Usiombee yakukute kama yaliyo mkuta binamu yangu aliye kula yamini kwa just a girlfreid tu. After 7 years ya mapenzi yao motomoto yaliyo kuwa kama shamba darasa kwa sisi wengine tusio kuwa na...
Mpenzi wangu, hali yangu ya kiafya sio nzuri, na hivyo muda wowote huenda nikatangulia na kuwaachia dunia hii; lakini mpenzi wangu kabla mapenzi ya Mwenyezi Mungu hayajatimia, ningeomba uniambie...
Mrembo huyu ni mjeda katika jeshi la Nigeria hapa alitii amri ya rais Godluck kwenda kulinda amani kwenye machafuko huko Kaskazini mwa Nigeria dhidi ya Boko Haram.
Sipati picha kama hawa jamaa...
REFERENCE : https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/520597-namsaidiaje.html
Habari za jioni wakuu,
Dah! nimerudi tena hapa jamvini kuomba ushauri nashukuru watu walinishauri sana...
Shahrukh Khan (born 2 November 1965), often credited as Shah Rukh Khan and informally referred as SRK, is an Indian film actor. Referred to in the media as "Bad shah of Bollywood" or "King Khan"...
1. Kanisani
2. Chuoni/shuleni
3. Kwenye daladala/safarini(kukutana kwenye chombo cha usafiri)
4. Kazini/maofisini
5. Kijijini kwenu
6. Disco
7. Kwenye msiba
7.....etc etc
Kati ya hizo na...
High sisters!
i am six feet tall, not white but not so black, a committed CHRISTIAN, a little thin and a true lover.Aged 30+
I AM LOOKING FOR A GIRL TO BE WITH ME WHOEVER HAS FOLLOWING CRITERIA...
Kuna wanaume hawajui kupenda ni wasumbufu sana kwa wapenzi wao wakike, akishagundua unampenda hutacha kuona rangi za dunia hii, wapo tena wapo wengi sana.
Ni ujinga mkubwa kuwa na mpenzi...
Wapenzi wengi wanasita linapofika swala la kutambulishana nyumbani,ukidadisi utagundua wengi wanaogopa,itakuwaje leo amtambulishe mpenzi wake nyumbani alafu atoswe baadae ama amtose baadae...
Unatakiwa kutumia utundu na ubunifu katika uwanja wa 6x6.
Faragha ni eneo muhimu sana ambalo linaweza kubomoa au kuimarisha ndoa.
===
Nimekutana na hii - Funguka' Okoa
===
Kuna baadhi ya...
Natafuta rafiki wa kike anayetaka kuanzisha mahusiano mapya.nipo morogoro.umri miaka 25 mpaka 30.anaweza kuwa na mtoto lakini awe mcha mungu.mvumilivu na mwenye kazi serikalini.awe moro au...
Baadhi yetu tumelelewa na kukutana na mazingira yaliyotufundisha hivyo kwa hiyo ndivyo tunavyoamini. Tunaamini kwamba tunapooa au kuolewa tunafanya hivyo ili kushiriki tendo la ndoa kama dhana ya...
:::::salutation::::::
I'm always not fond of visiting MMU, lakini leo nimeona sio vibaya kuja kuwasabahi wadau wa humu....
Madani.....
Jana nilikua na misele ya hapa na pale kuweka mambo fulani...
ukiambiwa mapenz ya siku hiz hayana mana we elewa tu hivo..ikiwa wewe unayafulahia hongera zako..wengine tushatendwa tena huku stress hizi siwezi kuzibeba peke yangu so nitaji malafik wanaojua...
Kutokana na rafu ambazo nimekua nikicheza na nying zikiwa peku (ndizi na maganda sio mpango) nimejikuta nikiwa na zaidi ya hofu nikiwaza kupima vvu.
Kwa sababu nimeamua kutulia na mrembo mmoja ni...
Nitie kama muhuri moyoni mwako,kama muhuli juu ya mkono wako, kwa maana upendo una nguvu kama mauti, na wivu ni mkali kama ahela
mwako wake ni mwako wa moto na miali yake ni miali ya yahu.
maji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.