Pray for ma grandmother popote ulipo

Pray for ma grandmother popote ulipo

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,243
Reaction score
38,630
Aijalishi mpendwa una mahusiano gani una urafiki gani una mapenzi gan na bibi yangu najua niko jukwaa kamilifu uhusiano /mapenzi/na urafiki na bibi yangu elekeza sasa kwenye maombi yako na mungu akubariki akapate mponya akuna kama yesu "twayaweza yote katika yeye atutiaye nguvu"""cont prayers for luise mneney..kula puani is not our portion wapendwa tunaitaji kusali kwa pamoja na kuikemea hizi nguvu ...mungu akupe nguvu ya kuomba kwa ajili yake ...amen n amen
 

Attachments

  • Photo0001.jpg
    Photo0001.jpg
    242.6 KB · Views: 151
Kama mnakumbuka wapendwa tar 11 june 2012 nilipatwa na msiba wa mama yangu kipenzi mildred moshi....akaniachia kipenzi changu kingine bibi yangu mpendwa luise mneney..nikiwa naamaliza kuoga namlisha saa tatu na nusu majuzi kijiko cha nne wapendwa naona mdomo wa bibi unapinda mara mkono unakosa nguvu nilipompeleka hospital niliambiwa bibi amepata stroke ajaongea ila naamini kwa mapenzi yake mungu atamtoa na maumivu na mateso haya ya dunia .....cont pray for her healing is our portion in jesus name sty blsd n gudnyt
 
Tunamweka mpendwa bibi kwenye maombi. Mungu Ampe nguvu ya uponyaji apone haraka, Amen!
 
mpeleke kuna wataalam wakutibu hizo stroke kabla haijawa kubwa zaidi natumai atapona bibiyo matibabu mema mkuu baba diddy
 
baraka za uponyaji zije kwa bibi yetu luise!
pole sana mkuu!
 
pole ndugu,

may she get well soon na mwenyezi mungu
amsimamie katika uimarishaji wa afya yake.......
 
Kama mnakumbuka wapendwa tar 11 june 2012 nilipatwa na msiba wa mama yangu kipenzi mildred moshi....akaniachia kipenzi changu kingine bibi yangu mpendwa luise mneney..nikiwa naamaliza kuoga namlisha saa tatu na nusu majuzi kijiko cha nne wapendwa naona mdomo wa bibi unapinda mara mkono unakosa nguvu nilipompeleka hospital niliambiwa bibi amepata stroke ajaongea ila naamini kwa mapenzi yake mungu atamtoa na maumivu na mateso haya ya dunia .....cont pray for her healing is our portion in jesus name sty blsd n gudnyt

Have faith, take courage, with God everything is possible!
 
Aijalishi mpendwa una mahusiano gani una urafiki gani una mapenzi gan na bibi yangu najua niko jukwaa kamilifu uhusiano /mapenzi/na urafiki na bibi yangu elekeza sasa kwenye maombi yako na mungu akubariki akapate mponya akuna kama yesu "twayaweza yote katika yeye atutiaye nguvu"""cont prayers for luise mneney..kula puani is not our portion wapendwa tunaitaji kusali kwa pamoja na kuikemea hizi nguvu ...mungu akupe nguvu ya kuomba kwa ajili yake ...amen n amen
Mkuu shukuru Mungu na Mwenyezzi mungu atampa Tafafifu na uzima karibu. hali alonayo itakuwa Okay yeye ni afadhali kuliko walokuwa ICU.
pamoja mwztu.
 
Kama mnakumbuka wapendwa tar 11 june 2012 nilipatwa na msiba wa mama yangu kipenzi mildred moshi....akaniachia kipenzi changu kingine bibi yangu mpendwa luise mneney..nikiwa naamaliza kuoga namlisha saa tatu na nusu majuzi kijiko cha nne wapendwa naona mdomo wa bibi unapinda mara mkono unakosa nguvu nilipompeleka hospital niliambiwa bibi amepata stroke ajaongea ila naamini kwa mapenzi yake mungu atamtoa na maumivu na mateso haya ya dunia .....cont pray for her healing is our portion in jesus name sty blsd n gudnyt

Prayers for Bibi, R.I.P Mama, I know how it feels, pole sana take heart and God will be with you
 
Kama mnakumbuka wapendwa tar 11 june 2012 nilipatwa na msiba wa mama yangu kipenzi mildred moshi....akaniachia kipenzi changu kingine bibi yangu mpendwa luise mneney..nikiwa naamaliza kuoga namlisha saa tatu na nusu majuzi kijiko cha nne wapendwa naona mdomo wa bibi unapinda mara mkono unakosa nguvu nilipompeleka hospital niliambiwa bibi amepata stroke ajaongea ila naamini kwa mapenzi yake mungu atamtoa na maumivu na mateso haya ya dunia .....cont pray for her healing is our portion in jesus name sty blsd n gudnyt

Pole sana ndugu yangu, Mungu na amponye bibi yako kwa kadiri ya imani uliyoionyesha kwa Mungu wako. Kila la kheri.
 
May The Living God Give us the desire of our Heart

Heal our Beloved Grand Mother Ooooh Lord My God, In the Name oF Jesus

Amen
 
Tunamuombea akapate kupona haraka. Sio mpango wa Mungu watu wake wateseke
 
Mungu wetu hasinzii wala halali...........anaenda kufanya kitu juu ya huyu bibi yetu.
Mungu na akuponye
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom