Wanaume kama mabinti.

Wanaume kama mabinti.

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,494
Reaction score
12,466
Ukiona Mwanaume ana tabia kama hizi ujue ana walakini na uanaume wake.

1.kupenda kukaa na kuongea na wanawake.

2.umbea,majungu,na kusutana.

3.kuongea huku umebana pua,kubinua midomo,kulamba lips.

3.kupenda kujiangalia angalia sana kwenye kioo pasipo na sababu.

3.kupenda kujiangalia/ kujishika/kushikwa sana mat.ako.

4.kutoboa pua,sikio,kuvaa vipini mdomoni,jichoni.

5.kujisifu kwenu mambo safi wakati hela ni za mama ako au shemeji yako.

6.ukuwadi.

7.kupenda ofa,na kuomba omba hela hovyo.

8.kukaa kaa ndani bila mpango.

9.kuvaa nguo zinazobana kupita kiasi.

10.kujipodoa kwa sanaa.

11.kisilani,kususa.

12.kupenda competition na wanawake.

13.kutokua na misimamo na maamuzi.


14.kujisifu kua we ni mzuri,unavutia.

15..........................

endelea.......
 
Title ingekuwa Wanaume kama Wanawake

Wavulana kama Wasichana

Vijana kama mabinti
 
Utakuta dume zima eti linaongea "chezea mimi weye,au nimependezaje,nimeku miss mwaya" unadhani mi ntakuelewaje? uliberali mtupu.
 
Mwanaume kujibinua maka....lio, mwanaume kuwa na kampani ya wadada 24/7, mwanaume ambae kamwe hajawahi kuwa na marafiki wa jinsia yake (mitoko yake na wadada, kazini karibu na wadada, kuchat na wadada), mwanaume kuwa na marashi mia kidogo, mwanaume kuwa na minguo mingi, mwanaume anayeuliza "hivi wanawake huwa wanafurahia sana tendo inapoingizwa eehh".......wote wenye sifa hizi weka mbali na watoto kwani siku wakikaa vibaya tu basi wanakuwa waliberali na jina litabadilika kutoka kwenye MR na kuwa Aunt.
 
Back
Top Bottom