Kama wakati wa kumuoa ulimkuta na mtoto, kila akipata bwana atakuambia ndio Baba wa mwanangu kwa hiyo uvumilie hata simu zikiingia au pesa, maana atachuma kila siku kwa watu tofauti akikudanganya hela za kumlea/kumsomesha huyo mtoto mwingine ambaye sio wa kwako.
Akiamua kuzaa na jamaa mwingine ambaye anakuona amekuzidi kwa kila jambo na kipato ni lazima atakuchanganyia tu na baadaye akizaa atalia na kukuomba msamaha, ili mpige mtoto mwingine halali baada ya huyo
KUMUELEWA MWANAMKE (anaitwa HAWA) ni kazi kwelikweli