Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,628
Helo wanawake wenzangu wa jukwaa hili la gt
naomba leo tuzungumzie kuhusu sanitary pads
nadhani wengi wetu tunazitumia
kama tunavoona matatizo ya wanawake ya sehemu za uzazi yanaongezeka kwa kasi siku kwa siku.kutokana na unyeti wake nadhani na uadui wake unakuwa mkubwa kama tujuavyo mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe sio!
So threat zinakuwa nyingi huko...bacteria,fangasi ..wanaume wote wanazidi kushambulia huko na kutuletea madhara siku kwa siku
leo naomba nizungumzie adui yetu mmojawapo ambae wengi wetu sijui kama tunalijua hili
pad hizi tunazovaa nazo zinachangia kwa kiasi kikubwa kuleta maambukizi huku down.sasa utajiuliza ufanyeje ? Usivae pedi ? Au ni kampeni ya smile tutembee uchi hata kipindi tupo period? ..............
Soln ni moja hakikisha unatumia pad origino na unachange kila baada ya masaa 2...sasa issue inakuja hapa origino pad haipungui 5000 ka pkt yenye pad 8 na period yenyewe almost siku nne hadi tano...count interval ya masaa 2 kwa siku hizo,,, hapo utatumia pkt ngapi? Kwa kipato gani wanawake wanacho hapa bongo ? Hata hizi za kichina za buku 2500. Nazo kwa hii formula still ni gharama kwa wanawake wengi.
Matokeo yake wengi wanavaa ped muda mrefuuu hata siku nzima akijitahidikwa siku mtu anatumia hapo 3 au mbili badal ya 12.ukijumlisha tena ni fekero full majanga huko.sasa najiuliza tutasalimika kweli....hakuna option nyingine wandugu .tugomee haya maped ya kichina huku sokoni....na kwa nini serikali inaruhusu ped feki ssokoni jamani??????