa form 4 tena inabidi afunguliwe mashtaka ya kubaka.
   
 12. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #12
  Sep 23, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Haswaaa Fidel nimemlaumu kwenye post yangu ya kwanza. Inatosha

  Ameomba ushauri afanyeje. Ungekuwa wewe darling ndo umekwenda kwapua dada ya mshkaji ungefanyeje?
   
 13. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #13
  Sep 23, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  duh! ndio maana niliondoka baada ya kugundua kosa, otherwise ningeendelea kuwepo, nastahili kusamehewa na sio kushtakiwa. Bahati nzuri hana mimba na sasa yupo kidato cha 5
   
 14. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #14
  Sep 23, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  story nyingine bwana
  hii maaana yake ni nini sasa wadau
  cha kumshauri hapo ni nini
  maana mimi nimesoma thrice bila kuelewa logic behind the post
  nway wenye ushauri wampe
   
 15. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #15
  Sep 23, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Unajua luv mm hivi vitoto vya shule na viheshimu sana mimi ningekichapa vibao pale pale mbele ya kaka ake na ningemwambia sasa ni swala la kaka kunichukulia poa au amind lakini nitakuwa nimekashikisha adabu ala.
   
 16. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #16
  Sep 23, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  kweli kijana hujatulia kabisa hata kidogo hujatulia ,kukaribishwa tu kidogo unaleta uharibifi ,kale ka dada kana pepo wa ngono kabisaaaaaaaaaaaaa
   
 17. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #17
  Sep 23, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  ..... Kwa mara ya kwanza umeanza kuingia moyoni mwangu lol. Nyamayao yuko wapi tukupigie makofi kumbe ukitulia we mzuli!. Mwalemi sana kaka!
   
 18. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #18
  Sep 23, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  halafu ni kalokole sasa, kabla ya kula anaomba sala, kabla ya kulala sala nzito, mpaka mimi nikasema kwa mawazo yangu huyu binti anamjua sana mungu na ukimtokea tu lazima ashtaki kwa kaka yake, duh kumbe tofauti kabisa na mawazo yangu
   
 19. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #19
  Sep 23, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280

  Mkulu sasa hii kitu ilitokea zaidi ya mwaka, hebu tuambie ULIFANYA nini? maana sidhani kama ushauri wa sasa hivi utakuwa na umuhimu wowote. Je, unaendelea kumega?uyo binti anasoma wapi? kama humegi ina maa hapa hakuna ishu, mambo yameshapita unless una current developements zinazohitaji inputs.

  Mi wala sikulaumu kwa sababu kama binadamu ulianguka..hatutegemei uwe malaika so inuka and move on.
   
 20. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #20
  Sep 23, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mmmmh!
  basi Fidel80 kafurahi hapo
   
Loading...