Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kujaribu KUMUELEWA Mwanamke ni sawa na kuanza uchunguzi wa kisayansi kwanini hata Bata akila Mawe anaharisha.Hutapata jibu mpaka unakufa
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Kuna dada mmoja mitaa ya kijitonyama kwakweli anatisha sana kwa tabia yake ya kupenda totoz. (wanawake wenzake) mara nyingi utamuona kaongozana na dada huyu, kesho utamuona yupo na dada huyu, na...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Siku hizi kuna migogoro mingi sana ktk ndoa kwa sababu wanawake wengi hawatimizi majukumu yao ktk ndoa.Wengine wanakuwa na malengo ya kuolewa tu na wanasahau kwamba baada ya kuolewa ndoa inahitaji...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
wana jf habari mimi kijana mwenye 27 miaka,na umri wangu unakimbia. Wadau nipo chumba kimoja nalala chini na godoro langu sabab maisha bdo hayajakaa poa. Lakini nina mrembo wangu ametoka...
1 Reactions
91 Replies
7K Views
wanawake wenzangu mlio kwenye ndoa salaam! Kwanza napenda kuwapa hongera, maana ni stage nzuri na ya muhimu kwenye maisha. Najua kuna changamoto nyingi kwenye ndoa, ila haziwezi kubadilisha ukweli...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
huwa nashangaa sana! Kulalamika january hadi december, jumatatu hadi jumapili, tarehe 1 hadi 30 kuwa hawana hela Kazi anafanya miradi midogo midogo ya kumpa pesa za kusongeshea gurudumu la maisha...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
The distance between insanity and genius is measured only by success. ― Bruce Feirstein “Everyone is born a genius, but the process of living de-geniuses them.” ― Richard...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mie Karucee bwana nimeona haka ka bra kapya nikavae kazini. Si unajua tena kipya? Ee bwana nakomaje? Nisiiname nyonyo inachomoka chup chup. Nimejitahidi kubadili style ya kuinama imeshinikana...
6 Reactions
42 Replies
3K Views
1) Tangia abanduliwe ubavuni mwangu Haachi usumbufu wake kwangu, arghh! Kisa ni kiu yake apendayo niitulize vilivyo! Lolote nilifanyalo haridhiki hadi hilo nimfanzie! Kiu ya...
33 Reactions
63 Replies
10K Views
Mpenzi wangu ambaye niliweka matumaini ya yeye kuwa mke wangu kanibwaga. Nipo kwenye wakati mgumu sana, usiku wa jana kanichana live bila chenga. Sikulala jana, chakula akipandi, dunia...
5 Reactions
187 Replies
13K Views
Napenda nijuzwe hivi ladies maisha ni ndoa tu?????????????????? Umezaliwa kuolewa?????????????? Ladies hamna goals za kufikia ila ni ndoa tu??????????????? Hivi mnajua kuwa watu wana-manipulate...
1 Reactions
120 Replies
7K Views
Habari za asubuhi/mchana/jioni wana jamvi.Ninaamini mpaka unapata fursa kupitia uzi basi u mzima. Nisikuchoshe na story nyingi kama waomba kura.Kilichonileta hapoa leo ni tabia ya ajabu iliyoanza...
2 Reactions
45 Replies
11K Views
Ukiwa na girlfriend mara akupe hiki mara kile, mwisho..... oooh.......bby una mpango gani na mimi? Ukimuuliza upi utasikia UNATAKA UNICHEZEE TU KISHA UNIACHE? Atalalamika hapoooo atajifuta...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Dah..
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wana jf, hivi karibuni nimejiunga na kwaya, kuna kaka mmoja nimetokea kumpenda lakini nashindwa nianzie wapi kumwambia yaliyo ndani ya moyo wangu. Hebu nipeni ujuzi wana jf, mwanamke...
4 Reactions
95 Replies
10K Views
Nilikuwa nimjipumzisha zangu kitandani natafuta usingizi gafla ikaingia message inasema goodnight...nami nikajibu gnait too. nikaendeleza kwa kujibu vipi paper mmemaliza jibu likawa kwishne...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Jamani sijui nina tatizo gani kila nikimsaliti mke wangu upendo huongezeka kwake mara dufu ila nikika muda mrefu bila kumsaliti namuona wa kawaida sana na huwa namchukia sana sijui nina tatizo gani.
1 Reactions
74 Replies
5K Views
Aijalishi mpendwa una mahusiano gani una urafiki gani una mapenzi gan na bibi yangu najua niko jukwaa kamilifu uhusiano /mapenzi/na urafiki na bibi yangu elekeza sasa kwenye maombi yako na mungu...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
PlZ awe amesha zaa cuz hata mie na mtoto anamiaka 2 na umri wangu ni 33 ok tutafutana ni PM
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ukiona Mwanaume ana tabia kama hizi ujue ana walakini na uanaume wake. 1.kupenda kukaa na kuongea na wanawake. 2.umbea,majungu,na kusutana. 3.kuongea huku umebana pua,kubinua midomo,kulamba...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…