I LOVE YOU........Men What is behind this word!!!!!!!!!!!!

cataliya

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2013
Posts
458
Reaction score
361
Morning MMU crew

Napenda kuambiwa ukweli kuliko kitu chochote, kwann wanaume mnatumia neno '' I LOVE YOU'' just to get a gal!!!
Why lying to her while you knw the story behind it you just want to bed her n off you go!!!!!!!!

Thats why most OF relationship za africa ni terrible tuuu, hakuna ukweli bali ni hypocrisy na kudanganyana!!!!!

dawa ni kumwambia mtu ukweli nawe uovu unakuwa umetoka mikononi mwako dats ol ili mtu afanye maamuzi binafsi kulingana na judgement yake na c kwasababu ya uongo uliomwambia......

Be you5rself Men!!!!!!!!
 
Tukiwaambia ukweli hamtupi papuchi so lazima tutangulize uongo mwingiii na ahadi kedekede za kukuoa.Na hiyo ndiyo technique ya mwisho iliyobaki ya kutongozea lazima nikuahidi ntakuoa hapo nakugegeda kiulaini kabisaaa
 
Pole mpendwa..! Hawa wanaume wakitueleza wanataka tuu kutugegeda hatuwezi kuwakubalia..!
Hivyo lazima watupambe na I LOVE YOU kibaaao ili tuingie kingi..! Mmmh... Akili kumkichwa..!!
 
Magumegume ni pasua kichwa mpenzi!! Kifupi wote maji ya shingo tu!!! Bora kujitulizia kimyaaaaaa!!! Kama huoni vileee
 
Na wanawake hawasemi I Love You bila kumpatia vizawad na chapaa!.

So in generally limebaki kama neno tu halina uhalisia as halibebi feelings kama uzito wenyenye. Hakuna hisia kwenye hayo maneno.

na ndo hvyo kwa me au ke anapotamka hayo maneno jua kwamba she/he is afta something!!
 
"Thats why most OF
relationship za africa ni
terrible tuuu, hakuna ukweli
bali ni hypocrisy na
kudanganyana!!!!!"

Umefanya utafiti gani uliokuletea haya majibu?.

Hiyo ni vikorombwezo, kama Nazi kwenye wali.
 
Last edited by a moderator:
I love you ina maanisha I dont love you but i just want to taste your flavor
 
Morning MMU crew

Napenda kuambiwa ukweli kuliko kitu chochote, kwann wanaume mnatumia neno '' I LOVE YOU'' just to get a gal!!!
Why lying to her while you knw the story behind it you just want to bed her n off you go!!!!!!!!

Thats why most OF relationship za africa ni terrible tuuu, hakuna ukweli bali ni hypocrisy na kudanganyana!!!!!

dawa ni kumwambia mtu ukweli nawe uovu unakuwa umetoka mikononi mwako dats ol ili mtu afanye maamuzi binafsi kulingana na judgement yake na c kwasababu ya uongo uliomwambia......

Be you5rself Men!!!!!!!!

ukikutana na mimi mbona utanipenda ,nitakuambia mpaka mwenyewe useme STOP
 
Morning MMU crew

Napenda kuambiwa ukweli kuliko kitu chochote, kwann wanaume mnatumia neno '' I LOVE YOU'' just to get a gal!!!
Why lying to her while you knw the story behind it you just want to bed her n off you go!!!!!!!!

Thats why most OF relationship za africa ni terrible tuuu, hakuna ukweli bali ni hypocrisy na kudanganyana!!!!!

dawa ni kumwambia mtu ukweli nawe uovu unakuwa umetoka mikononi mwako dats ol ili mtu afanye maamuzi binafsi kulingana na judgement yake na c kwasababu ya uongo uliomwambia......

Be you5rself Men!!!!!!!!
cataliya hata huyo wa muda mfupi lazima akwambie I love you vinginevyo hautakuwa tayari kumpa mtu asiekupenda..!!
unless kwa wale ambao wapo kibiashara, wale wala hawahitaji hilo neno, wao mkwanja tuu mbele... jee unawashaurije wale wa shorttime relation, watumie neno gani litawafaa, huku wakipata wanachohitaji..???
 
Back
Top Bottom