Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

"Best" yangu hakuonekana kwenye kijiwe (baa) cha mpira Jumamosi iliyopita, kama nilivyotegemea. Nilipompigia simu akaniambia kuna 'kazi' anafanya jioni ile, muda si mrefu angeni-join. Kwa kuwa...
14 Reactions
114 Replies
11K Views
wakuu jana nlienda kwa friend wangu maeneo ya buza kwa lulenge kwa best yangu ni uswaz kidogo nlienda kumsabahi. Baada ya kugonga lunch ikabid twende jirani na baa iliyo karibu na maeneo ya...
5 Reactions
127 Replies
33K Views
MAKOMBO Ama kwa mlaji kweli,ambaye hapuuzii, Asiye na mushkeli,kula afanya bidii, Mle hujiweka mbali, kukera sidhamirii, Nakula siyawachii,niyakutapo makombo. Dk. Kassim Pazi Haumotile...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Irma Lopez Aurelio Gives Birth Outside Mexican Clinic After Being Denied Immediate Medical Attention [PHOTO]By Lizette Borreli | Oct 8, 2013 01:21 PM EDT E-Mail Print Text Size: A A A TAGS...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
SOMA MTOTO WA KIKE Soma mtoto wa kike, soma usitetereke, Soma usishawishike, hadi mwishoni ufike, Soma nyadhifa ushike, Nchi hii utumike, Soma nakutegemea, soma mtoto wa kike...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau hapa tushauriane imetokea shemeji yangu mume wa dada mtoto wa mama mdogo ana mgonga(lack of a better word) mke wa mdogo wake na mkewe hii kitu nime iprove kwa macho yangu nadhani dogo mwenye...
1 Reactions
45 Replies
8K Views
wadau naomba kuuliza hili swali,hv kati ya kuolewa na mbaba anayekuzid umri(kama miaka 20)au kuolewa na kijana uliyepishana naye miaka michache(kama mitano),kupi kuna raha zaid na faida...
0 Reactions
51 Replies
4K Views
^^ Kuna ugumu gani mnaupata kusema ukweli kuwa mtoto huyu sio wako! Mume anafikia hatua ya kupata mashaka,,baadae mnaenda DNA test ndio unasema kweli mtoto sio wako.Unaanza kusema oo! Ni wa...
1 Reactions
108 Replies
8K Views
What does "séxual satisfaction" actually mean?A study published in the September 2013 sought to answer that question. Researchers asked 449 women and 311 men in committed relationships how they...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
mi Steve natafuta msichana mweupe, miaka 19 hadi 23, aliyehitimu chuo au ameajiriwa, msukuma, mwenye bikra, mrefu kiasi, mkatoliki. mi mweupe kiasi, miaka 28, mkatoliki, nimeajiriwa, mchaga namba...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Loading...........
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Sio Kila EX wako anayeomba Mrudiane anamaanisha! Wengine huomba kurudi ili wakutesti tu jinsi ulivyo Mbulula,jinsi usivyo na msimamo na jinsi ulivyo CHEAP na huna Misimamo wala Future. Jitu...
8 Reactions
20 Replies
4K Views
***nimeipenda hii*** Habari wana MMU: Utafiti unaonesha kuwa kuna baadhi ya vitu vilivyofanya ndoa za babu zetu zidumu tofauti na hizi za zama hizi. Mojawapo ya vitu hivyo ni aina ya malazi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
^^ Ni kweli kuwa mwanzoni mwa ndoa kila mwenzi hutamani ampakate muda wote mpenzi wake,,ambusu ambebe ambembeleze na asichelewe kufika chumbani.Wawili hawa hupitia wakati mzuri kupita wakati...
0 Reactions
37 Replies
8K Views
inshort ni hivi nilikutana nae tukiwa first year tukaanzisha uhusiano kwa kipindi chote cha shule sasa wakati tunamaliza chuo mwanaume nikaona uhusiano wetu utakuwa kwenye situation nisiyoipenda...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
HANA haraka anapotembea, ukimtazama anaonekana kujiamini sana. Tabasamu mwanana linaupamba uso wake, lakini mavazi yake yanaonesha asivyo mtu wa dhiki! Hata kama siyo sana, lakini uwezo wa...
8 Reactions
91 Replies
34K Views
Habari zenu wanaMMU,.. Katika pitapita zangu mitaa ya kujidai nikakutana na njemba fulani rafiki yangu ambaye tulikutana nae katika event fulani hapa mjini na ndipo tukaanza kujuana, kwake...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
habari zenu,nilikuw na boyfriend ambaye nilimpend sana lakin sikujua kam yey ananipenda kwasababu alikuwa ananikataa san mpak mwishowe nikachok nikaamua kuw na mwanaum mwingine ambay tumedum mwak...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Habari wana JF mimi nimekuwa kwenye relationship kwa miezi sita now ila kuna kitu ambacho kinanishangaza sana kutoka kwa huyu mwanaume. mala ya kwanza alikuja na kusema anashida na hela kadhaa...
2 Reactions
132 Replies
12K Views
Habari za saa hizi wana mmu, Mimi ni mgen jaman napiga hodi nahitaji karibu zenu pia ushirikiano wenu. Ahsanten
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Back
Top Bottom