Natafuta mpenzi

Natafuta mpenzi

ops

Senior Member
Joined
Feb 6, 2012
Posts
112
Reaction score
5
Hellow Wadau wa Jamii Forum, habari za leo? Mimi ni kijana wa miaka 28, naishi Ubungo( Dar es salaam) nina shahada ya utawala, natafuta mpenzi kuanzia 21-28, awe na elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea na awe na sifa zifuatazo, mkweli, awe na heshima, asiwe na majivuno au dharau, kama una sifa hizo nicheki kwa Email address mhassani84@yahoo.com
 
Aisee bado, inakuwa ngumu kidogo kumpata yule anayekupenda kwa dhati,
 
Kuzeveza siku hizi imekuwa tabu eenh...
 
kuzeveza ndio nini? mkuu sijakupata
 
Hilo ndiyo la msingi mkuu, sina papara
 
kaka, hivi ushapata kazi? Hongera sana.
 
Hellow Wadau wa Jamii Forum, habari za leo? Mimi ni kijana wa miaka 28, naishi Ubungo( Dar es salaam) nina shahada ya utatwala, natafuta mpenzi kuanzia 21-28, awe na elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea na awe na sifa zifuatazo, mkweli, awe na heshima, asiwe na majivuno au dharau, kama una sifa hizo nicheki kwa Email address mhassani84@yahoo.com

Kwakuwa ulishaandika hivi na hajajitokeza mtu
hebu jaribu kufanya marekebisho kidogo
achana na habari za kunadi elimu hebu nadi kipato......
 
Hellow Wadau wa Jamii Forum, habari za leo? Mimi ni kijana wa miaka 28, naishi Ubungo( Dar es salaam) nina shahada ya utatwala, natafuta mpenzi kuanzia 21-28, awe na elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea na awe na sifa zifuatazo, mkweli, awe na heshima, asiwe na majivuno au dharau, kama una sifa hizo nicheki kwa Email address mhassani84@yahoo.com
mbona sijaona criteria ya BIKIRA? au wewe hupendi hiyo makitu?
 
Siwezi kusema nina kipato kiasi gani naogopa utapeli wa mapenzi, wengine wanajali pesa kuliko utu,
 
wewe ni mgeni, labda utakuwa unapata PM lakini hujui zina somwaje.... jaribu kuangalia PM. ila kuwa makini na humu........
 
Siwezi kusema nina kipato kiasi gani naogopa utapeli wa mapenzi, wengine wanajali pesa kuliko utu,

We sema tu si unabadil maudhui tu????ili sentensi ivutie wasomaji basi kivumishi kiwepo.......teh teh
 
Ni ngumu kujuwa kuwa mpenzi anakupenda kwa dhati, kuna mambo ya msingi ya kumsoma mtu tabia utapata kumuelewa 2 jinsi alivyo, japokuwa utakiwa kumsoma kwa makini sana
 
Mbona wewe unaangalia kipato zaidi, mimi nina hela ya kula na naishi maisha ya kawaida sina makuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom