Kama ilivyo hapo juu , natafuta chumba ambaye baadaye atakuwa Mke wangu. Mimi ni njasiriamali na miaka 50. Naishi Dar. Nimkristo mwenye hofu ya Mungu.
Mchumba aliyetayari na anayejitambu...
WANAUME WENGI WANAPOTAKA KUOA SINGLE MAMAZ WANAZINGATIA MAMBO ANUAI...
1. Single mama ambaye mtoto wake amefikisha umri walau Miaka mitano, wanasema huyu tayari mziz⁸i wa upendo na mzazi mwenzake...
Nyieee....
mnapoambiwa kataa ndoa (hasa kwa kijana unaejitafuta) muwe munaelewa.
Kuna mwamba kaja kwa bimkubwa wake (jirani yangu) hapa sasa hivi kumsimulia kwamba kamshika ugoni mkewe na muhuni...
Mimi ni mwanamke 35yrs, watoto wawili, elimu yangu degree.
Natafuta mwenza wa maisha yaliyobaki duniani, nimekuwa mpweke kwa muda mrefu tangu nitengane na mwenza wangu ambaye tulishindwana.
Ni...
Kama mwanaume, inakuwaje unakubali na kuamua kuwa watoto wako walelewe na mke wako pekee na si wewe pia kama baba katika familia?
Nadhani ni muhimu kuuliza, kwa nini mwanaume angeweza kuchukua...
.Miaka 18-20 Anasoma ata hbr za ndoa Bado akiambiwa atakuambia unataka kukatisha ndoto zake.
Lkn ana boyfriend ambae wapo kwenye mahusiano.
Miaka 21-27
Hapa Binti wa moto kweli,kila mwanaume...
Habari wanajamii, natumaini mnaendelea vyema.
Mimi ni mwanamume mwenye umri wa miaka 38, naishi hapa Dar es Salaam.
Natafuta mwenza wa maisha mwenye malengo ya dhati na uhusiano wa muda mrefu...
🔹Soma sana vitabu mbalimbali vya kukujenga Kiroho na kimwili
🔹Soma sana biblia na kutafakari siku zote
🔹Omba sana Mungu bila kujali mazingira uliopo, tumia namna yeyote ile kusema na Mungu...
Ni nani ambaye hapendi kuwa na mtoto/watoto? Asilimia 90 wanapenda.. Lakini mtoto/watoto hawapatikani dukani ama gulioni ama mnadani kwamba utaenda Kuchagua uwatakao na kununua.. La hasha
Kupata...
Nyiee Nyiee Nyiee
Juzi Kamkamata tena ugoni mkewe kupitia meseji (sijajuwa ni za mgoni wa mwanzo yuleyule ama la..) na sasa kamtaliki kabisa.
MTU AKIJA KUSEMA NIMEKOSA KAZI ZA KUFANYA HADI...
Siku zote kaka na dada yako ndiyo ndugu zako wa kweli na marafiki zako wa kweli. Uhusiano wako na wao ndiyo unaokuelezea uhusiano wako na binadamu wengine.
Baba na mama hawatakuwepo uzeeni mwako...
Hakunaga mwanamke anaecheat kwa bahati mbaya wote huwa wamedhamiria,thus ukimsamehe ataendelea tu kucheat kwa sababu wao utanguliza nyege mbele akili nyuma,wakishachika ukimbilia kwa mwamposa...
"Matusi Yale,dharau zile,kejeli zote,kunyimwa,ujenzi wa Siri,Mateso yale nakumbuka alivyokua anachelewa Toka kwenye kiduka chake Hadi usiku wa saa tano,akifika anafua hadi saa saba ili nilale...
Mwanamke wa kuoa ni muhimu kwao na kwa mwanaume kuwe na uwezo sawa kiuchumi,, kielimu na kidini???.
Wanajukwaa habari zenu,natumaini mu wazima wa afya .mada ni kama ilivyotajwa hapo juu.
Katika...
Habari zenu
Kuna mkaka nlimkubalia kuolewa nae nlipokuwa desperate na tulipanga ndoa iwe June ata kama wazazi upande wangu hawataki....
Aliona kama bahati na kunitambulisha kwao faster..ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.