USHAURI Jamani sijawahi kumwambia ukweli juu ya hili....!!

Al-shabaab

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
1,791
Reaction score
620
Natumaini mu wazima wana MMU wenzangu.!
story iko hivi mimi nina rafiki nyangu kipenzi sana yapata miaka sita sasa tupo marafiki
Rafiki yangu huyo mnamo mwaka jana alitokea kumpenda binti mmoja ambaye zamani enzi za utotoni tuliishi jirani sana na binti huyo ila tokea hapo hajawahi kuniona tena
siku moja mimi na rafiki yangu huyo tulikuwa katika matembezi ya kawaida akaniomba simu yangu ili awasiliane na huyo binti ambae ndo alikua ameanza kumtongoza lakini alipompigia simu hakupokea tulipoachana yule binti akawa amenibip nikampigia na kuniuliza hii ndo namba yako nikasema ndio kuanzia hapo hadi sasa tunachati kama wapenzi yapata mwaka mmoja na nusu sasa ila sijawahi kumwambia ukweli kuwa mimi ndo yule rafiki yake na mpenzi wako na nimeshaweka ahadi ya kumwoa
NAOMBENI ushauri niko njia panda je nimwambie ukweli halisi au nisubiri kumfanyia kama suprise tutakapopanga kukutana?
nawasilisha.!
 
kwa hiyo rafiki yako mawasiliano yalishakufa na huyo bidada!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

huyo dada hajawahi kuhisi utofauti wa jinsi wewe na yule rafiki yenu mnavyochati!!!!!!!!!

mwaka mmoja na nusu mnachati tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu kama wapenzi na hamjawahi kukutana!!!!!!!!
 
Nadhani kuna haja ya Invisible kuanzisha jukwaa la WATOTO ili wakatete mambo yao huko.

Mleta mada I bet hujafika miaka 20 na nina uhakika huna uzoefu na mabinti.
 
Stori yako mshikaji kama Nyumba yako imeungua...!!we utamuoaje mtu ambaye hata hujawahi kumuona?au ndo illusion za bange?Soma sana huko boarding uliko haya mambo yapo tu sana utakuja kuyaona na kuyakinai na ikiwezekana kuyachukia

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
hahahaha.....!!! Mbavu zangu jamani
 
unaona kabisa n dem wa jamaa yako na ww unamtaka kwan wanawake wameisha? Mbona wapo akina Miss strong, madame B, Heaven on earth, na wengne weng...... Tatzo lako unapenda ugomv wakujitoa mhanga
 
Ila kwangu ndo hajajitoa mhanga eeeeeeeeeh...........jina lake umeliona?
 
Nadhani kuna haja ya Invisible kuanzisha jukwaa la WATOTO ili wakatete mambo yao huko.

Mleta mada I bet hujafika miaka 20 na nina uhakika huna uzoefu na mabinti.

Mkuu hongera!!
Post ya kwanza unamwaga sumu si mchezo!
Nadhani utafaa vizuri hapa coz FB sjui wameambiana nini huko kuhusu JF!!!!
 
Mmechat weee hadi mnataka kuoana, nadhani endeleeni kuchat hadi mtiane mimba ndio nitaelewa hili somo.
 
Ila kwangu ndo hajajitoa mhanga eeeeeeeeeh...........jina lake umeliona?

namshangaa anawaacha vifaa kama nyie anapaparika na dem wa rafki yake....... Al-shaabab jivishe mabom kwa miss strong kama kitu
 
Yaani ulianzaje kuchat na demu ambaye unajua rafiki yako yuko interested!? Kama ni mimi urafiki unakufa hapo hapo. I thought hayo mambo wanafanya wanawake tu!

Sent from my BlackBerry
 
Natumaini mu wazima wana MMU wenzangu.!
story iko hivi mimi nina rafiki nyangu kipenzi sana yapata miaka sita sasa tupo marafiki
Rafiki yangu huyo mnamo mwaka jana alitokea kumpenda binti mmoja ambaye zamani enzi za utotoni tuliishi jirani sana na binti huyo ila tokea hapo hajawahi kuniona tena
siku moja mimi na rafiki yangu huyo tulikuwa katika matembezi ya kawaida akaniomba simu yangu ili awasiliane na huyo binti ambae ndo alikua ameanza kumtongoza lakini alipompigia simu hakupokea tulipoachana yule binti akawa amenibip nikampigia na kuniuliza hii ndo namba yako nikasema ndio kuanzia hapo hadi sasa tunachati kama wapenzi yapata mwaka mmoja na nusu sasa ila sijawahi kumwambia ukweli kuwa mimi ndo yule rafiki yake na mpenzi wako na nimeshaweka ahadi ya kumwoa
NAOMBENI ushauri niko njia panda je nimwambie ukweli halisi au nisubiri kumfanyia kama suprise tutakapopanga kukutana?
nawasilisha.!
Una hatari, ahadi ya kuoana unaiweka kwa kutumia simu? Tena kwa mtu ambaye hamjawai kuonana. Hivi ndoa siku hizi imekuwa kama maigizo! Mnaoneka wewe na huyo binti, wote kama vile mna utindio wa ubongo.
inapidi kwanza mkapimwe kama mko sawa.
 
kwa hiyo rafiki yako mawasiliano yalishakufa na huyo bidada!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

huyo dada hajawahi kuhisi utofauti wa jinsi wewe na yule rafiki yenu mnavyochati!!!!!!!!!

mwaka mmoja na nusu mnachati tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu kama wapenzi na hamjawahi kukutana!!!!!!!!

Bora umenisaidia kumuuliza hayo maswali, maana ni kama stori vile ...
 
Natumaini mu wazima wana MMU wenzangu.!
story iko hivi mimi nina rafiki nyangu kipenzi sana yapata miaka sita sasa tupo marafiki
Rafiki yangu huyo mnamo mwaka jana alitokea kumpenda binti mmoja ambaye zamani enzi za utotoni tuliishi jirani sana na binti huyo ila tokea hapo hajawahi kuniona tena
siku moja mimi na rafiki yangu huyo tulikuwa katika matembezi ya kawaida akaniomba simu yangu ili awasiliane na huyo binti ambae ndo alikua ameanza kumtongoza lakini alipompigia simu hakupokea tulipoachana yule binti akawa amenibip nikampigia na kuniuliza hii ndo namba yako nikasema ndio kuanzia hapo hadi sasa tunachati kama wapenzi yapata mwaka mmoja na nusu sasa ila sijawahi kumwambia ukweli kuwa mimi ndo yule rafiki yake na mpenzi wako na nimeshaweka ahadi ya kumwoa
NAOMBENI ushauri niko njia panda je nimwambie ukweli halisi au nisubiri kumfanyia kama suprise tutakapopanga kukutana?
nawasilisha.!

Upo njia panda ya kuenda wapi wew mwizi wa mchana unasaliti rafiki yako kw k2
 
Back
Top Bottom