Hivi ukitongoza lazima ukubaliwe?

Hivi ukitongoza lazima ukubaliwe?

Tysher

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2013
Posts
207
Reaction score
78
Hivi kina kaka,inakuaje mtu anakuwekea chuki na bifu za ajabu ajabu kisa tu umekataa kukubali ombi lake la kuwa wapenzi?? Acheni hayo mambo,ukitongoza si lazima ukubaliwe. Muelimishane
 
Umemkataa mtu nini..??
 
Inategemea mtongozaji, kuna wanaume wasiojua kutongoza wanatanguliza kuhonga pasipo kusema kitu gani wanakitaka. Sasa m2 wa namna hiyo akifuguka wakati tayari ameishaingia gharama na ukamtolea nje lazima ajenge chuki na wewe. Lakini kiustaarabu sio tabia njema. Nanyi madem mnapopewa vitu inabidi muulize ni vya nini ili visijeleta taflan mbeleni.
 
Mwingine hata pesa wala vizawadi hajakupa ila anajenga uadui
 
Hivi kina kaka,inakuaje mtu anakuwekea chuki na bifu za ajabu ajabu kisa tu umekataa kukubali ombi lake la kuwa wapenzi?? Acheni hayo mambo,ukitongoza si lazima ukubaliwe. Muelimishane

ukiona unatongozwa sana wewe si mzuri la hasha unasura ya kiumalaya aka matamanio by Nabii na Mtume J Mwingira
 
Nna muonekano wa kawaida saaaana tofauti na unayosema
 
kwa hiyo ulimkubalia ulipoona no masurprise ukaona umkatae enheee....

Hapana,sikumkubali. Kilichokua kati yetu ni urafiki,alivyoleta hizo habari gani nkamtolea nje. Nashangaa analeta mambo ya kuuchuna
 
Nna muonekano wa kawaida saaaana tofauti na unayosema

Wanaokutazama ndo wanajua una mwonekano wa namna gani. Ebu nitumie picha yako kwenye e-mail yangu ndo nikwambie mwonekano wako ukovipi.
 
Hapana,sikumkubali. Kilichokua kati yetu ni urafiki,alivyoleta hizo habari gani nkamtolea nje. Nashangaa analeta mambo ya kuuchuna

Kuuchuna sio chuki, ni aibu, aibu ikiisha mtaendelea na urafiki kama kawaida.
 
Inategemea na kibuti ulichompiga.

Kama ulimpa kile kibuti cha UNikome Unikome Unikome lazima atakumaindi. Ila kama ulimwambia tayari umeshachukuliwa yeye amechelewa atakuelewa.
 
huwa nikitongoza lazima nikubaliwe , sijawahi kukosa goli kwenye mechi za aina hiyo.... sasa sijui labda machaguo yangu yanakuwaga sahihi.
 
Sio lazima, na anayeweka bifu ujue domo zege anaogopa kwenda pengine ataanzaje.
 
Hivi kina kaka,inakuaje mtu anakuwekea chuki na bifu za ajabu ajabu kisa tu umekataa kukubali ombi lake la kuwa wapenzi?? Acheni hayo mambo,ukitongoza si lazima ukubaliwe. Muelimishane
Hii mada ni pana mno na inahusisha mambo mengi, wewe endelea kuwa na msimamo wako tu, mkubalie umpendae na usiyempenda mwambie tu samahani, lakini usiwe unamkebehi na kumcheka, maana wengine huwa wanawacheka wenzao baada ya kuwakataa..
 
Hivi kina kaka,inakuaje mtu anakuwekea chuki na bifu za ajabu ajabu kisa tu umekataa kukubali ombi lake la kuwa wapenzi?? Acheni hayo mambo,ukitongoza si lazima ukubaliwe. Muelimishane

Kutongozwa utongozewe 'vichochoroni' huko...kufoka uje tufokea sie hapa JF! Kamalizaneni huko huko..sie hatukukuwepo wakati mnatongozana!
 
Back
Top Bottom