Ladies...... Is life all about marriage?????????????????????

cataliya

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2013
Posts
458
Reaction score
361
Napenda nijuzwe hivi ladies maisha ni ndoa tu?????????????????? Umezaliwa kuolewa??????????????

Ladies hamna goals za kufikia ila ni ndoa tu??????????????? Hivi mnajua kuwa watu wana-manipulate hii dhana kichwani mwenu kwamba mmezaliwa just ku satisfy men, which nasema it zn't tru kabisa!!!!!!!
Naamini ni mpango mzima wa Mungu kila mtu apate mwenza wa maisha ila patience is just required thats all....
usifanye trial and error kisa u just want to get a man to marry you....

Ukijitunza eventually utapata a man sent by God and you will have a strong Home!!!!!!!!!!!!!!!!!

EVERYTHING WILL FALL INTO PLACE JUST BY PATIENCE!!!!!!!!!!

Live a life of a purpose!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Haya wadada, meseji hiyo, kazi kwenu!
 
nani huyo kasema???????
 
tuna goals zetu, na tulisha ziarchieve ila bado ndoa tu
 
Waliooewa wanaaka kutoka, wasioolewa wanataka kuingia kazi kwelikweli.
 
Mbona unajikanganya? Mwanzo umesema Ndoa sio goal, baadaye unasema ni mpango wa Mungu.
I think your point imelala kwenye KUTULIA, lakini what if kuwa na wanaume wengi is one's hobby hata kama hatafuti ndoa?

Karibu MMU na JF! where we dare to question everything including assumptions na people's opinions!
 
Waliooewa wanaaka kutoka, wasioolewa wanataka kuingia kazi kwelikweli.

wala tulioolewa hakuna anayetaka kutoka wewe lol

huu msemo sijui ulitokea wapi!

chezeya status inayoletwa na ndoa weye!

hata wanaume hakuna anayetaka kutoka kwa taarifa yako!
 
(eyes rolling!)
 
Jamii inavyomtazama mwanamke asiyeolewa ni tatizo la kwanza.

Ugumu wa maisha pia unachangia wadada wengi kuona ndoa ni mkombozi(kiuchumi)
 
Kama nakumbuka uliomba ushauri abt divorce.....??????

wala tulioolewa hakuna anayetaka kutoka wewe lol

huu msemo sijui ulitokea wapi!

chezeya status inayoletwa na ndoa weye!

hata wanaume hakuna anayetaka kutoka kwa taarifa yako!
 
Napenda nijuzwe hivi ladies maisha ni ndoa tu?????????????????? Umezaliwa kuolewa??????????????

Ladies hamna goals za kufikia ila ni ndoa tu??????????????? Hivi mnajua kuwa watu wana-manipulate hii dhana kichwani mwenu kwamba mmezaliwa just ku satisfy men, which nasema it zn't tru kabisa!!!!!!!
Naamini ni mpango mzima wa Mungu kila mtu apate mwenza wa maisha ila patience is just required thats all....
usifanye trial and error kisa u just want to get a man to marry you....

Ukijitunza eventually utapata a man sent by God and you will have a strong Home!!!!!!!!!!!!!!!!!

EVERYTHING WILL FALL INTO PLACE JUST BY PATIENCE!!!!!!!!!!

Live a life of a purpose!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

mwe! kwanza kabisa hiyo mentality kwamba mwanamke kumridhisha mwanume tuu nani anaisambaza? au ndio kusema us men?

secondly wanawake wangapi wanajitunza bwana? wengi wapo wapo tuu.
 
wala tulioolewa hakuna anayetaka kutoka wewe lol

huu msemo sijui ulitokea wapi!

chezeya status inayoletwa na ndoa weye!

hata wanaume hakuna anayetaka kutoka kwa taarifa yako!

Ukiona mtu anategemea status kutoka kwenye ndoa jua yeye mwenyewe hajithamini

Hatimae atavumilia abuse kisa anaogopa kupotelewa na status.
 
Kama nakumbuka uliomba ushauri abt divorce.....??????

si unaona eh!

nilisema nafikiria divorce, sasa ningekua nina uhakika juu ya divorce ningekuja kuomba ushauri?

nachomaanisha kutoka hakuna anayetaka wala nini! ingekuwa nataka ningekua nimeshadivorce wala sio kuja kuomba ushauri hapa!

chezeya libeneke la divorce weye! unadhani nitachukua maamuzi mazito kama hayo kwa ushauri wa JF members! Thubutuuuuuuuuuuu
 
Ukiona mtu anategemea status kutoka kwenye ndoa jua yeye mwenyewe hajithamini

Hatimae atavumilia abuse kisa anaogopa kupotelewa na status.

ndo maana yake besty

hivi ndo hali ilivyo kwa taarifa yako!

watu tunangangania status, piga ua! aliye kwenye ndoa yupo sehemu nyingine na aliye single.

Hii ni ukweli kwa wote wake kwa waume.

pesa na mengineyo ni mbwembwe tu!
 
Jisemee nafsi yako tu manake kama wote wangefikiri hivyo kusingekuwa na watu wanaocha na kuachwa.

Aliyepo kwenye ndoa yupo sehemu gani na aliyekuwa hayupo yupo wapi?
 
wala tulioolewa hakuna anayetaka kutoka wewe lol

huu msemo sijui ulitokea wapi!

chezeya status inayoletwa na ndoa weye!

hata wanaume hakuna anayetaka kutoka kwa taarifa yako!

we si ndo ulikuwa unatamani divorce!!!!!!:confused3::confused3:
 
Jisemee nafsi yako tu manake kama wote wangefikiri hivyo kusingekuwa na watu wanaocha na kuachwa.

Aliyepo kwenye ndoa yupo sehemu gani na aliyekuwa hayupo yupo wapi?

ah bwanae, hivi watu wanasema eti oh ndoa za siku hizi hazudumu! UONGO MTUPU

Hebu hesabu ndoa ngapi ulizoattend tangu uzaliwe na ngapi zimevunjika, utakuta ni moja tu kati ya 20.

in that sense, ndoa zinadumu sana na zinazoharibika ni chache tena sana, ila waseme tu kwamba ndoa za siku hizi ni full majanga lakini kudumu zinadumu na wanandoa wanadunda hivyohivyo tu.

wanaume vitombi ndo wanaongoza kwa kungangania pete zao vidoleni(status), hata kama nyumbani hapakaliki.

walio kwenye ndoa ni status nyingine yenye heshima yake kwa jamii( haina haja ya kubishana hili) na walio single ni status nyingine ambayo haina heshima kivile kwenye jamii.

Huu ni mtizamo wa jamii niliyokulia mimi na wewe kwa hiyo haina haja ya debate.

kama huo mtizamo wa jamii ni wa kisengery basi sio kosa langu wala lako, ila habari ndo hiyo
 
we si ndo ulikuwa unatamani divorce!!!!!!:confused3::confused3:

nilisema nafikiria divorce, siwezi kuitamani divorce!

ingekua divorce ni rahisi, basi ningekua nimeshadivorce siku nyingi.

divorce kitu kingine wewe, na pia sitaki kua single kwahiyo hata ningedivorce baada ya muda ningekua kwenye ndoa tu na mtu mwingine maybe.

kwahiyo msijipe moyo eti ndoa kitu gani? thubutuuuuuu unadhani mumngu alivyompa Adam mwenzake wa kuishi nae alikua hajui anachofanya eh!
 
Back
Top Bottom