Mcheza Karate
JF-Expert Member
- Jun 30, 2011
- 690
- 354
Ukiwa na girlfriend mara akupe hiki mara kile, mwisho..... oooh.......bby una mpango gani na mimi?
Ukimuuliza upi utasikia UNATAKA UNICHEZEE TU KISHA UNIACHE?
Atalalamika hapoooo atajifuta machozi na kujidai kukasirika. Mara utasikia "nyumbani wanafahamu kuwa nipo na wewe sasa si twende tu wakuone kama kweli unanipenda?"
kidume unaamini bibie kapenda kweli kweli KUMBE mdada anasaka ndoa hapo.
AKISHAFANIKIWA sasa utakataa kuwa ni yule huyu aliyeomba na kunishawishi nimwoe. Jeuri, kiburi na mara utashituliwa "MKEO ANATOKA NA FLANI".
Ndoa za "dada" zetu vichefuchefu tupu. Wanawake wanapoteza kabisa ladha ya ndoa. Mtoke povu ndo ukweli huo.
Mie nitaoa wangu mwenye watoto wawili au watatu ili kupunguza maumivu nijue moja tu.
Kalagabao