wadau naomba kuuliza hili swali,hv kati ya kuolewa na mbaba anayekuzid umri(kama miaka 20)au kuolewa na kijana uliyepishana naye miaka michache(kama mitano),kupi kuna raha zaid na faida nyng?naomben majibu ndugu zangu
miaka 24
miaka 24
Kwa nini usichukue kijana mwenzio mwenye miaka 29........huyo baba wa miaka 44......tuachie sisi dada zako.......
Kwa nini usichukue kijana mwenzio mwenye miaka 29........huyo baba wa miaka 44......tuachie sisi dada zako.......
heaven on earth saidia huyo dogo
Umeanza kupoteza wadogo zako sasami naona bora atafute wa age differece ya miaka 5.....
20 years is too much......with this type of age differential,
the girl is subconsciously trying to marry her father (or a father figure)........
wadau naomba kuuliza hili swali,hv kati ya kuolewa na mbaba anayekuzid umri(kama miaka 20)au kuolewa na kijana uliyepishana naye miaka michache(kama mitano),kupi kuna raha zaid na faida nyng?naomben majibu ndugu zangu
Mambo ni tofauti kiamaisha. Yeye 24 anafaa kwa 44 wakati nyie dada zake mnafaa kwa 25. Hata mimi nafa na 22 zangu. KaribuKwa nini usichukue kijana mwenzio mwenye miaka 29........huyo baba wa miaka 44......tuachie sisi dada zako.......
Unamtafuta mwanaume wa kumwamkia shikamoo au wa kumita bebiii?
me naona vijana wasumbufu sana siku hizi,wababa nahisi wanajua kucare