Ugojwa mpya umewaingia wadada na wamama.

Ugojwa mpya umewaingia wadada na wamama.

ChescoMatunda

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2009
Posts
1,232
Reaction score
444
Katika pitia pitia zangu kuhusu magonjwa ya wasichana na wanawake nimegundua aina mpya ya ugonjwa maarufu kwa wengi Lakini hawajui Ama hawajijui kama wanao ugonjwa ni ugonjwa wa shopping. Chunguza kuanzia wasichana wa shule vyuo mpaka wamama wanao ugonjwa Yaani mtu Ana nguo makabati chumba kizima viatu kibao Lakini bado anataka kuingia dukani anunue nguo mpya! Watalaam wa magonjwa ya akili wameuelezea huu ni ugonjwa mkubwa wa shopping juchunguze una nguo kiasi gani na kwanini bado unataka kununua nyingine?? Tujadili....
 
Kitunze kipendeze. Usitafute visingizio vya kutomfanyia mkeo shopping ili aende na wakati. Mweeeeeeee, nani atilie pamba za miaka mitatu iliyopita??!!
 
Mwanamke nguo, mwanamke kiatu, mwanamke pochi, mwanamke obagi,
mwanamke kupendeza.
Nisipopendeza utanipenda?
Tuacheni jamani...
Ushaambiwa mwanamke ni pambo la dunia.
 
umeongea upuuzi ile mbaya! jiandae kuyaoga kwa wana mmu!!!!!!
 
Ugonjwa huu uko kwa mke wangu pia. Anajua mziki wake nikinuna ila tatizo akicheka tu baaasi nimekwisha kabisa. Wekundu hao. Na akipiga vile viwalo aisee anapendeza balaa. Basi roho inasuuzika.

Akina dada/mama wanapenda sana ila sasa inabidi kuwa makini na budget otherwise itakula kwako. Ila anapendeza akipiga viwalo tofauti tofauti
 
Wanaume wana ugonjwa wa Genye na kutamani usilisahau nalo hilo pia

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mwanamke nguo, mwanamke kiatu, mwanamke pochi, mwanamke obagi,
mwanamke kupendeza.
Nisipopendeza utanipenda?
Tuacheni jamani...
Ushaambiwa mwanamke ni pambo la dunia.

Nakupenda hivyo hivyo ulivyo Hizo mpya za kumpendezesha nani??
 
hayo ndio maeneo wanayonirengea.........,kurengwa raha aisee

lazima nizae Profesa Baregu au Prof Isa shivji

Sarimia sana hiro rirengaji. Ukiona harina shabaha sogea pande ya Tegeta nikurengemo mwenyewe.
 

mwanamke kuvaa
mwanamke kupendeza
mwanamke swaga babu
zikijaa kabatini unagawa
unaanza upya,tunakufa na fasheni meen
na hiyo ni nature yetu!!
 
Back
Top Bottom