Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,196
- 34,502
Mie Karucee bwana nimeona haka ka bra kapya nikavae kazini. Si unajua tena kipya? Ee bwana nakomaje? Nisiiname nyonyo inachomoka chup chup. Nimejitahidi kubadili style ya kuinama imeshinikana. Safari za washroom zimezidi ku adjust hizi twins.Halafu sasa kuna mtu mmoja nahisi ameona na badala ya aniambie nashangaa why is fulani smiling sheepishly? Kuja kustuka anafaidi na bonge la smile. Jinga. I wish ipo siku aumbuke aache fly yake wazi na mie nijichekee but I might be surprised niangue kilio.
Siku ingine sikubali ng'o. Nitavaa new bra nyumbani nigaregare weeeee nipige pushups weeeee. Hawa mapacha wasipo chomoka basi nitavaa kazini. Damn. Infact to be on the safe side in future hata chupi nitaifanyia testing. Nikae kila mkao. Ninyanyuke, nigaregare isipozama bonde la ufa basi imepasi kuvaliwa kazini. Hizo za kuchomoka ma kuzama nitamwachia baba yoyo weekend.
Dah, ngachoka mie.Yameshakukuta ukaumbuliwa na nguo ya ndani?