Nikki lee: Mwanamke aliyefanya mapenzi na wanaume 5000 ndani ya miaka 9

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
[h=3]NIKKI LEE: MWANAMKE ALIYEFANYA MAPENZI NA WANAUME 5000 NDANI YA MIAKA 9[/h]

​
Ukishangaa ya Musa utayaona ya Firauni. Wakati wapo wanawake ambao hawapati salamu barabarani, Nikki Lee, 25 amevunja rekodi baada ya kutimiza idadi ya wanaume 5,000 aliofanya nao ngono.

Nikki ambaye aliibukia katika fani ya urembo anasema alifanya vitendo hivyo kwa muda wa miaka tisa sehemu mbalimbali alizokuwa akitembelea.

Anasema alikuwa anafanya ngono katika klabu za usiku, ndani ya ndege, mbuga za wanyama, sehemu za kupaki magari, ndani ya gari, sinema na disko.

Anasema kwamba alianza kufanya hivyo tangu alipotolewa bikira yake akiwa na umri wa miaka 16.

Anasema aliweza kufanya ngono na wanaume wawili kwa siku."Nilikuwa nasikia raha ya ajabu na ndiyo maana nilipenda kufanya ngono wakati wote," anasema Nikki.

Alipokuwa na miaka 21 alifikisha idadi ya wapenzi 2,289 ambao alikuwa amewaandika katika kitabu chake chekundu.

"Hakuna mwanaume aliyepita mbele yangu asinitamani kwa waliotaka kufanya nami mapenzi nilifanya hivyo, kwa sasa nimeathirika na ngono," anasema Nikki.

NIKKI LEE: MWANAMKE ALIYEFANYA MAPENZI NA WANAUME 5000 NDANI YA MIAKA 9 - MPEKUZI HURU

Kuna Mwanamke wa kibongo aliyeweza kutembea na wanaume japo 500?
 
Wapo wanawake ambao naamini wamemzidi huyu mdada. Fikiria wale waliokuwa wanajiuza (walijulikana kama dada wa kihaya) kwa siku walikuwa na uwezo wa kuwa na wateja 5 - 10. Pia wapo wanawake ambao wamekuwa walevi wa ngono, tatizo ni kwamba jambo hili lina usiri fulani ingekuwa alama inabaki tungejionea!
 
Ukifanya alichokifanya huyp dada, kuna uwezekano mkubwa wa kupoteza maisha kwa UKIMWI!
 
NIKKI LEE: MWANAMKE ALIYEFANYA MAPENZI NA WANAUME 5000 NDANI YA MIAKA 9

​
Ukishangaa ya Musa utayaona ya Firauni. Wakati wapo wanawake ambao hawapati salamu barabarani, Nikki Lee, 25 amevunja rekodi baada ya kutimiza idadi ya wanaume 5,000 aliofanya nao ngono.

Nikki ambaye aliibukia katika fani ya urembo anasema alifanya vitendo hivyo kwa muda wa miaka tisa sehemu mbalimbali alizokuwa akitembelea.

Anasema alikuwa anafanya ngono katika klabu za usiku, ndani ya ndege, mbuga za wanyama, sehemu za kupaki magari, ndani ya gari, sinema na disko.

Anasema kwamba alianza kufanya hivyo tangu alipotolewa bikira yake akiwa na umri wa miaka 16.

Anasema aliweza kufanya ngono na wanaume wawili kwa siku."Nilikuwa nasikia raha ya ajabu na ndiyo maana nilipenda kufanya ngono wakati wote," anasema Nikki.

Alipokuwa na miaka 21 alifikisha idadi ya wapenzi 2,289 ambao alikuwa amewaandika katika kitabu chake chekundu.

"Hakuna mwanaume aliyepita mbele yangu asinitamani kwa waliotaka kufanya nami mapenzi nilifanya hivyo, kwa sasa nimeathirika na ngono," anasema Nikki.

NIKKI LEE: MWANAMKE ALIYEFANYA MAPENZI NA WANAUME 5000 NDANI YA MIAKA 9 - MPEKUZI HURU

Kuna Mwanamke wa kibongo aliyeweza kutembea na wanaume japo 500?

Duh, yaani bado nawaza tu...huko chini kukoje maana kishakutana na kila aina ya madushelele kama kina Mandingo, Mabita, Mtwangio, Black Mamba, Python, na Twanga Pepeta!
 
Back
Top Bottom