My Confession | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

My Confession

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by GP, Nov 5, 2009.

 1. GP

  GP JF-Expert Member

  #1
  Nov 5, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  mimi George Porjie, nikiwa na akili timamu na wala sijalazimishwa na mtu yoyote, najitokeza mbele yenu wanajamii wote wa JF na wengineo, ili muwe mashahihidi wangu. leo kwa dhati kabisa toka ndani ya moyo wangu pasina kushurutishwa na mtu yoyote, kwani moyo wangu umekua ukiniuma sana hasa pale nimuonapo mai waifu wangu kwamba kuna kipindi nilikua namchiti. roho ilinimua sana tena inaniuma sana kuona napata na ninapewa kila nikitakacho toka kwake (yale yaliyo halalishwa only) na mengine ni zaidi na matamu kuliko huko vichochoroni, nimekuja kugundua kwamba mwisho wa siku ladha, utamu na mengineyo ni sawa sawa kwa wanawake wote, kwani simu ni simu tu mambo ya kwamba ina kamera, ina slide au ina bluututhi hizo ni mbwembwe tuu!!.
  napenda pia kuchukua fursa hii kutubu kwa mai waifu wangu popote alipo kwamba anisamehe sana na nina ahidi kuanzia leo kwamba mimi na yeye ni kufa na kuzikana. na wala sitarudia tena kumchiti.
  wanaJF wenzangu, mabinamu, mashemeji na wazee wa kujiexpress jamani nyama ni nyama, tutamaliza mabucha but nyama ni ile ile, tubadilike.
  nimeamua kubadilika kuanzia sasa.

  oui, j'ai décidé de me changer, parce que la charité commencent à la maison….

  eeeh Mwenyezi Mungu nisamehee kwa kumchiti mai waifu wangu.
   
 2. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #2
  Nov 5, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Umemwambia lakini?
   
 3. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #3
  Nov 5, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hivi ukiupeleka huu ujumbe kwake na yeye akakujibu vivyo hivyo kuwa nae ana confess what will you do?
   
 4. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #4
  Nov 5, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  ooh!
  pole sana mkuu!

  maneno yako yameniingia
   
 5. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #5
  Nov 5, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145


  hehehehehehe!mkuu hapa umeua:D
   
 6. GP

  GP JF-Expert Member

  #6
  Nov 5, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  ndoa bado changa kwasasa ndugu yangu, ntamwambia tu.
  ila imeniuma kiasi ambacho nimeona machungu nije niyaseme hapa kwa mabinamu na wapwa atleast wanipe mawazo nini nifanye, kivipi nimuanze kumwambia my confession.
   
 7. GP

  GP JF-Expert Member

  #7
  Nov 5, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  nitakubali tu mkuu, si unajua maji umeyavulia nguo huna budi kuyaoga. nitapokea confession yake kwa mikono miwili kabisa ili tusahau na kuanza upya.
  mpwa nimeamua kubadili maisha yangu kwa kuanza kutubu. natafuta pozi la kumuingia ili anielewe
   
 8. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #8
  Nov 5, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
 9. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #9
  Nov 5, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Je ulikuwa unatumia ndomu huko uchochoroni? Kama ulikuwa hutumii ongoza angaza ukapime kabisa
   
 10. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #10
  Nov 5, 2009
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Mkuu ingependeza kama waraka huu angekuwa anatumiwa wife nadhani licha ya roho kumuuma angekuhurumia vilevile
   
 11. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #11
  Nov 5, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  kapige magoti na umsomee huu waraka, bila shaka atakusamehe!!!
   
 12. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #12
  Nov 5, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Bravo shemeji.

  But some secrets are made to remain secrets. Usimwambie bali badilika tu na umwonyeshe kuwa umebadilika na UACHE kweli kucheat. You never know ukimwambia anaweza akaipokea na kukusamehe ndio but imani yake haitakuwa imeshake ? siku mkikinzana lugha kidogo tu atajua bado unaendelea. Duh sijui ni sawa maana hata sijui nikushaurije!
   
 13. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #13
  Nov 5, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,761
  Likes Received: 2,367
  Trophy Points: 280
  Shemeji yangu kipenzi kwanza naanza kusema kuwa nimesikitishwa sana na kuhuzunishwa sana!!

  Huyu uliyemcheat niyule uleyekuja kutoa ushauri hapa kwamba umemwambia kuwa mkapange akakwambia kuwa jipange kwanza kabla ya kwenda kwenye maamuzi hayo?

  Pili huyu uliyemcheat ni yule uliyemsema kuwa bado yuko chuo na amemaliza juzijuzi Engineering?

  Tatu huyu uliyemcheat ni yule uleyesema kuwa ukimtumia credit hana haja hata ya kusema asante wala kukupigia pindi anapokuwa anakuhitaji?

  Nne huyu uliyemcheat ni yule uliyeniambia kuwa kila anapokuwa na safari lazima akupe taarifa kukuondoa shaka?

  Tano huyu uliyemcheat niyule aliyekuwa anayetoka out na mshikaji wake ambaye wamesoma wote enzi hizo za nyuma mchana wakati wa lunch na wewe kuumia?

  Sita huyu uliyemcheat ni yule uliyekwenda naye vacation na ukaja kuaaga JF?

  ukinijibu nami nitanena.
   
 14. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #14
  Nov 5, 2009
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  At least you are a man enough to admit. The most imortant thing is , you havve realized your mistake. Dont tell her anything, but do your best to love and respect her.
   
 15. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #15
  Nov 5, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  George_Porjie watu wanakumbukumbu duh haya ukijimix tu umekwisha utaonekana chovya chovya.
   
 16. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #16
  Nov 5, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Kama kweli uko serious ubarikiwe na bwana
  nenda kwa wife ukatubu sisi hatumjui so hatuwezi kwenda kumwambia mmeo ametubu alikuwa anakuchit sasa amechoka
  haya nenda kaandae romantic dinner umpe hiyo confiession yako
   
 17. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #17
  Nov 5, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hahahaha akajipange kwa chakula cha usiku? Inabidi azunguke round 7 ndo amsomee confession
   
 18. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #18
  Nov 5, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Umeulizwa swali - je naye aka confess kwako kama ulivyoconfess kwake....seriously utasamehe au unafurahisha baraza?
   
 19. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #19
  Nov 5, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,761
  Likes Received: 2,367
  Trophy Points: 280
  Au ile vacation ndo ulikuwa umeoa?

  Umeoa Lini wewe kijana au ndo unatuzuga?

  Mtoto kamaliza juzi chuo na yuko kwao wewe upo kwenu ndo mlikuwa na mpango mkapange mkazinguana leo hii unamwomba msamaha your wife?

  Are you serious?????

  kukuonea huruma nisianike vyoote nipm na uniombe msamaha na topic uitoe hapa ASAP
   
 20. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #20
  Nov 5, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  hahahaaaaaaa chaku unanifanya nianze kuwa private investigator
   
Loading...