Chokochoko
JF-Expert Member
- Oct 15, 2011
- 438
- 184
Nihivi tokea nimeolewa sina hamu tena ya ligwaride imetokea automatic sio makusudi kabisa sijuhi nifanyeje maana imeshakua tatizo kwangu naumia tuuu sijokoi kabisaaa, makeke yote niliyokua nayo kushinei ila kabla sijaingia mjengoni weeee, mume wangu analalamika mapenzi yameishia kwa mtoto yeye simjali tena kwa upande wangu mimi sioni Kama ni mtoto maana tokea nikiwa ma mimba tayari nilikuwa na hilo tatizo mpaka wakati mwingine inabidi tuache maana nakua mkavu sana nifanye nini mimi nikoe ndoa yangu? Natamani nianze kumpagawisha vilivyo ila namimi sinapaswa niwe tayari sasa sijuhi nile nini au ninywe dawa gani genye zirudi Kama zamani. Mzizi mkavu plz naomba ufunguke na hili tatizo langu