Lina na Amini wanatuchora!

mageuzi1992

JF-Expert Member
Apr 9, 2010
2,503
252
Kwa muda sasa nimekua nikufuatilia kuhusu mahusiano ya wanamuziki Lina na Amini. Kwanza kuna kipindi ilitangazwa kuwa wana mahusiano. Na kwa sie wapembuzi ni kweli tuliliona hilo. Muda si muda tukasikia wametengana. Kila mtu akawa hataki kumzungumzia mwenzake. Lakini ajabu muda si muda akaanza kuimba stejini kwa pamoja. Walipoulizwa je Mmerudiana wanadai hapana tupo kikazi zaidi. Lakini siku za hivi karibuni tumeshuhudia mapozi mbalimbali wanayotuonyesha yanaashiria wapo pamoja na inawezekana hata tunda la mti wa katikati wanashiriki!. Sasa walivyoulizwa wanadai wapo kama wazungu wanashirikiana kikazi zaidi pia ni marafiki lakini si wapenzi!!!. MIMI KWA MTAZAMO WANGU NASEMA HAWA WANACHEZEA TU AKILI ZETU. KIKUBWA NI KWAMBA WANATENGENEZA POPULARITY AU UMAARUFU NA SI ZAIDI kwa ki ukweli ukifuatilia utagundua ni wapenzi kabisa hawa.
 
Haya,
a) Ni wapenzi kweli na wanapitia milima na mabonde ya mahusiano...Ni vizuri kwa sababu maisha si mteremko kila mara
b) Walikuwa wapenzi na sasa wana uhusiano wa kikazi. Ni vizuri pia kwa sababu kufeli kwa uhusiano wao haimaanishi kufeli kwa mahusiano ya kikazi

Be it a or b, i fail to see how that affects your life, unless wewe ni mtoto wao?

Kwa muda sasa nimekua nikufuatilia kuhusu mahusiano ya wanamuziki Lina na Amini. Kwanza kuna kipindi ilitangazwa kuwa wana mahusiano. Na kwa sie wapembuzi ni kweli tuliliona hilo. Muda si muda tukasikia wametengana. Kila mtu akawa hataki kumzungumzia mwenzake. Lakini ajabu muda si muda akaanza kuimba stejini kwa pamoja. Walipoulizwa je Mmerudiana wanadai hapana tupo kikazi zaidi. Lakini siku za hivi karibuni tumeshuhudia mapozi mbalimbali wanayotuonyesha yanaashiria wapo pamoja na inawezekana hata tunda la mti wa katikati wanashiriki!. Sasa walivyoulizwa wanadai wapo kama wazungu wanashirikiana kikazi zaidi pia ni marafiki lakini si wapenzi!!!. MIMI KWA MTAZAMO WANGU NASEMA HAWA WANACHEZEA TU AKILI ZETU. KIKUBWA NI KWAMBA WANATENGENEZA POPULARITY AU UMAARUFU NA SI ZAIDI kwa ki ukweli ukifuatilia utagundua ni wapenzi kabisa hawa.
 
Mbona povu??wewe tatizo lako ni nini rafiki?wawe wapenzi wasiwe wa penzi do you gain or loose something??ebu jaribu kufanya yako kidogo
 
watu wengine mna muda wa kupoteza sana, kwanini usilale tu ukaboresha afya yako? Hivi kweli unahangaika kufuatilia maisha ya watu kama ni wapenzi au sio, ili iweje?
Kwa muda sasa nimekua nikufuatilia kuhusu mahusiano ya wanamuziki Lina na Amini. Kwanza kuna kipindi ilitangazwa kuwa wana mahusiano. Na kwa sie wapembuzi ni kweli tuliliona hilo. Muda si muda tukasikia wametengana. Kila mtu akawa hataki kumzungumzia mwenzake. Lakini ajabu muda si muda akaanza kuimba stejini kwa pamoja. Walipoulizwa je Mmerudiana wanadai hapana tupo kikazi zaidi. Lakini siku za hivi karibuni tumeshuhudia mapozi mbalimbali wanayotuonyesha yanaashiria wapo pamoja na inawezekana hata tunda la mti wa katikati wanashiriki!. Sasa walivyoulizwa wanadai wapo kama wazungu wanashirikiana kikazi zaidi pia ni marafiki lakini si wapenzi!!!. MIMI KWA MTAZAMO WANGU NASEMA HAWA WANACHEZEA TU AKILI ZETU. KIKUBWA NI KWAMBA WANATENGENEZA POPULARITY AU UMAARUFU NA SI ZAIDI kwa ki ukweli ukifuatilia utagundua ni wapenzi kabisa hawa.
 
Kwa muda sasa nimekua nikufuatilia kuhusu mahusiano ya wanamuziki Lina na Amini. Kwanza kuna kipindi ilitangazwa kuwa wana mahusiano. Na kwa sie wapembuzi ni kweli tuliliona hilo. Muda si muda tukasikia wametengana. Kila mtu akawa hataki kumzungumzia mwenzake. Lakini ajabu muda si muda akaanza kuimba stejini kwa pamoja. Walipoulizwa je Mmerudiana wanadai hapana tupo kikazi zaidi. Lakini siku za hivi karibuni tumeshuhudia mapozi mbalimbali wanayotuonyesha yanaashiria wapo pamoja na inawezekana hata tunda la mti wa katikati wanashiriki!. Sasa walivyoulizwa wanadai wapo kama wazungu wanashirikiana kikazi zaidi pia ni marafiki lakini si wapenzi!!!. MIMI KWA MTAZAMO WANGU NASEMA HAWA WANACHEZEA TU AKILI ZETU. KIKUBWA NI KWAMBA WANATENGENEZA POPULARITY AU UMAARUFU NA SI ZAIDI kwa ki ukweli ukifuatilia utagundua ni wapenzi kabisa hawa.

A, E, I, O, U
Ma, Me, Mi, Mo, Mu
Da, De, Di, Do, Du
Ba, Be, Bi, Bo, Bu
 
Mtaani kwenu hawajakutenga kwa ajiri ya umbea wako? Loooooh huna kazi ya kufanya si ukafagie hata barabara!
 
Lina na amino ni kina nani hao? Msitupotezee muda bana, angekuwa jaydee labda, mi hatasiwajui. Kesho kili music awards leaders pale umeshaandaa nguo? Au kuna la zaidi ya Hilo kwako?
 
Back
Top Bottom