Nimeonelea niwakumbushe wanajamii hususani jukwaa hili la MMU, mtu anapoomba ushauri tumshauri kweli kwa busara zote, tusianze mtupia matusi ama lugha za utani uloptiliza, kuna jukwaa la jokes...
Kwa muda sasa nimekua nikufuatilia kuhusu mahusiano ya wanamuziki Lina na Amini. Kwanza kuna kipindi ilitangazwa kuwa wana mahusiano. Na kwa sie wapembuzi ni kweli tuliliona hilo. Muda si muda...
Naitwa Rogerz, umri miaka 25, naishi Tanga.
Natafuta rafiki wa kike , inshort anayejitambua na awe na umri kuanzia miaka 18 hadi 24 na awe mkazi wa tanga.
0759176985
d.srajan54@gmail.com:wave:
habari zenu wanajamvi
jamani mimi natatizo mmoja kuna binti nampenda lakini shida inakuja pale napotaka kumumwagia sera zangu nashikwa na woga kunapindi nilimpigia simu nikamwambia nashida ya...
Wadau natumain hamjambo,
Nina rafiki yangu ambaye ni kama ndugu,tumetoka mbali sana na sasa ni kama mtu na kaka yake.jamaa yangu huyu(hajaoa) alikuwa na dem mmoja hivi lakini walishindwana kwa...
Natumaini mu wazima wana MMU wenzangu.!
story iko hivi mimi nina rafiki nyangu kipenzi sana yapata miaka sita sasa tupo marafiki
Rafiki yangu huyo mnamo mwaka jana alitokea kumpenda binti mmoja...
Ijumaa kareem wadau! Kuna jamaa yangu alikutana na binti wa kisukuma kwenye bendi ya Akudo Impact. Wakapeana namba za simu tu usiku ule kwa sababu binti hakuleta ushirikiano wa kutosha pamoja na...
Hure...........
Week kadhaa zilizopita nilikuja na mada hapa JF kwamba naombeni msaada wa kunitafutia viagra ili ini boost ,hii ilitokea baada ya kushusha idadi kutoka 5-2 per night ghafla kiasi...
Habari wana JF............poleni na shughuli zakujenga taifa letu.
Dunia tambala bovu walisema wahenga wetu na leo nimeamini hili........Dada mmoja alikuwa na shoga yake kipenzi anayemuamini kwa...
Hii type ya hug ungefanyiwa wewe mwanamke na umpendaye kumoyo ungejisikiaje ?je na wale wanaokuzunguka ingetoa picha gani mnapokua faragha na mpenzi wako? au ndo umagharibi?au ndo hisia za mapenzi...
Miaka ya nyuma nilikuwa napenda kucheza soka (japo sasa nimelihamishia kwenye playstation). Naenda kazini na kabag kangu ka vifaa vya kuchezea. Natoka kazini napita uwanjani kisha ndio nielekea...
Wana Jf mimi kidogo umri wangu umesogea niko kati ya miaka 40-45,ninafanya kazi nimeajiriwa kwenye shirika moja hapa Dsm,nahitaji mwanamke wa kuoa kutoka humu Jf,awe na umri kati ya miaka...
Habari kwenu,
Yupi anafaa kuolewa kati ya hawa?
1. Aliyezini mara moja na akapata mimba kwa bahati mbaya na akaomba msamaha ili asamehewe na uchumba uendelee.
2. Aliyezini mara moja na kupata...
Toka tufunge ndoa maisha yetu yamekuwa mazuri na simple sana.
Ni mke tunayeelewana na ni mshkaji wangu sana tu.
Tumepeana uhuru mkubwa sana ila pia una mipaka. Kuna mipaka ya kawaida ambayo...
Katika pitia pitia zangu kuhusu magonjwa ya wasichana na wanawake nimegundua aina mpya ya ugonjwa maarufu kwa wengi Lakini hawajui Ama hawajijui kama wanao ugonjwa ni ugonjwa wa shopping. Chunguza...
Wadau, nimekuwa na mpz wangu kwa muda wa miez 8 sasa, na tunategemea mwakan mwz wa 9 kufunga ndoa.
Tangu naanza kumpa sera za kulipata jimbo lake nilimuambia wazi kuwa mm nataka mwenzi na moja...
Hellow Wadau wa Jamii Forum, habari za leo? Mimi ni kijana wa miaka 28, naishi Ubungo( Dar es salaam) nina shahada ya utawala, natafuta mpenzi kuanzia 21-28, awe na elimu kuanzia kidato cha nne...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.