Nataka kuoa lakini nalala chini...

Nataka kuoa lakini nalala chini...

wakusepa

Member
Joined
Jan 24, 2013
Posts
83
Reaction score
5
wana jf habari mimi kijana mwenye 27 miaka,na umri wangu unakimbia.
Wadau
nipo chumba kimoja nalala chini na godoro langu sabab maisha bdo hayajakaa poa.
Lakini nina mrembo wangu ametoka familia yenye uwezo fulan wa maisha ni wa muda sana ktk mapenz yetu,huyu mpenz ananilazimisha sana nimuoe na tutafute wote maisha na kadai hajali kulala kwangu chini tutakomaa wote.
Jamani kwakuw nampenda nimekubali kutafuta naye hivyo hivyo ingawa sijakaa sawa. Je uamuz ninaochukua ni sahihi na kwa bahati mbaya sina elimu najihusisha na kilimo na maisha ya kuunga unga .
 
Ilimradi siku zikikutembelea usimnyanyase. Uzoefu wangu hunionesha design yako mkija kupata basi inakuwa kama fungulia mbwa na bidada unaanza kumuona si sawa yako.

Himidini wewe hutapata wa hivyo, Mungu huwa anaweka equilibrium fulani hivi, yaani wewe utafall kwa pasua kichwa na maisha yataenda tu. Sad but, utaniambia kama sio true.
 
Last edited by a moderator:
^^
Da! Kuna watu mna bahati humu duniani,,unapata wa kukubalia hali uliyonayo??
Mie nina kitanda cha thamani lakini hata wa kukichungulia simuoni !!
I wish I were you
^^
pole kaka ipo siku utapata.sali sana
 
Sasa mkubwa,piga mimba kwanza ndo muanze maisha hao watu hawaeleweki aise
 
hebu wekeni picha za vitanda vyenu tuvione.........

^^
Aaa! Nimeshindwa ku-upload image,,mbona kama made in heaven!!
Mara moja moja nazungushia mishumaa Na usiku nawasha taa za mwanga usioumiza macho,,ni ka hekalu ka ki aina hivi kapo chumbani kwangu
^^
 
Ilimradi siku zikikutembelea usimnyanyase. Uzoefu wangu hunionesha design yako mkija kupata basi inakuwa kama fungulia mbwa na bidada unaanza kumuona si sawa yako.

Himidini wewe hutapata wa hivyo, Mungu huwa anaweka equilibrium fulani hivi, yaani wewe utafall kwa pasua kichwa na maisha yataenda tu. Sad but, utaniambia kama sio true.

^^
Kaunga
Ur right,,huyo pasua kichwa ndo alinifanya nusura niende kwa jela,,ila utulivu kitu chema,,nilishajitenga nae.Hii mechi ya mapenzi ni mtazamaji aliyekaa mlango wa kutokea ili mkianza ngumi naondoka sitaki ushahidi
^^
 
Last edited by a moderator:
Ilimradi siku zikikutembelea usimnyanyase. Uzoefu wangu hunionesha design yako mkija kupata basi inakuwa kama fungulia mbwa na bidada unaanza kumuona si sawa yako.

Himidini wewe hutapata wa hivyo, Mungu huwa anaweka equilibrium fulani hivi, yaani wewe utafall kwa pasua kichwa na maisha yataenda tu. Sad but, utaniambia kama sio true.
Kaunga hebu nitabirie na mimi nitapata wa namna ipi.
Nina kila kitu ndani, wa kuja kivichungulia wapo ila hakuna mwenye wazo la kusettle...au tuseme hawajafikia level ya kujikubali kuitwa mama fulani...bado hawajamaliza ujana!!!
 
Last edited by a moderator:
hebu wekeni picha za vitanda vyenu tuvione.........

hiko ni cha Himidini

images
 
Last edited by a moderator:
quote_icon.png
By Himidini
^^
Da! Kuna watu mna bahati humu duniani,,unapata wa kukubalia hali uliyonayo??
Mie nina kitanda cha thamani lakini hata wa kukichungulia simuoni !!
I wish I were you

^^

quote_icon.png
By KakaJambazi
Hata mimi aisee.

sasa nyie si mchukuane mkakae pa1
mnalalamika hamna bahati
haya mmekutana sas,kwny JF
 
mmmm huyo kweli kakupenda, kumbe wapo wa hivi duu.
Ila na kushauri usikimbilie kuoa kama mambo hayaja kaa sawa na unategemea yatakaa sawa hivi karibuni.
Ila na hisi hipo siku utamwaga machozi huyo binti.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom