Dada huyu anatisha mitaa ya k.nyama na makumbusho

Desidery

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2012
Posts
233
Reaction score
78
Kuna dada mmoja mitaa ya kijitonyama kwakweli anatisha sana kwa tabia yake ya kupenda totoz. (wanawake wenzake)
mara nyingi utamuona kaongozana na dada huyu, kesho utamuona yupo na dada huyu, na mara nyingi hupenda kufanyia mambo yake kwenye Hotel moja karibu na baranara ya Akachube.

Inavyoelekea dada huyu ni mwimbishaji mzuri, maana mara nyingi utamuona yupo na totoz kali mara kwenye swiming pool wakitoka hapo haoo ndani hotelini.

Sasa mbaya zaidi kaanza kuchukua vitoto vya primary, anaviingiza hotelini. sijui kinachofanyika humo. na kama ujuavyo watu wa jinsia moja hasa ya kike wanaweza kuingia Hotelini wakatumia room moja, inakuwa haina tatizo.. tofauti na jinsia ya kiume.

So kama unaishi mitaa hiyo.. na kabinti karembo.. jihadhari na dada huyu.
anapenda sana kutumia usafiri wa Bajaji.

Vijana wengi wanamfahamu, wengi wameshamtokea sana kumtaka kimapenzi, hakuna aliefanikiwa. hii ni kwa mujibu wa taarifa zao.

Na kuna baadhi ya akina mama wamesha mshtukia.. wanawasindikiza watoto wao hadi shuleni!! wanaogopa wasije kutana nae hasa shule zisizo na transport.

I hope wakazi wa mitaa hiyo watakuwa wameshamuona ila sio mkazi wa mitaa hiyo bali huja tu kwaajili ya kula raha na mademu zake.
 
Acha uongo...mbona mie nishamgonga dada yule? Au wewe unabifunae?

AAAHH ACHA MASIHALA WEWEEE.. last week alikuwa na demu mkali!!! daah.
demu kifuani pako safi, hana haja ya sidiria.. demu ana kifurushi mgongoni!!! demu whiteeee, basi mwenyewe kashuka nae kwenye bajaj kama kawaida yake. wakati analipa huku anam'bambia na kumtomasatomasa kifuani.
Wengi tuliokuwepo kule swimming pool tulibaki mimacho mwaaaa.
basi kazama na yule demu chumbani, baada muda si mrefu wakaja swimming pool. demu mrembo kapiga swimming cost
na demu msagaji kapiga boxer na t.shirt.
Ahhaaa palikuwa patamu. watu mimacho. mii nikaona mmhh nikabeba dompo yangu nilokuwa nakunywa nikaondoka.
 
Kuna dada mmoja mitaa ya kijitonyama kwakweli anatisha sana kwa tabia yake ya kupenda totoz. (wanawake wenzake)
mara nyingi utamuona kaongozana na dada huyu, kesho utamuona yupo na dada huyu, na mara nyingi hupenda kufanyia mambo yake kwenye Hotel moja karibu na baranara ya Akachube.

Inavyoelekea dada huyu ni mwimbishaji mzuri, maana mara nyingi utamuona yupo na totoz kali mara kwenye swiming pool wakitoka hapo haoo ndani hotelini.

Sasa mbaya zaidi kaanza kuchukua vitoto vya primary, anaviingiza hotelini. sijui kinachofanyika humo. na kama ujuavyo watu wa jinsia moja hasa ya kike wanaweza kuingia Hotelini wakatumia room moja, inakuwa haina tatizo.. tofauti na jinsia ya kiume.

So kama unaishi mitaa hiyo.. na kabinti karembo.. jihadhari na dada huyu.
anapenda sana kutumia usafiri wa Bajaji.

Vijana wengi wanamfahamu, wengi wameshamtokea sana kumtaka kimapenzi, hakuna aliefanikiwa. hii ni kwa mujibu wa taarifa zao.

Na kuna baadhi ya akina mama wamesha mshtukia.. wanawasindikiza watoto wao hadi shuleni!! wanaogopa wasije kutana nae hasa shule zisizo na transport.

I hope wakazi wa mitaa hiyo watakuwa wameshamuona ila sio mkazi wa mitaa hiyo bali huja tu kwaajili ya kula raha na mademu zake.
Kama watu wanamjua ni vizuri wakafuatilia nyendo zake na kumtia mikononi mwa polisi, halafu huko atajieleza vizuri, sio kwa sababu ni mwanamke ndio aachwa tu achafue jamii. Kwa hiyo majirani mulifanyie kazi hilo kiusalama zaidi..
 
Dunia ni yake chaguo ni lake na ndio maisha aliochagua kuyaishi.

Angekuwa ni yeye kama yeye unalosema lingekuwa sawa lakini anarubuni watoto wa shule wasio na uwezo wa kupambanua lililo sahihi na lililo kosa! Kwa hiyo, aachwe tu aharibu watoto wa watu?
 
Kama watu wanamjua ni vizuri wakafuatilia nyendo zake na kumtia mikononi mwa polisi, halafu huko atajieleza vizuri, sio kwa sababu ni mwanamke ndio aachwa tu achafue jamii. Kwa hiyo majirani mulifanyie kazi hilo kiusalama zaidi..

Chumbani utajua wanachofanya? si private issue!!!!
 
Duuh yatosha maana mpaka watoto wadogo si mtu mzuri inabidi watu wa mtaa husika waunganishe nguvu ili wamkabili huyo sister maana anavyofanya siyo vyema kabisa kwa mtindo kama huo na kwa maisha ya sasa anahalibu hao watoto wadogo kwa mtazamo wangu wewe ulileta huu uzi unayo nafazi ya kupambana na hili tatizo katika mtaa wako anza sasa wakati ndiyo huu.
 
Naviamini viungo vyangu vya mwili katika kumpagawumisha gal mwenzangu,napokea sms kibaaao,ila nina mashart kwasabb nipo seriouz na kusagana,na ndio mana cna njaa km waukweli utanisikiliza tutaonana na hutoamini raha utakayopewa..nazijua type zote za wanawake wenzangu,hvyo najua hata kucheza nazo.hapana chezeiya smart wewe.wenye subira wanakula matunda yngu ila wakujaribu,mtawaza mnavyojua.cna habari...........Haya ni maneno ya huyo dada akimwambia mmoja kati ya wanawake wanao mfuata awape penzi. Mnataka mengine?
 
Mhh inawezekana kuna ukweli, maana some gals hujipeleka may be. maana wanajua kabisa wanakwenda kufanyiwa jambo fulani.. kwanini wanakubali?
Akiambiwa ona wanatutazama!!! utasikia achana nao.
CHA AJABU NINI? WAO WAMEKATWA?
 
Kama watu wanamjua ni vizuri wakafuatilia nyendo zake na kumtia mikononi mwa polisi, halafu huko atajieleza vizuri, sio kwa sababu ni mwanamke ndio aachwa tu achafue jamii. Kwa hiyo majirani mulifanyie kazi hilo kiusalama zaidi..

inabidi ajulikane ni mwanachama wa chama gani maana kuna chama fulani hata kama kaua na damu mikononi akikamatwa tu, wataandamana kumdai kamanda wao!
 
Back
Top Bottom