Morning MMU crew
Napenda kuambiwa ukweli kuliko kitu chochote, kwann wanaume mnatumia neno '' I LOVE YOU'' just to get a gal!!!
Why lying to her while you knw the story behind it you just want...
Helo wanawake wenzangu wa jukwaa hili la gt
naomba leo tuzungumzie kuhusu sanitary pads
nadhani wengi wetu tunazitumia
kama tunavoona matatizo ya wanawake ya sehemu za uzazi yanaongezeka kwa kasi...
Hivi kina kaka,inakuaje mtu anakuwekea chuki na bifu za ajabu ajabu kisa tu umekataa kukubali ombi lake la kuwa wapenzi?? Acheni hayo mambo,ukitongoza si lazima ukubaliwe. Muelimishane
Heshima mbele wana MMU
Naomba kuuliza, Hivi kipi bora kati ya hivi viwili.
Kuolewa mke wa pili au kuwa nyumba ndogo. Toa sababu za kukubaliana na mojawapo kati ya hayo.
Kuna rafiki yangu ana mume ambae sio mtu wa kawaida. Naposema sio mtu wa kawaida na maanisha binaadamu wa kawaida hawezi kua na mapungufu mengi ya kimaumbile ila huyu shemeji yangu ni too much...
NIKKI LEE: MWANAMKE ALIYEFANYA MAPENZI NA WANAUME 5000 NDANI YA MIAKA 9
Ukishangaa ya Musa utayaona ya Firauni. Wakati wapo wanawake ambao hawapati salamu barabarani, Nikki Lee, 25 amevunja...
Kuna hii tendency ambayo inazidi kukua siku hadi siku na inakoelekea inakuwa attitude ambapo wanawake wengi haswa wa kileo(kisasa)wamewafanya wanaume kama wameletwa hapa duniani kwa ajili yao...
Ni kitambo sasa nimekuwa nawaza hivi inakuaje mwanamke anaweza kutoka nje ya ndoa wakati mume ulimpenda mwenyewe na mkakubaliana kwa moyo kabisa kuishi pamoja kama mume na mke.. that means...
utakuta mwanaume unafanya mapenzi na mwanamke kwa mara ya kwanza kutokana na hofu na mazingira au kutokua na uhuru unajikuta unapaform chini ya kiwango au kutokusimama kabisa sasa cha ajabu...
You've been dating a guy for a few weeks, things are going great and you want to know to where you stand. You want to make sure he isn't seeing anyone else, and if you're being honest, a small...
Mababu zetu walikuwa wakichaguliwa wake / waume na wazazi wao hivyo ndoa zao zilikuwa zinadumu sana bila migogoro.
Wazazi wao walikuwa wanaangalia tabia za kijana, wazazi wake na ukoo wao kwa...
Nihivi tokea nimeolewa sina hamu tena ya ligwaride imetokea automatic sio makusudi kabisa sijuhi nifanyeje maana imeshakua tatizo kwangu naumia tuuu sijokoi kabisaaa, makeke yote niliyokua nayo...
Niliachana nae kitambo kidogo ila sikuhizi simuelewi kwani akipiga simu au akituma sms naona mahaba mengi.Imedumu kwa wiki 3 sasa....nikiwa kazini anapga simu...usiku kabla ya kulala lazime...
Nakupenda nakupenda pia,
i love you
i love you too
haya maneno yana maana sana kimapenzi au kwa wapenzi wawili, they do mean a lot to true lovers, zaman mtu ukimwambia nakupenda akakujibu...
Nilisoma naye chuo kimoja ( jina kapuni ), rafiki yangu alimpenda sana huyu msichana, but she was pretending to be in love with another man ( ambaye kwa mujibu wa taarifa za uhakika...
hi jf, mm nmepata mschana karibuni ni mwezi mmoja now 2mepanga kuoana akimaliza chuo mwakani bt cjawahi kudate nae hata cku moja, lakni anapenda xana kuniomba pesa na salio na hata ha2jazoeana...
Kiukweli it's fuuny kuwaona jinsi wanavyojipitisha na kupata taabu......dah....
Hapa ofisini kwetu yametokea mabadiliko ya 'top management',ambao walikua ni Managing Director na Chief Operations...
Hello! Brothers and sisters, hope mnaendelea na wkend vizuri. Imekuwa mda sasa hatujawa pamoja, ila naamini hakuna kilichoharibika na wadau wa MMU mnaendelea na majukumu ya ujenzi wa jamii yetu...
~Girl Friend Is A VIRUS~ She
Will Enter In Your Life,
Scan Your Pocket,
Transfer Your Money,
Edit Your Mind,
Download Her Problems, Delete Your Smile, &
Hang Your Life.
.
.
.
. So Avoid Your Girl...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.