Kutongoza ni kipaji jamani

Kutongoza ni kipaji jamani

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,850
Reaction score
9,423
1185645_10153230439385475_526507398_n.jpg
 
Umenikumbusha mbali sana haswa kwenye hiyo alama ya LOVE & Arrow
 
Hapa ndo kulikuwa na mapenzi bana, unajipa appointment mwenyewe, unaenda kumsubiria chini ya huo mti hatokei wala nini, unaganda kama masaa matatu hivi ndo unaondoka ukifika unamwandikia nyingine tena unajipa appointment nyingine............nakuendelea..........
 
Ha,ha. Umenikumbusha nikiwa darasa la tano kuna dada nilimwandikia barua kumtongoza. Tulikuwa tunaishi jirani, baada ya siku tatu akatuma mtoto aniite niende kwao kwani alikuwa peke yake. Nilipofika akaanza kuniuliza KWA NINI UMENIANDIKIA BARUA?huku ananivuta kuelekea chumbani kwao. Kilichofuata ni siri ya kunguni na viroboto wa mule ndani.
 
hee me niliruka stage ama? sikuwahi andikia mtu barua
 
hee me niliruka stage ama? sikuwahi andikia mtu barua

Subiri utavoanza ku-sup ndo utajuta, maana mitihani ya siku hizi ndumba njenje.
Ukitangatanga tu majibu ya mtihani wako yanarushwa hewani kama Ndalichako na vijana wake.
 
Hii barua si ya hapa Bongo...maana nakumbuka tulikuwa hatutongozi kwa 'kikristo'...

Sehemu pekee ambayo tulikuwa tunaandika umombo ni kwenye maneno 'I' na 'You'...neno 'Love' tulikuwa tunachora alama ya kopa na kimshale.
 
Subiri utavoanza ku-sup ndo utajuta, maana mitihani ya siku hizi ndumba njenje.
Ukitangatanga tu majibu ya mtihani wako yanarushwa hewani kama Ndalichako na vijana wake.

umri huu na hayo mambo wapi na wapi
 
Yaaani gud old days asipoweka alama ya mdomo kwa lipstiki huyo anatafuta kesi

hahaaaa yani utongozaji wa enzi zile acha tu halafu my kaka mbona siku hizi siku hizi unachelewa kurudi home

unawahi kuondoka sikuoni kabisa...............
 
Back
Top Bottom