Wanawake na tatizo kubwa la kuwa secured

JUKWE

Member
Joined
Oct 4, 2011
Posts
20
Reaction score
6
Kuna hii tendency ambayo inazidi kukua siku hadi siku na inakoelekea inakuwa attitude ambapo wanawake wengi haswa wa kileo(kisasa)wamewafanya wanaume kama wameletwa hapa duniani kwa ajili yao mfano kwenye mahusiano wao ni wa kufanyiwa kila kitu kazi yao ni moja tu kupanua en then wanalia kabisa ati wewe hujui kucare,eti we ni mbahili afu wengine wanaenda mbali zaidi eti you dont know how to love.Ninachokimaanisha hapa ni kwamba mnachokiita love kimekuwa one sided.Swali langu ni jee other side haiitaji hivyo mnavyovililia.
 
Muweke ndani yaani funga ndoa kaa nae maana ndiyo anajua kuwa ukisema hauna kweli hauna,otherwise kama unamaanisha oboyfrendi na ugerofrendi bado una safari ndefu
 
Kuna hii tendency ambayo inazidi kukua siku hadi siku na inakoelekea inakuwa attitude ambapo wanawake wengi haswa wa kileo(kisasa)wamewafanya wanaume kama wameletwa hapa duniani kwa ajili yao mfano kwenye mahusiano wao ni wa kufanyiwa kila kitu kazi yao ni moja tu kupanua en then wanalia kabisa ati wewe hujui kucare,eti we ni mbahili afu wengine wanaenda mbali zaidi eti you dont know how to love.Ninachokimaanisha hapa ni kwamba mnachokiita love kimekuwa one sided.Swali langu ni jee other side haiitaji hivyo mnavyovililia.

naimani limekukuta maana umeongea kwa hisia
 
JItahidi kutafuta hela za kuhudumia familia, jukumu la mwanaume ni kumtunza mrembo wake na jukumu la mrembo ni kumpenda msela wake (hata kama ana ajira wewe assume kwamba huyo mrembo wako hana kitu kwani kama ni girl friend hizo ni hela zake in case ana ajira yake ukifanya hivyo ni rahisi kumfanya kuwa responsible pindi utakapomweka ndani). Unapomtokea demu jiandae ku-provides some of the services na kama unampenda na una nia ya kumbadilisha kweli nadhani usikwepe kutoa huduma ipo siku ataona kabisa jinsi unavyoajibika na kukuonea soo, mabinti sometimes na wao wamekuwa wajanja lazima wapime upepo kwanza maana hata wanaume siku hizi wanapenda kulelewa
 
Weehwanaume gani unalalamika? Wenzio kupanuliwa ndo dili mwanzo mwisho. Kama unavimaindi vijisenti vyako si-uvidate vikupanulie basi!
wamepata kisingizio

1001013_541526635884070_462274060_n.jpg
 
JItahidi kutafuta hela za kuhudumia familia, jukumu la mwanaume ni kumtunza mrembo wake na jukumu la mrembo ni kumpenda msela wake (hata kama ana ajira wewe assume kwamba huyo mrembo wako hana kitu kwani kama ni girl friend hizo ni hela zake in case ana ajira yake ukifanya hivyo ni rahisi kumfanya kuwa responsible pindi utakapomweka ndani). Unapomtokea demu jiandae ku-provides some of the services na kama unampenda na una nia ya kumbadilisha kweli nadhani usikwepe kutoa huduma ipo siku ataona kabisa jinsi unavyoajibika na kukuonea soo, mabinti sometimes na wao wamekuwa wajanja lazima wapime upepo kwanza maana hata wanaume siku hizi wanapenda kulelewa
Hivi mkuu unafikiri mwanamke anaridhishwa na hivyo vitu ulivyovisema? Sijui atakuelewa na nin na nin kuna wanawake anajua huna kazi au mambo hayako vizuri na bado anapiga mizinga..kimsingi bible sifahamu quran inasemaje ila mwanaume anatakiwa kumtunza mke..sio girlfriend wala fiancee etc...mambo ya kuprovide services ni mbwebwe tu hasa kama haukubaliki..kiviiile..over..!!!
 
Ni kweli kuprovides services ni mbwembwe ila nimesema some of the services huku na wewe ukipima kina cha maji mkuu si unajua hawa watu kuna mazingira mtu hukwepi ku-provides some services hata kama mrembo ana ajira, kikubwa na wewe kuwa real kama huna kitu usilazimishe na ndio maana nikasema hawa watu sometime wanapima upepo na wewe uki-provides each and everything ili mradi umepigwa mzinga itakuletea shida ndio maana nikasema kama kweli unampenda nenda nae mdogo mdogo huku unambadilisha mtizamo kwani sifa ya binadamu ni kubadilika. Pia mtu ukipigwa mzinga usimuonyeshe umeshituka sana, mizinga ile ambayo ipo ndani ya uwezo unarekebisha ikiwa mikubwa sana unaipiga chini (sometimes reaction ya mtu anapopigwa mzinga ndio inasababisha mwanamke aanze mbwembwe zake za maneno maneno) kwani mwanaume unatakiwa uwe na kipaji cha kupiga kamba sometimes (lie for better), hujawahi kuona mtu ana m-handle mrembo kiasi kwamba mrembo anaishia kusema jamaa yangu mndava hapendi mambo ya ajabu ajabu (katika situation kama hii ujue mshikaji alishaonyesha principle zake kiasi kwamba mrembo ame-realize)
 
Dawa ni kuacha kutumia kitu kinachoitwa mwanamke.....
tatizo kwisha!!!!!
 
mwanaume wa kweli na rijali ni kuhakikisha nyumbani wanapata ugali achana na hayo maswala mengine ya kupanua na pia hakikisha unamtunza mrembo wako effectively kwa sababu ugumu wa maisha na kutopata matunzo ndio kunamfanya mwanamke aonekane bibi yaani kakomaa wakati bado kabisa ni younge
 
Ni kweli kuprovides services ni mbwembwe ila nimesema some of the services huku na wewe ukipima kina cha maji mkuu si unajua hawa watu kuna mazingira mtu hukwepi ku-provides some services hata kama mrembo ana ajira, kikubwa na wewe kuwa real kama huna kitu usilazimishe na ndio maana nikasema hawa watu sometime wanapima upepo na wewe uki-provides each and everything ili mradi umepigwa mzinga itakuletea shida ndio maana nikasema kama kweli unampenda nenda nae mdogo mdogo huku unambadilisha mtizamo kwani sifa ya binadamu ni kubadilika. Pia mtu ukipigwa mzinga usimuonyeshe umeshituka sana, mizinga ile ambayo ipo ndani ya uwezo unarekebisha ikiwa mikubwa sana unaipiga chini (sometimes reaction ya mtu anapopigwa mzinga ndio inasababisha mwanamke aanze mbwembwe zake za maneno maneno) kwani mwanaume unatakiwa uwe na kipaji cha kupiga kamba sometimes (lie for better), hujawahi kuona mtu ana m-handle mrembo kiasi kwamba mrembo anaishia kusema jamaa yangu mndava hapendi mambo ya ajabu ajabu (katika situation kama hii ujue mshikaji alishaonyesha principle zake kiasi kwamba mrembo ame-realize)
hapo nimekusoma mkuu...kwenye bold nimepasikia kimtindo..ni fresh..!!!
 
Back
Top Bottom