chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 21,885
- 29,675
Habari zenu wanaMMU,..
Katika pitapita zangu mitaa ya kujidai nikakutana na njemba fulani rafiki yangu ambaye tulikutana nae katika event fulani hapa mjini na ndipo tukaanza kujuana, kwake mambo safi nikimaanisha kuanzia mkwanja anao wa kutosha, jumba la kifahari kalidondosha huko Mbezi beach na kuhusu kazi anamiliki kampuni yake binafsi ya ujenzi hapa Jijini Dar!!
Tatizo la huyu jamaa hajui kabisa kumtongoza mwanamke, anaweza kupanga appointment na mwanamke lakini kufika eneo la tukio inakuwa mtihani kwake na akifanikiwa kufika basi kuanzia mwanzo wa mazungumzo mpaka mwisho yeye hamwangalii mwanamke usoni hali inayowafanya wanawake wengi kumpuuzia huyu mshkaji maana wanamwona jamaa kama vile analeta mzaha na kupotezea watu muda wao.
OMBI lake kwenu wanaMMU,..
Jamaa anahitaji mtu atakayekuwa tiyari kumtongozea mwanamke atakayempenda na kufikia hatua ya kugegedana nae,..