Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Natumaini wote muwazima kwa neema ya MUNGU wetu aliyeju. Kinachonifanya nije ktk jukwaa hili leo, ni kutaka kuwauliza wana JF wote waliooa na kuolewa. Waniambie leo km kweli inawezekana kuishi na...
0 Reactions
101 Replies
12K Views
Nimesikia mara nyingi sana, kuwa kuna wanaume huwachukua wanawake wawili au zaidi na kufanya nao mapenzi kwa wakati mmoja? Hivi huwa wanatafuta nini? Ina ladha gani? Mwanamke mmoja mwenye anatoa...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Habari zenu wazoefu humu. Muda mrefu nilikuwa nasoma soma ushauri humu na nikajaribu sana kujiunga nikawa nashindwa, ila leo nashukuru nimefanikiwa naombeni mnishauri tatizo nalopitia Mimi...
1 Reactions
57 Replies
10K Views
Mimi nimeoa, yapata mwaka sasa nimekuwa na mahusiano na mdada ambae alikuwa mke wa shemeji yangu ambae familia zetu zilikuwa karibu sana. Wote tunaishi hapa hapa dar. Kwa bahati mbaya rafiki/ndugu...
1 Reactions
70 Replies
7K Views
Poleni na mihangaiko ya sikunzima yaleo. Mwenzenu nahitaji kujifunza mambo kadhaa kutoka kwenu. Nimetokea kumpenda MSICHANA WA IRAQW ( mmbulu) ila ningependa nijue TABIA ZAO ZA kiasili
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Habari wakubwa zangu... Sijui ugumu wa maisha au nini maana katika experience yangu nimegundua wanaume wanaotoka familia mambo safi hawapati shida kabisa kukamata warembo na ndio maana wengi ni...
6 Reactions
170 Replies
14K Views
That moment when your Girlfriend meets Your Ex - True Story - See more at: Click to see..: That moment when your Girlfriend meets Your Ex - True Story
1 Reactions
23 Replies
6K Views
Miaka mitano iliyopita nilikuwa na mahusiano na binti mmoja!katika utafutaji na hali ya maisha niliamua kwenda kujiendeleza kimasomo,sikumuaga ingawa baadae tuliendelea kuwasiliana kwa njia ya...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwanza awali ya yote nisingependa kutukanwa au kukebehiwa na mtu hapa, ni saa tisa usiku sasa sijalala nawaza sana juu ya ndoa yangu. Machungu noliyonayo ni zaidi ya machozi ya damu. Kabla ya...
2 Reactions
134 Replies
13K Views
Nachukizwa na Tabia ya Mwanamke kujifanya anataka kufanya kazi akati mie kama Mumewe ndo natakiwa kumfanyia kila kitu tangu kula,kuvaa,kulala kwake ni Mimi yan nasema ivi,We soma level zote mi...
1 Reactions
143 Replies
12K Views
Mimi ni mwanamke mjasiliamali mwenye umri wa miaka 25. Ni mzaliwa wa Sumbawanga ila makazi yangu kwa sasa ni Dar. Sina mtoto na sijaolewa. Natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya...
6 Reactions
0 Replies
14K Views
Napingana kabisa na lile tangazo linalohamasisha matumizi ya kondom kwamba kuonyesha upendo wako kwake basi tumia kondom!!!!! Kondom ni kwa ajili ya wazinzi waasherati na wasio waaminifu kwenye...
0 Reactions
2 Replies
897 Views
Real story,story story...hadithi (hii stori ni ya kweli 100%) Nina rafiki yangu ni msichana anaitwa masogange(not real name) ana ujauzito,sasa amekwama kiasi cha kufikia kuniambia ukweli nini...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Natumaini nyote humu ndani hamjambo Kisa cha kuandika thread hii ni hiki kifuatacho. Nina rafiki yangu (mdada) ambaye ameachana na mpenzi wake hivi karibuni, uhusiano wao ulikuwa kama miaka...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Hii sasa ndo ishakuwa style ya watu kukamata attention za watu.Wapo wanaoweza kuandika stori ndefu na inavutia coz wana art ya uandishi wa hizo stori.Tatizo visa vyenyewe vya kutunga afu...
2 Reactions
40 Replies
3K Views
Mwanzoni mwa mwaka huu mpenzi ambaye nilimpenda kumuamini na kumthamini alinisaliti na kwenda kwa mtu mwingine ambaye ni mtoto wa pedeshee mmoja hapa mjini. Iliniuma sana mpaka ikapelekea...
3 Reactions
25 Replies
4K Views
kwa nini mkiambiwa ukweli mnabweka?
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Wanajamvi Umofia kwenu. Naombeni tuelimishane ni kwanini ukimchumbia msichana wakati wa send off na wakati wa Harusi badala ya kuwapa watu tabasamu furaha analia wakati alikubali mwenyewe na...
0 Reactions
39 Replies
6K Views
wapenzi wawili mpo njiani,mwanaume na mwanamke,ghafla anatokea mrembo mwingine mkali ile mbaya ama yupo peke yake ama nae yupo na boy wake,mwanaume wako anamkodolea jicho yule demu mpaka...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
Mimi nina umri wa miaka 27 natafuta msichana tutakuwa friendz kwa muda mwaka1 bila kufanya chochote den tuoane.Awe wakawaida asiwe na mambo mengi.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom