Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

:: Hiyo ni kauli ya rafiki yetu ambae ameoa hivi karibuni. Hakuniambia mimi tu bali wengi ambao tupo nje ya taasisi hii tukufu ya ndoa.Ni kama ametutenga Mi kabla ya kulaumu nilitaka wa Jf...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimegundua kwa ushahidi ulio wazi kabisa asilimia 90 ya mabinti chini ya miaka 23 wanapendelea wapenzi ambao ni waume za watu nimejaribu kujiuliza nikwanini nimekosa jibu la moja kwa moja nikaona...
0 Reactions
3 Replies
944 Views
  • Closed
Hi! jf, nina mchumba wangu ambae ni mchaga natarajia akimaliza degree yake mwezi wa saba ili mwishoni mwa mwaka huu tuoane, bt hataki twende nkamtambulishe kwe2 ila anataka kwao first, hilo ndo...
0 Reactions
57 Replies
6K Views
New member hapa.habari!
0 Reactions
2 Replies
875 Views
Nilikuwa na mchumba ambae tulipendana.pindi nimechaguliwa chuoni 2012 akadai kuwa ange nisubiria lakini nilipo rudi rikizo nilikuta wametoa mahari sabab et kashawishiwa na dada ake ,na hivi sasa...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Akina dada na kina mama, mloolewa ama kutoolewa naamini na kutumaini kuwa ukisoma hii thread inaweza kukusaidia (si lazima) wewe kuweza muelewa Mama mkwe wako vizuri. Naomba basi tukumbuke na...
14 Reactions
329 Replies
28K Views
LOVE MATTERS As for me love is not only everything but more than that.But love matters confuse my mind,Adhere to the following.If one is loved by each and every one, love becomes meaninglessOne...
0 Reactions
4 Replies
793 Views
Mimi ni () naishi mwenge Dar es salaam naomba utalifuta jina la baba yangu maana sitaki liwe kwenye blog watu watanijua na kuniangamiza maana nimeshawaangamiza wengi sana kwa UKIMWI ila mengine...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Clinical trials for a new technique pioneered by Danish researchers are underway, and doctors are optimistic Danish researchers are readying human trials for a potentially life- saving new HIV...
0 Reactions
2 Replies
882 Views
Ninamanisha Jamani,BINTI Yeyote aliyetayari kunipenda,KUNISIKILIZA na kuolewa na mimi Tuwacliane! Vigezo Awe na umri kati ya 24 na 26,ana asili ya kaskazini,mkristo,ANAJIHESHIMU,Urefu wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu wanaJF Salam, Taarifa zilizonifikia hivi punde ni kwamba mwanaJF mwenzetu ndugu Mtambuzi amefiwa na mama mkwe muda mfupi uliopita. Mama mkwe wa Mtambuzi amefikwa na mauti akiwa amelazwa...
10 Reactions
162 Replies
9K Views
wana jf da! nahisi labda sijajua mapenz yakwel ni yapi,what girls like?,what man like ,,kwanini mahuziano yanakua yakawaida kiivo yan kama kuigiziana kirahisi rahisi tu vile!me sijielewi labda...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
UNGEBAHATIKA kumuona mwanaume mmoja, mkazi wa Sharif Shamba, Ilala jijini Dar, Beda Mloka ‘Baba Tony’ alivyokuwa ametapakaa damu chapachapa, lazima uulize kulikoni ambapo jibu ni moja tu la...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa huyu jamani mbona kwangu amekuwa hivi. I realy fall in love kwa mke wa mtu huyu. Akiongea na mimi, akiniangalia, akitabasamu, akicheka, tukishake hand, akinishauri, tukipiga stori, akinisaidia...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
WAKUU leo imenibidi niingie chumba hiki kutafta msaada wa kmawazo . Mzigo wenyewe ni ivi kuna demu mmoja hapa kitaa nimetkea kumpenda ile mbaya nikaamua kumtupia nyavu...
0 Reactions
50 Replies
4K Views
Udanganyifu sasa umekuwa ni jambo la kawaida,hasa katika suala la ndoa. Wanawake wengi hufunga ndoa za uongo ili kutimiza malengo yake. Baada ya kupata kile anachohitaji huanza vituko na...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu, katika kufunga ndoa ni mwanamke anaye faa kuoa nani anafaa zaidi kuwa mke mwema? Wa kijijini au wa mjini na kwa sababu gani?
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Having sex in a car can be awkward, if you get caught. To prevent this awkwardness, some European cities have created drive in "Sex Boxes." Hii biashara ya mabox ukiileta Coco Beach utapata sana hela
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Habari wana MMU. Mimi ni kijana wa kiume. Baada ya kujitathimini mimi binafsi, bila kushawishiwa na mtu (external influence) zaidi ya moyo wangu napenda kutangaza wazi kuwa nahitaji mwenza kifupi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wana Jf, Mie ni mgeni hapa. Naomba nitumie nafasi hii kwa malengo mawili makubwa. Moja ni kubisha hodi ili wenyeji mnipokee na kunionyesha njia. Pili ni kuwakilisha mada inayohusu hicho kichwa...
1 Reactions
141 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…